Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Nauliza hili.!!
Ni kwanini familia zenye watoto wengi hasa nchini Tanzania zinakosa kushirikiana na kusaidiana kwenye mambo mbalimbali ya kifamilia pindi yanapotokea mfano maradhi, msiba, ama sherehe
Wazee wetu wanazaa watoto wengi kwa lengo la kupata msaada pindi wanapohitaji lakini cha ajabu wanaishia kukosa na kulalama tu
Baba anaweza kuwa mgonjwa na ana watoto 8 lakini msaada asipate ama apate kwa mtoto mmoja tu, je umuhimu wa kuzaa watoto wengi upo wapi