Umesomekahuo sasa umbea,,soma kilchoandkwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesomekahuo sasa umbea,,soma kilchoandkwa
Kabisa angalau 2/3 hiviIla usiombe uwe na mtoto mmoja alf ikatokea kafa hayo maumivu hayaelezeki.Mi naona kuwa na watoto kadri ya unavyoweza na Mungu alivyokujalia ya dunia mengi
Sio kweli kuzaa wengi haikupi uhakika wa kufaidi uzeeni, ba mkwe anao 20+ lakini ndo yeshee ni 3 wenye moyo wa kumsaidia kwa karibu waliobaki ni kelele na kutoa maelekezo tuwaatoto wengi una increase chances ya kupata msaada uzeeni kua na watoto 5+ sio unakua na mtoto mmoja anakuja msiBani kwako amelewa chakari na kashati kake kamoja kachafu unaabika wakiwa weng wanaweza kufukia io mistake.
mathematically ukiwa na watoto unapunguza risky ya aibu uzeeni
Siyo lazima usaidiweNauliza hili.!!
Ni kwanini familia zenye watoto wengi hasa nchini Tanzania zinakosa kushirikiana na kusaidiana kwenye mambo mbalimbali ya kifamilia pindi yanapotokea mfano maradhi, msiba, ama sherehe
Wazee wetu wanazaa watoto wengi kwa lengo la kupata msaada pindi wanapohitaji lakini cha ajabu wanaishia kukosa na kulalama tu
Baba anaweza kuwa mgonjwa na ana watoto 8 lakini msaada asipate ama apate kwa mtoto mmoja tu, je umuhimu wa kuzaa watoto wengi upo wapi
Inategemea walilelewaje, ni familia chache sana zinazotoa malezi kwa watoto, familia nyingi watoto wanajilea wenyewe, wazazi wahaingaika pale tu mtoto anapoumwa.Nauliza hili.!!
Ni kwanini familia zenye watoto wengi hasa nchini Tanzania zinakosa kushirikiana na kusaidiana kwenye mambo mbalimbali ya kifamilia pindi yanapotokea mfano maradhi, msiba, ama sherehe
Wazee wetu wanazaa watoto wengi kwa lengo la kupata msaada pindi wanapohitaji lakini cha ajabu wanaishia kukosa na kulalama tu
Baba anaweza kuwa mgonjwa na ana watoto 8 lakini msaada asipate ama apate kwa mtoto mmoja tu, je umuhimu wa kuzaa watoto wengi upo wapi
Nchi nyingi sana za vipato vya chini watoto hutizamwa kama retirement plan kwa wazazi. Watu wengi wanazaa kwa hofu ya kutokuwa na watu wa kuwatunza uzeeni.Sio kweli kuzaa wengi haikupi uhakika wa kufaidi uzeeni, ba mkwe anao 20+ lakini ndo yeshee ni 3 wenye moyo wa kumsaidia kwa karibu waliobaki ni kelele na kutoa maelekezo tu
Tuzae km kuzaa tu ila kutegemea wakutunze hiyo haipo utakufa kwa sonona na kulaani uzao wako mwnywNchi nyingi sana za vipato vya chini watoto hutizwa kama retirement plan kwa wazazi. Watu wengi wanazaa kwa hofu ya kutokuwa na watu wa kuwatunza uzeeni.