Umuhimu wa kuwa na watoto wengi uko wapi

Kuna mtu kanitega na kafanikiwa kuninasa ila nataka nimuoneshe kwa vitendo mpaka atauza karanga ,malengo yang ilikuwa nisiwe na kiumbe hapa dunian zaid ya mifugo
 
Africa sio ulaya kuwa unaweza kuwa na watoto 2 wote wakakuwa mpaka kufika utuuzima wakakutunza mzazi.Afrika risk ni nyingi sana kuanzia kwenye uchumi mpaka social life-unaweza zaa 2 wanaoendana na uwezo kiuchumi,bado mambo mengine mengi yakachangia wasifike utuuzima kama ajali,huduma mbovu za matibabu n.k.
Hivyo basi kiafrika ni vizuri mtu kuwa na watoto angalau 4 au 5 ili kuongeza nafasi ya kuhudumiwa unapofika umri mkubwa na kuendeleza kizazi.
 
nonsense
 
Kuna wajinga wengi mnoo.
 
Utumwa
 
Hao wa 4/5 hawawez pata izo risk?usibet maisha
 
Back
Top Bottom