Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
unao wangapi mpaka s
Tupo 12 lakini mzee anaumwa na hawamuangaliiunao wangapi mpaka sasa?
vipi kuhusu wewe umebahatika wangapi? una hoja usikilizweSe
Tupo 12 lakini mzee anaumwa na hawamuangalii
Mnaweza kuwa 12 lakini wote hamna ukaribu na mzazi/wazazi kutokana na namna ya malezi ilivyokuwa.Se
Tupo 12 lakini mzee anaumwa na hawamuangalii
Akili za kipuuz hizi. Tupo 8 ila 1 Tu ndo katokawaatoto wengi una increase chances ya kupata msaada uzeeni kua na watoto 5+ sio unakua na mtoto mmoja anakuja msiBani kwako amelewa chakari na kashati kake kamoja kachafu unaabika wakiwa weng wanaweza kufukia io mistake.
mathematically ukiwa na watoto unapunguza risky ya aibu uzeeni
NyandaTupo 12 lakini mzee anaumwa na hawamuangalii
Ujinga huo tena kukosa kazi , watoto 12 wa nn sasa?Se
Tupo 12 lakini mzee anaumwa na hawamuangalii
ni ili uonekane kidume cha mbegu, mama naye aonekane kazaa vema mpaka mayai yakamuishiaNauliza hili.!!
Ni kwanini familia zenye watoto wengi hasa nchini Tanzania zinakosa kushirikiana na kusaidiana kwenye mambo mbalimbali ya kifamilia pindi yanapotokea mfano maradhi, msiba, ama sherehe
Wazee wetu wanazaa watoto wengi kwa lengo la kupata msaada pindi wanapohitaji lakini cha ajabu wanaishia kukosa na kulalama tu
Baba anaweza kuwa mgonjwa na ana watoto 8 lakini msaada asipate ama apate kwa mtoto mmoja tu, je umuhimu wa kuzaa watoto wengi upo wapi
hayaHakuna faida ya kuwa na watoto wengi kama unajitambua.
Ni kuongeza idadi ya panya Road,majambazi ,na mateja tu ,kwa uchumi upi uzae watoto wengi kama panya?haya