Umuhimu wa kuwa na watoto wengi uko wapi

Wanawake waliowengi wanapenda sana watoto pomoja na changamoto wanazopata huko labour hawakomi.
Miye nina watoto wawili na nimemwambia wife hawa watoto wanatosha yeye hataki anasema tuongeza.
Watoto wa sasa hata ukizaa mia moja hawana msaada wowote kama wewe ni choka mbaya.
Kitakachokutunza wewe ni uchumi wako na siyo watoto
 
Sio kweli kuzaa wengi haikupi uhakika wa kufaidi uzeeni, ba mkwe anao 20+ lakini ndo yeshee ni 3 wenye moyo wa kumsaidia kwa karibu waliobaki ni kelele na kutoa maelekezo tu
 
Siyo lazima usaidiwe
 
Inategemea walilelewaje, ni familia chache sana zinazotoa malezi kwa watoto, familia nyingi watoto wanajilea wenyewe, wazazi wahaingaika pale tu mtoto anapoumwa.
 
Sio kweli kuzaa wengi haikupi uhakika wa kufaidi uzeeni, ba mkwe anao 20+ lakini ndo yeshee ni 3 wenye moyo wa kumsaidia kwa karibu waliobaki ni kelele na kutoa maelekezo tu
Nchi nyingi sana za vipato vya chini watoto hutizamwa kama retirement plan kwa wazazi. Watu wengi wanazaa kwa hofu ya kutokuwa na watu wa kuwatunza uzeeni.
 
Nchi nyingi sana za vipato vya chini watoto hutizwa kama retirement plan kwa wazazi. Watu wengi wanazaa kwa hofu ya kutokuwa na watu wa kuwatunza uzeeni.
Tuzae km kuzaa tu ila kutegemea wakutunze hiyo haipo utakufa kwa sonona na kulaani uzao wako mwnyw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…