Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu what if nikiamua kutumia UPS kwenye TV na radio, inawezekana?stabilizer hupandisha umeme ukipungua, au kuupunguza ukizidi.
umeme unakua level mida ya asubui na mchana, na hushuka (undervoltage/brownout) pale watumiaji wanapoongezeka , mida ya jioni na usiku.
umeme huweza kupanda (over voltage) mda wowote ule, system za tanesiko zikicheza
stabilizer haina nguvu ya kutosha kulinda chombo dhidi ya surge/spikes
surge ni umeme kupanda ghafla :
a. radi ikitokea (inline surges),
b. umeme umerudi baada ya kukatika , (power back surges)
c. kuwaka na kuzima kwa 'inductive loads' mf: friji, friza, ac ) (inline surges).
-lile friji (compressor-motor) lako linapowaka na kuzima umeme unacheza vibaya mno (voltage sags and swells ) .
hapa ndipo tv guard/fridge guard inapokua na manufaa kwani hulinda chombo dhidi ya surge(spikes),
a. inline surges ( sababu ni friji na radi )
b. power back surges (umeme kurudi mkubwa ghafla hudumu sekunde chache sana )
funga stabilizer kwenye vifaa vya electrical kama friji, friza,
funga guard kwenye vifaa vya electronics kama tv, radio,
Cons: Izi guard hujizima pindi kunapokua na over/under-voltage (badala ya kui adjust)
vifaa kama desktop pc , ivi hasa inaitaji UPS ( ambayo ina stabilizer pamoja na surge arrestor ambazo zote ziko effective )
Mkuu what if nikiamua kutumia UPS kwenye TV na radio, inawezekana?
ahsante sana mkuu nmekusoma naje? naweza tumia tv guard kuikinga tv yangu pamoja na redio yaan sabufa? kwamaanahyo kwamatumizi ya nymbn hyostebolizer hainifai?stabilizer hupandisha umeme ukipungua, au kuupunguza ukizidi.
umeme unakua level mida ya asubui na mchana, na hushuka (undervoltage/brownout) pale watumiaji wanapoongezeka , mida ya jioni na usiku.
umeme huweza kupanda (over voltage) mda wowote ule, system za tanesiko zikicheza
stabilizer haina nguvu ya kutosha kulinda chombo dhidi ya surge/spikes
surge ni umeme kupanda ghafla :
a. radi ikitokea (inline surges),
b. umeme umerudi baada ya kukatika , (power back surges)
c. kuwaka na kuzima kwa 'inductive loads' mf: friji, friza, ac ) (inline surges).
-lile friji (compressor-motor) lako linapowaka na kuzima umeme unacheza vibaya mno (voltage sags and swells ) .
hapa ndipo tv guard/fridge guard inapokua na manufaa kwani hulinda chombo dhidi ya surge(spikes),
a. inline surges ( sababu ni friji na radi )
b. power back surges (umeme kurudi mkubwa ghafla hudumu sekunde chache sana )
funga stabilizer kwenye vifaa vya electrical kama friji, friza,
funga guard kwenye vifaa vya electronics kama tv, radio,
Cons: Izi guard hujizima pindi kunapokua na over/under-voltage (badala ya kui adjust)
vifaa kama desktop pc , ivi hasa inaitaji UPS ( ambayo ina stabilizer pamoja na surge arrestor ambazo zote ziko effective )
ahsante sana mkuu nmekusoma naje? naweza tumia tv guard kuikinga tv yangu pamoja na redio yaan sabufa? kwamaanahyo kwamatumizi ya nymbn hyostebolizer hainifai?
ahsanteee mkuu nlikuwa namaanisha Tv Guard naweza itumia kwa Radio na Decoder mfano!?Fridge Guard ni nzuri zaidi kwaajili ya kulinda fridge , Kwa sababu:- endapo umeme unachezacheza (Fluctuate) basi fridge guard itajizima hadi umeme utakapotulia, na pia umeme utakapokuwa chini ya kiwango mfano 160V AC, basi fridge guard itajizima kabisa na haiwezi kupandisha voltage.
Unaweza kutumia pia combination ya starbilizer na UPS ( Starbilizer kwanza, inafuata UPS) - kwa vifaa vidogo sio kwenye fridge.
Kwenye TV/Deck/Decorder/radio/Subwoofer na vifaa vyote vya nyumbani vinavyotumia umeme mdogo tumia Starbilizer (Ya relay au servo) , kwani starbiliza nzuri ya servo ina uwezo wa kupandisha umeme (Mfano kuanzia 170V hadi 220).
na pia vifaa vyote vinavyotumia powersupply za Switch Mode zina uwezo wa kufanya kazi kwenye umeme mdogo kuanzia 100V hadi 230V.
na mimi nangojea jibuahsanteee mkuu nlikuwa namaanisha Tv Guard naweza itumia kwa Radio na Decoder mfano!?
Mkuu mimi kwenye TV na Home theater,fan natumia UPS,je nipo salama?stabilizer hupandisha umeme ukipungua, au kuupunguza ukizidi.
umeme unakua level mida ya asubui na mchana, na hushuka (undervoltage/brownout) pale watumiaji wanapoongezeka , mida ya jioni na usiku.
umeme huweza kupanda (over voltage) mda wowote ule, system za tanesiko zikicheza
stabilizer haina nguvu ya kutosha kulinda chombo dhidi ya surge/spikes
surge ni umeme kupanda ghafla :
a. radi ikitokea (inline surges),
b. umeme umerudi baada ya kukatika , (power back surges)
c. kuwaka na kuzima kwa 'inductive loads' mf: friji, friza, ac ) (inline surges).
-lile friji (compressor-motor) lako linapowaka na kuzima umeme unacheza vibaya mno (voltage sags and swells ) .
hapa ndipo tv guard/fridge guard inapokua na manufaa kwani hulinda chombo dhidi ya surge(spikes),
a. inline surges ( sababu ni friji na radi )
b. power back surges (umeme kurudi mkubwa ghafla hudumu sekunde chache sana )
funga stabilizer kwenye vifaa vya electrical kama friji, friza,
funga guard kwenye vifaa vya electronics kama tv, radio,
Cons: Izi guard hujizima pindi kunapokua na over/under-voltage (badala ya kui adjust)
vifaa kama desktop pc , ivi hasa inaitaji UPS ( ambayo ina stabilizer pamoja na surge arrestor ambazo zote ziko effective )
na mimi nangojea jibu
ahsanteee mkuu nlikuwa namaanisha Tv Guard naweza itumia kwa Radio na Decoder mfano!?
Mkuu mimi kwenye TV na Home theater,fan natumia UPS,je nipo salama?
Mkuu UPS yangu ni watts 2500,natumia kwa vitu vitatu tu:tv,home theater na fan!...hapo inaweza kuzidiwa?uko salama salimini, isije tu ukai zidisha mzigo iyo ups
Mkuu UPS yangu ni watts 2500,natumia kwa vitu vitatu tu:tv,home theater na fan!...hapo inaweza kuzidiwa?
Duh!!...hizi hesabu nilikuwa sizijui mkuu!!cheki tv ina watts ngapi, fan watts ngapi na home sieta watts ngapi
zijumlishe , jibu lisizidi 2500
Hivi mkuu mtu anaposema nimenunua home theater yenye kiwango cha watts 1000 output inamaanisha ni haya mambo ya umeme au ni ukubwa kwenye issue ya sauti?cheki tv ina watts ngapi, fan watts ngapi na home sieta watts ngapi
zijumlishe , jibu lisizidi 2500
Hivi mkuu mtu anaposema nimenunua home theater yenye kiwango cha watts 1000 output inamaanisha ni haya mambo ya umeme au ni ukubwa kwenye issue ya sauti?
Kwa hiyo mkuu ina maana stabilizer ya watts 1500 ina uwezo wa kuhudumia vifaa ya ectronics vyenye uwezo wa jumla ya watts 1500 peke yake?yah, iyo 1000 ni output, ina maana kupata input
input ( umeme ) = output + loss + misc.
kama izo sieta sio za ki guanzhou , loss na misc. itakua inachezea figa ndogo sana (ufanisi mkubwa) , kiasi kwamba input = output
najib swali lako sasa, ndio iyo 1000W ni ya umeme pia!
Kwa hiyo mkuu ina maana stabilizer ya watts 1500 ina uwezo wa kuhudumia vifaa ya ectronics vyenye uwezo wa jumla ya watts 1500 peke yake?
Aisee, unaeleweka sana, hata mtu ambae si mtaalam wa umeme nadhan kakuelewa vyema, labda mm ningeongezea jambo dogo tu,yap, ni sawa na gari au barabara iandikwe 10t, maana usizidishe zaidi ya tani 10, ndio uwezo wake.
kama utazidisha , iyo stabilizer (hata ups, japo ups hukata moto fasta) utaidumaza, kama ni ya kichina itachemka, itapata moto (nyaya na items zingine za ndani zitabanikwa ) kama si kuungua ndani kwa ndani
note: kizio cha stabilizer/ups hua ni VA (mara nyingi)
ukicheki wa label unakuta 2kVA, hii ina maana ni 2000VA, sasa kwa ustaarab wa nyumbani (residential pf ) iyo 2000 unazidisha na 0.8 (pf ya majumbani) , unapata 1600 na kizio hubadilika kua watts ie: 1600W