Umuhimu wa Tv Guard na Stabilizer katika matumizi ya umeme majumbani

stabilizer hupandisha umeme ukipungua, au kuupunguza ukizidi.

umeme unakua level mida ya asubui na mchana, na hushuka (undervoltage/brownout) pale watumiaji wanapoongezeka , mida ya jioni na usiku.

umeme huweza kupanda (over voltage) mda wowote ule, system za tanesiko zikicheza

stabilizer haina nguvu ya kutosha kulinda chombo dhidi ya surge/spikes

surge ni umeme kupanda ghafla :

a. radi ikitokea (inline surges),

b. umeme umerudi baada ya kukatika , (power back surges)

c. kuwaka na kuzima kwa 'inductive loads' mf: friji, friza, ac ) (inline surges).

-lile friji (compressor-motor) lako linapowaka na kuzima umeme unacheza vibaya mno (voltage sags and swells ) .

hapa ndipo tv guard/fridge guard inapokua na manufaa kwani hulinda chombo dhidi ya surge(spikes),

a. inline surges ( sababu ni friji na radi )

b. power back surges (umeme kurudi mkubwa ghafla hudumu sekunde chache sana )

funga stabilizer kwenye vifaa vya electrical kama friji, friza,

funga guard kwenye vifaa vya electronics kama tv, radio,

Cons: Izi guard hujizima pindi kunapokua na over/under-voltage (badala ya kui adjust)

vifaa kama desktop pc , ivi hasa inaitaji UPS ( ambayo ina stabilizer pamoja na surge arrestor ambazo zote ziko effective )

Msaada mkuu johnhance UPS nivifaa gani na kinakazi gani?
 
Fridge Guard ni nzuri zaidi kwaajili ya kulinda fridge , Kwa sababu:- endapo umeme unachezacheza (Fluctuate) basi fridge guard itajizima hadi umeme utakapotulia, na pia umeme utakapokuwa chini ya kiwango mfano 160V AC, basi fridge guard itajizima kabisa na haiwezi kupandisha voltage.

Unaweza kutumia pia combination ya starbilizer na UPS ( Starbilizer kwanza, inafuata UPS) - kwa vifaa vidogo sio kwenye fridge.

Kwenye TV/Deck/Decorder/radio/Subwoofer na vifaa vyote vya nyumbani vinavyotumia umeme mdogo tumia Starbilizer (Ya relay au servo) , kwani starbiliza nzuri ya servo ina uwezo wa kupandisha umeme (Mfano kuanzia 170V hadi 220).

na pia vifaa vyote vinavyotumia powersupply za Switch Mode zina uwezo wa kufanya kazi kwenye umeme mdogo kuanzia 100V hadi 230V.
Ahsanteee sana mkuu
 
Yes unaweza kutumia na itakusaidia na vifuatavyo:
- Surge protection (Umeme mkubwa wa ghafla)
-Umeme unaocheza cheza (Fluctuation)
-Umeme mkubwa uliozidi.

Hasara zake:
-Umeme ukicheza itajizima kwa dakika kadhaa, hapo lazima usubirie tu hata kama unaangalia Taarifa ya habari
-Inachelewa kuwaka unapoiwasha.
-Umeme ukiwa mdogo itajizima.
Aisee ahsanteee sana ninaenda kuinunua sasa nanitaitumia kwavfaa vyangu radio (sabufer tv na decoder
 
Yes unaweza kutumia na itakusaidia na vifuatavyo:
- Surge protection (Umeme mkubwa wa ghafla)
-Umeme unaocheza cheza (Fluctuation)
-Umeme mkubwa uliozidi.

Hasara zake:
-Umeme ukicheza itajizima kwa dakika kadhaa, hapo lazima usubirie tu hata kama unaangalia Taarifa ya habari
-Inachelewa kuwaka unapoiwasha.
-Umeme ukiwa mdogo itajizima.
Ndaga fijo kaka
 
Msaada mkuu johnhance UPS nivifaa gani na kinakazi gani?

vifaa ambavyo vinaitaji hatua katika uzimaji mf: desktop pc, vifaa vingi vya hospitali, server, nk

sidhani kama ni sahihi kuunga desktop yako kwa umeme af ukakatika ghafla! ukiwa na ups, ndogo hua na bettry ndani zinatunza umeme, kukupa mda kusev kazi yako NA kuizima mashine yako kwa steps.

ups ina stabilizer ndani ( ya kisasa zaidi, solid state voltage switcher ) + ina surge arrester ndani (surges/transienst/spikes hapa sahau) ina over load protection ( itazima ukiizidishia mzigo ) ina short circuit protection ( na iko fasta ku 'act' ) ina bettry ndani ( kwa ups ndogo , hapa desktop yako haitazima ghafla tanesco wakichukua chao )

hakuna asietaka kizuri, ups ni ghali kiukweli ( Tsh @ unit Watt/VA ), nenda laptop city pale posta, chukua APC UPS , mmarekani hua hakosei ila pocket yako iwe deep
 
Aisee, unaeleweka sana, hata mtu ambae si mtaalam wa umeme nadhan kakuelewa vyema, labda mm ningeongezea jambo dogo tu,
Utumiaji wa vitu kama UPS, GURDS, STABILIZERS na AUTOTRANSFOMERS pia hupunguza bili ya umeme, maana vifaa vinavotumia umeme vinatabia ya kunyonya current kubwa wakati voltage ikiwa ndogo(kwa maana ya umeme kua mdogo ama mkubwa ni ishu ya voltage), hii usababisha heating na losses nyingne ambazo kwa ujumla huongeza bili ya umeme.
Ahsanteee Sana kwakuongezea point nmewasoma vema sana vp kuhusiana na UPS inakazi gani?
 
stabilizer hupandisha umeme ukipungua, au kuupunguza ukizidi.

umeme unakua level mida ya asubui na mchana, na hushuka (undervoltage/brownout) pale watumiaji wanapoongezeka , mida ya jioni na usiku.

umeme huweza kupanda (over voltage) mda wowote ule, system za tanesiko zikicheza

stabilizer haina nguvu ya kutosha kulinda chombo dhidi ya surge/spikes

surge ni umeme kupanda ghafla :

a. radi ikitokea (inline surges),

b. umeme umerudi baada ya kukatika , (power back surges)

c. kuwaka na kuzima kwa 'inductive loads' mf: friji, friza, ac ) (inline surges).

-lile friji (compressor-motor) lako linapowaka na kuzima umeme unacheza vibaya mno (voltage sags and swells ) .

hapa ndipo tv guard/fridge guard inapokua na manufaa kwani hulinda chombo dhidi ya surge(spikes),

a. inline surges ( sababu ni friji na radi )

b. power back surges (umeme kurudi mkubwa ghafla hudumu sekunde chache sana )

funga stabilizer kwenye vifaa vya electrical kama friji, friza,

funga guard kwenye vifaa vya electronics kama tv, radio,

Cons: Izi guard hujizima pindi kunapokua na over/under-voltage (badala ya kui adjust)

vifaa kama desktop pc , ivi hasa inaitaji UPS ( ambayo ina stabilizer pamoja na surge arrestor ambazo zote ziko effective )
Sina Shaka na Majibu yako. Napenda kujua Elimu yako katika Masuala ya Electrical na Electronics na Experience yako. Maana vitu ulivo vielezea huwa havipo kwenye Curriculum zaidi sana ni kujiongeza na kujisomea mtandaoni na utafiti binafsi. Hongera sana
 
Fridge Guard ni nzuri zaidi kwaajili ya kulinda fridge , Kwa sababu:- endapo umeme unachezacheza (Fluctuate) basi fridge guard itajizima hadi umeme utakapotulia, na pia umeme utakapokuwa chini ya kiwango mfano 160V AC, basi fridge guard itajizima kabisa na haiwezi kupandisha voltage.

Unaweza kutumia pia combination ya starbilizer na UPS ( Starbilizer kwanza, inafuata UPS) - kwa vifaa vidogo sio kwenye fridge.

Kwenye TV/Deck/Decorder/radio/Subwoofer na vifaa vyote vya nyumbani vinavyotumia umeme mdogo tumia Starbilizer (Ya relay au servo) , kwani starbiliza nzuri ya servo ina uwezo wa kupandisha umeme (Mfano kuanzia 170V hadi 220).

na pia vifaa vyote vinavyotumia powersupply za Switch Mode zina uwezo wa kufanya kazi kwenye umeme mdogo kuanzia 100V hadi 230V.
WTu kama nyie tunawahitaji kwenye jukwaa la Technology lakini hatuwaoni
 
yah, iyo 1000 ni output, ina maana kupata input

input ( umeme ) = output + loss + misc.

kama izo sieta sio za ki guanzhou , loss na misc. itakua inachezea figa ndogo sana (ufanisi mkubwa) , kiasi kwamba input = output

najib swali lako sasa, ndio iyo 1000W ni ya umeme pia!
Naongezea hapo. Unaposema watts 1000 hiyo ipo direct na RMS wakati wa convention ya electrical power kuwa Sauti. Na hiyo watts 1000 imegawanyika katika 5.1 channels. Yaani spika sita za system yako ambapo mbilí ni Front Stereo na mbili ni Soround ambazo ni Back na moja ni Center na pia moja ni Ni Passive Woofer.

So unaweza ona kila spika ndogo ina watts 160. Soo ni 160 watts X 5 speakers ambapo utapata 800 Watts na watts 200 Zilizo baki ni za Passive Subwoofer.

Hii ndio njia sahihi ya kupima vifaa uwezo wa vifaa vya mziki kwa kutumia RMS watts. Pia kuna baadhi ya Watu au makampuni hutumia kitu kinaitwa PMPO ambayo sio njia sahihi sana.
 
Kwa hiyo mkuu ina maana stabilizer ya watts 1500 ina uwezo wa kuhudumia vifaa ya ectronics vyenye uwezo wa jumla ya watts 1500 peke yake?
At a maximum inaweza na kama efficiency ni 100% ila kwa usalama wako unaweza apply formula ya ku add -20% kama Tolerance. Yaani kama Stabilizer yako ni 1000Watts basi toa Asilmia 20 ya power yako ambapo utapata 800 Watts. So una uwezo wa kutumia watts 800 Tuuu
 
yap, ni sawa na gari au barabara iandikwe 10t, maana usizidishe zaidi ya tani 10, ndio uwezo wake.

kama utazidisha , iyo stabilizer (hata ups, japo ups hukata moto fasta) utaidumaza, kama ni ya kichina itachemka, itapata moto (nyaya na items zingine za ndani zitabanikwa ) kama si kuungua ndani kwa ndani

note: kizio cha stabilizer/ups hua ni VA (mara nyingi)

ukicheki wa label unakuta 2kVA, hii ina maana ni 2000VA, sasa kwa ustaarab wa nyumbani (residential pf ) iyo 2000 unazidisha na 0.8 (pf ya majumbani) , unapata 1600 na kizio hubadilika kua watts ie: 1600W
Hapo kwenye power factor utawachanganya mkuu
 
Aisee, unaeleweka sana, hata mtu ambae si mtaalam wa umeme nadhan kakuelewa vyema, labda mm ningeongezea jambo dogo tu,
Utumiaji wa vitu kama UPS, GURDS, STABILIZERS na AUTOTRANSFOMERS pia hupunguza bili ya umeme, maana vifaa vinavotumia umeme vinatabia ya kunyonya current kubwa wakati voltage ikiwa ndogo(kwa maana ya umeme kua mdogo ama mkubwa ni ishu ya voltage), hii usababisha heating na losses nyingne ambazo kwa ujumla huongeza bili ya umeme.
Haiwezekani kupunguza Bill ya umeme zaidi sana vinaweza kuongeza bill (Insignificant) kwa maana kwamba kunakitu kinaitwa power loss. Umeme ukipitia kwenye process yoyote lazima kuwe na power loss.

Kwa mfano umeme umeingia kwenye Auto transformer yako na ukatoka kwenda kwenye matumizi inqbidi ujue iyo autotransformer ina efficiency kiasi gani???? Assume ina efficiency 90% basi jua kuna 10% ya umeme unapotea. Na je unapotelea wapi??

Hapo unakua converted kwenda kwenye other form ya energy. Mfano. Transformer inapata moto au inaunguruma. Soo iyo asilimia 10 italiwa na Joto na kuunguruma kwa transformer.

Pia nimesema ni (INSIGNIFICANT) Nikiwa namaanisha iyo bili inayoongezeka ni kidogo sana kiasi cha kuto i sanse. Assume kila Unit unayonunua kuna Shilingi 2 inaongezeka kitu ambacho huwezi ki Sanse.
 
Msaada mkuu johnhance UPS nivifaa gani na kinakazi gani?
UPS kwa kirefu ni UnIntarapted Power supply. Ni kifaa kinacho linda vifaa vya Electronics mf. TV, PC, Deck, Music system na Kadhalika ila jambo la msingi sana kwa UPS pia inaweza kutunza umeme.

Mfano umeme umekatika. UPS ina uwezo wa kuendelea kutoa umeme hadi Dakika (30 Mfano) ambapo ww utaenda kuwasha jenereta au kutafuta other source ya power. Pia kama unafanya kazi kwenye computer especially Desktop basi utapata wasaa wa kusave kazi zako hadi umeme utakapo rudi.
 
Jina lenyewe inaitwa tv guard huon imetengenezwa mahususi kwa watt za tv cyo vtu vikubwa.hata hvyo unaweza tumia vifaa vyenye watt ndogo either sawa na tv au vidogo zaid ya tv katka watt.zaid tv guard moja ni kwa tv moja syo zaid kwa wakat mmoja!huo ndo uelewa wangu.nakarbisha kukosolewa!
 
vifaa ambavyo vinaitaji hatua katika uzimaji mf: desktop pc, vifaa vingi vya hospitali, server, nk

sidhani kama ni sahihi kuunga desktop yako kwa umeme af ukakatika ghafla! ukiwa na ups, ndogo hua na bettry ndani zinatunza umeme, kukupa mda kusev kazi yako NA kuizima mashine yako kwa steps.

ups ina stabilizer ndani ( ya kisasa zaidi, solid state voltage switcher ) + ina surge arrester ndani (surges/transienst/spikes hapa sahau) ina over load protection ( itazima ukiizidishia mzigo ) ina short circuit protection ( na iko fasta ku 'act' ) ina bettry ndani ( kwa ups ndogo , hapa desktop yako haitazima ghafla tanesco wakichukua chao )

hakuna asietaka kizuri, ups ni ghali kiukweli ( Tsh @ unit Watt/VA ), nenda laptop city pale posta, chukua APC UPS , mmarekani hua hakosei ila pocket yako iwe deep
Niandae kama tzs ngapi mkuu?
 
Haiwezekani kupunguza Bill ya umeme zaidi sana vinaweza kuongeza bill (Insignificant) kwa maana kwamba kunakitu kinaitwa power loss. Umeme ukipitia kwenye process yoyote lazima kuwe na power loss.

Kwa mfano umeme umeingia kwenye Auto transformer yako na ukatoka kwenda kwenye matumizi inqbidi ujue iyo autotransformer ina efficiency kiasi gani???? Assume ina efficiency 90% basi jua kuna 10% ya umeme unapotea. Na je unapotelea wapi??

Hapo unakua converted kwenda kwenye other form ya energy. Mfano. Transformer inapata moto au inaunguruma. Soo iyo asilimia 10 italiwa na Joto na kuunguruma kwa transformer.

Pia nimesema ni (INSIGNIFICANT) Nikiwa namaanisha iyo bili inayoongezeka ni kidogo sana kiasi cha kuto i sanse. Assume kila Unit unayonunua kuna Shilingi 2 inaongezeka kitu ambacho huwezi ki Sanse.
Aisee sawasawa umesomeka vema
 
UPS kwa kirefu ni UnIntarapted Power supply. Ni kifaa kinacho linda vifaa vya Electronics mf. TV, PC, Deck, Music system na Kadhalika ila jambo la msingi sana kwa UPS pia inaweza kutunza umeme.

Mfano umeme umekatika. UPS ina uwezo wa kuendelea kutoa umeme hadi Dakika (30 Mfano) ambapo ww utaenda kuwasha jenereta au kutafuta other source ya power. Pia kama unafanya kazi kwenye computer especially Desktop basi utapata wasaa wa kusave kazi zako hadi umeme utakapo rudi.
Ahsanteee sana kaka umenifungua macho shukrani kwamchango wako
 
Back
Top Bottom