Umuhimu wa Tv Guard na Stabilizer katika matumizi ya umeme majumbani

Umuhimu wa Tv Guard na Stabilizer katika matumizi ya umeme majumbani

Jina lenyewe inaitwa tv guard huon imetengenezwa mahususi kwa watt za tv cyo vtu vikubwa.hata hvyo unaweza tumia vifaa vyenye watt ndogo either sawa na tv au vidogo zaid ya tv katka watt.zaid tv guard moja ni kwa tv moja syo zaid kwa wakat mmoja!huo ndo uelewa wangu.nakarbisha kukosolewa!
Sawa alkelokas lkn ukumbuke watt za tv Kama flat nindogo kwhy inaweza ikabeba deki decoder sabufer pamoja na tv flat lakin zenye kuchukua umeme mdogo
 
mwenyewe nshakuwaga tv guard nlichomoa nikapiga direct maana yenyewe ndo inaweza choma tv kila muda inazima...umeme wetu wa kibongo hautulii so guard muda wote ina trip
 
Sawa alkelokas lkn ukumbuke watt za tv Kama flat nindogo kwhy inaweza ikabeba deki decoder sabufer pamoja na tv flat lakin zenye kuchukua umeme mdogo
Lakini je unafaham kuwa utakapojumlisha watt za tv,redio na kicmbuz ni chini ya output watt ya hyo tv guard?cha msingi soma output ya tv guard hyo ni watt ngap kulko kuasume.
 
Lakini je unafaham kuwa utakapojumlisha watt za tv,redio na kicmbuz ni chini ya output watt ya hyo tv guard?cha msingi soma output ya tv guard hyo ni watt ngap kulko kuasume.
sawasawa mkuu kwa hapo nmekuelewa vema
 
Fridge Guard ni nzuri zaidi kwaajili ya kulinda fridge , Kwa sababu:- endapo umeme unachezacheza (Fluctuate) basi fridge guard itajizima hadi umeme utakapotulia, na pia umeme utakapokuwa chini ya kiwango mfano 160V AC, basi fridge guard itajizima kabisa na haiwezi kupandisha voltage.

Unaweza kutumia pia combination ya starbilizer na UPS ( Starbilizer kwanza, inafuata UPS) - kwa vifaa vidogo sio kwenye fridge.

Kwenye TV/Deck/Decorder/radio/Subwoofer na vifaa vyote vya nyumbani vinavyotumia umeme mdogo tumia Starbilizer (Ya relay au servo) , kwani starbiliza nzuri ya servo ina uwezo wa kupandisha umeme (Mfano kuanzia 170V hadi 220).



na pia vifaa vyote vinavyotumia powersupply za Switch Mode zina uwezo wa kufanya kazi kwenye umeme mdogo kuanzia 100V hadi 230V.
Maelekezo mazur saan haya mkuu asante nami nmepata kitu mpya kwa kichwa yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia extension cable ya HiVoltguard kama hii itakusaidia sana.
Extension cable.jpg
 
vifaa ambavyo vinaitaji hatua katika uzimaji mf: desktop pc, vifaa vingi vya hospitali, server, nk

sidhani kama ni sahihi kuunga desktop yako kwa umeme af ukakatika ghafla! ukiwa na ups, ndogo hua na bettry ndani zinatunza umeme, kukupa mda kusev kazi yako NA kuizima mashine yako kwa steps.

ups ina stabilizer ndani ( ya kisasa zaidi, solid state voltage switcher ) + ina surge arrester ndani (surges/transienst/spikes hapa sahau) ina over load protection ( itazima ukiizidishia mzigo ) ina short circuit protection ( na iko fasta ku 'act' ) ina bettry ndani ( kwa ups ndogo , hapa desktop yako haitazima ghafla tanesco wakichukua chao )

hakuna asietaka kizuri, ups ni ghali kiukweli ( Tsh @ unit Watt/VA ), nenda laptop city pale posta, chukua APC UPS , mmarekani hua hakosei ila pocket yako iwe deep
Kwa APC-UPS ya watt2500 inaweza kucheza bei gani kwa makadirio mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, naomba nifahamishe, mfano nina stabilizer ya watt 500, nitajuaje vifaa nilivyounganisha vinatosha kwenye hiyo stabilizer.!
Inabidi ujue kusoma Ratings za vifaa vya electronic. Mfano TV, Deck, Radio, King'amuzi na Vingine. Kisha ujumlishe power ya kila kifaa (Watts) ndipo utapata Load yako
 
Back
Top Bottom