Umuhimu wa Tv Guard na Stabilizer katika matumizi ya umeme majumbani

Sawa alkelokas lkn ukumbuke watt za tv Kama flat nindogo kwhy inaweza ikabeba deki decoder sabufer pamoja na tv flat lakin zenye kuchukua umeme mdogo
 
mwenyewe nshakuwaga tv guard nlichomoa nikapiga direct maana yenyewe ndo inaweza choma tv kila muda inazima...umeme wetu wa kibongo hautulii so guard muda wote ina trip
 
Sawa alkelokas lkn ukumbuke watt za tv Kama flat nindogo kwhy inaweza ikabeba deki decoder sabufer pamoja na tv flat lakin zenye kuchukua umeme mdogo
Lakini je unafaham kuwa utakapojumlisha watt za tv,redio na kicmbuz ni chini ya output watt ya hyo tv guard?cha msingi soma output ya tv guard hyo ni watt ngap kulko kuasume.
 
Lakini je unafaham kuwa utakapojumlisha watt za tv,redio na kicmbuz ni chini ya output watt ya hyo tv guard?cha msingi soma output ya tv guard hyo ni watt ngap kulko kuasume.
sawasawa mkuu kwa hapo nmekuelewa vema
 
Maelekezo mazur saan haya mkuu asante nami nmepata kitu mpya kwa kichwa yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa APC-UPS ya watt2500 inaweza kucheza bei gani kwa makadirio mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, naomba nifahamishe, mfano nina stabilizer ya watt 500, nitajuaje vifaa nilivyounganisha vinatosha kwenye hiyo stabilizer.!
Inabidi ujue kusoma Ratings za vifaa vya electronic. Mfano TV, Deck, Radio, King'amuzi na Vingine. Kisha ujumlishe power ya kila kifaa (Watts) ndipo utapata Load yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…