Chamsingi ungalie jumla ya watt za hivyo vifaa kwa mfano tv chogo ni watt 60-75 lkn pas ya umeme ni watt 1000 kwamaanahyo ukiweka pasi ya watt 1000 kwenye stebolizer ya watt 500 lazima stebolizer itaunguaMkuu, naomba nifahamishe, mfano nina stabilizer ya watt 500, nitajuaje vifaa nilivyounganisha vinatosha kwenye hiyo stabilizer.!
tena asijaribu kuweka pasi kwenye starbilizer kabisa. Haina umuhimu huo hata kama starbilizer ni kubwaChamsingi ungalie jumla ya watt za hivyo vifaa kwa mfano tv chogo ni watt 60-75 lkn pas ya umeme ni watt 1000 kwamaanahyo ukiweka pasi ya watt 1000 kwenye stebolizer ya watt 500 lazima stebolizer itaungua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa kwa maana hyo tv guard itakua naulinzi kuliko hyo extensionHapana, itasaidia kwenye umeme unaopanda juu sana na kushuka ghafla tu.
tena asijaribu kuweka pasi kwenye starbilizer kabisa. Haina umuhimu huo hata kama starbilizer ni kubwa
ndio , TV guard itafanya kazi vizuri zaidi
Ndio ina surge protector ndani.Iko sensitive sana huwezi kuunguza kifaa chako kabisa kama umekiunga kwenye hii extension cable.Bila shaka hii itakuwa na Surge Protector ndani
Niliona Mwanza inauzwa elfu 45 lakini Dar unaweza kuipata kwa elfu 35 mpaka 40.
Kwa nini Tv guard itakuwa bora zaidi wakati hii extension iko sensitive sana.Hebu nisaidie nielewe maana mimi sioni haja ya kutumia hata stabilizer nikiwa na hii extension.ndio , TV guard itafanya kazi vizuri zaidi
Tatzo mm cjawai itumia waje wajuzi watuelezeKwa nini Tv guard itakuwa bora zaidi wakati hii extension iko sensitive sana.Hebu nisaidie nielewe maana mimi sioni haja ya kutumia hata stabilizer nikiwa na hii extension.
Kwa nini Tv guard itakuwa bora zaidi wakati hii extension iko sensitive sana.Hebu nisaidie nielewe maana mimi sioni haja ya kutumia hata stabilizer nikiwa na hii extension.
maelezo yamejitosheleza kabsa hamna nyongeza! chamsingi hapo nikutafuta tv guard Bora zaidi kwa upande wa TvNi extension nyingi sana zinakuja na surge protections (Zingine hata huwezi kujua lakini zinayo). Sasa surge protector inafanya kazi ya kuzuia umeme unaopanda ghafla (Kama vile wakati radi inapopiga na kuungana na umeme wa Tanesco). Na nilazima umeme upande kwa kasi sana ndipo surge protector itakapofanya kazi yake vyema.
umeme wa Tanzania ni kati ya 220V hadi 240V huo ndio wa kawaida,
>sasa endapo umeme utashuka chini ya 220V , mathalani ukaenda hadi 180V basi kuna vifaa havitaweza kufanya kazi, na
1.Surge protector haiwezi kusaidia chochote hapo, itapitisha umeme huo huo.
2. TV guard/ Fridge guard itazima kabisa kwa muda wa dakika 5 au hadi umeme urudi kwenye hali yake.
3. Starbilizer itaupandisha hadi 220V au zaidi kulingana na ubora wake.
4. UPS itaukataa huo umeme , na itaanza kutumia backup yake ya battery huku ikipiga alarm.
>sasa endapo umeme unachezacheza
1.Surge protector haiwezi kusaidia chochote hapo, itapitisha umeme huo huo.
2. TV guard/ Fridge guard itazima kabisa hadi umeme urudi kwenye hali yake.
3. Starbilizer itakuwa inaurekebisha na kuhakikisha output ipo kwenye range salama kulingana na ubora wake.
4. UPS itajitahidi kuurekebisha, kuukataa na kuukubali huku ikipiga alarm na kunyamaza.
>sasa endapo umeme umepanda kupita 240V , mfano 260V
1.Surge protector baada ya muda itakata umeme au zingine zinakata umeme na kuungua (kulingana na muundo).
2. TV guard/ Fridge guard itazima na kama haina ubora inaweza kuruhusu baadae au inaweza kuungua..
3. Starbilizer itakuwa itajitahidi kuurudisha kwenye range salama kulingana na ubora wake au inaweza kuungua au kukata fuse.
4. UPS itaukataa, itaanza kutumia backup yake huku ikipiga Alarm na inaweza kuunguza surge protector yake na kukata fuse.
Stabilizer yenyewe inatoa wapi umeme wa ziada kufikia 220,wakati supply ni mfano 180v?Ni extension nyingi sana zinakuja na surge protections (Zingine hata huwezi kujua lakini zinayo). Sasa surge protector inafanya kazi ya kuzuia umeme unaopanda ghafla (Kama vile wakati radi inapopiga na kuungana na umeme wa Tanesco). Na nilazima umeme upande kwa kasi sana ndipo surge protector itakapofanya kazi yake vyema.
umeme wa Tanzania ni kati ya 220V hadi 240V huo ndio wa kawaida,
>sasa endapo umeme utashuka chini ya 220V , mathalani ukaenda hadi 180V basi kuna vifaa havitaweza kufanya kazi, na
1.Surge protector haiwezi kusaidia chochote hapo, itapitisha umeme huo huo.
2. TV guard/ Fridge guard itazima kabisa kwa muda wa dakika 5 au hadi umeme urudi kwenye hali yake.
3. Starbilizer itaupandisha hadi 220V au zaidi kulingana na ubora wake.
4. UPS itaukataa huo umeme , na itaanza kutumia backup yake ya battery huku ikipiga alarm.
>sasa endapo umeme unachezacheza
1.Surge protector haiwezi kusaidia chochote hapo, itapitisha umeme huo huo.
2. TV guard/ Fridge guard itazima kabisa hadi umeme urudi kwenye hali yake.
3. Starbilizer itakuwa inaurekebisha na kuhakikisha output ipo kwenye range salama kulingana na ubora wake.
4. UPS itajitahidi kuurekebisha, kuukataa na kuukubali huku ikipiga alarm na kunyamaza.
>sasa endapo umeme umepanda kupita 240V , mfano 260V
1.Surge protector baada ya muda itakata umeme au zingine zinakata umeme na kuungua (kulingana na muundo).
2. TV guard/ Fridge guard itazima na kama haina ubora inaweza kuruhusu baadae au inaweza kuungua..
3. Starbilizer itakuwa itajitahidi kuurudisha kwenye range salama kulingana na ubora wake au inaweza kuungua au kukata fuse.
4. UPS itaukataa, itaanza kutumia backup yake huku ikipiga Alarm na inaweza kuunguza surge protector yake na kukata fuse.
Stabilizer yenyewe inatoa wapi umeme wa ziada kufikia 220,wakati supply ni mfano 180v?
Siyo stebolaizerwanajif hv Stebolaizer pamojq na TV guard nivifaa ambavyo vnaweza kukinga vifaa vya umeme kwa Uhakika km Tv 'Radio' computer' asa pale umeme unapozidi au radi? ushauri tafadhali nistebolaizer gani inafaa au tv Guard gani??? nawasilisha
Na wewe inaitwa Stabilizer kwa English yetu sisiSiyo stebolaizer
Ni stabiliser =.stabilaiza