Umuhimu wa Tv Guard na Stabilizer katika matumizi ya umeme majumbani

Maelezo yako nimeyaelewa lakini hii extension ina njia 7 za kulinda kifaa cha umeme.Sio kama extensio zile za kawaida.Haina tofauti na Fridge/TV guard na inapatikana kwa bei nafuu.Angalia specifications zake.
 
Point
 
Hapo kwenye pmpo tupe somo hesabu zake zinakuaje maana kuna mtu Facebook marketplace anauza home theater singsung hizi za kichina anadai ni watt 4500 kakomaa kinoma iyo sio watt 4500 japo sijui formula yake
 
Natumia TV Guard na Fridge Guard ila nilikuwa sina hii elimu. Uzi wa 2018 lakini bado unaishi bila kupoteza maana.
Hongera sana wadau kwa michango yenu imenipa elimu nzuri.
 
Tv guard na fridge guard ni tofauti?
Pitia comments hapo juu kuna mdau kaeleza vizuri sana kuhusu utofauti kati ya TV Guard na Fridge Guard.
Kwa kifupi tu ameeleza utafauti upo kwenye uwezo (watts) kwa maana kuwa TV Guard ina watt chache ukilinganisha na TV Guard.
Kwa upande wangu kila kimoja kinatumika kivyake maana TV na Fridge havikai karibu. TV iko sebuleni wakati Fridge ipo jiloni. Hivyo kila kimoja kinatumia relevant Guard.
 
Wandungu Tv yangu ime ungua baada ya kupigwa shot haiwaki. Aina ni sony inch 32 kabla sija peleka kwa fundi na kutumia gharama kunaa alie wahi tokea na tatizo kama hili na Tv ika tengenezwa kwa gharama isio zidi 100k
 
Brilliant explanation man
 
Hivi tv guard inaweza linda pia fridge naona imekua specify as tv guard what about fridge guard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…