UN kupinga mradi wa Steigler's Gorge ni uhujumu

Tusipende kutupia lawama kwa wengine pale tunaposhindwa kufanikisha mipango yetu.....nadhani kabla hatujaanza ujenzi wa hilo Bwawa, tuhoji kwanza matumizi ya Gesi.....zile ahadi kuwa kukatika kwa umeme kutakuwa historian kumeishia wapi?
Sipingi huo ujenzi, ninachotaka ni kuhakikishiwa matokeo ya Ujenzi, kule Mtwara watu walivunjwa Miguu, wengine kupoteza maisha kwa kisingizio cha wanazuia maendeleo.
Hawa wapuuzi ni vibaraka wa mabepari wasio na akili. Afadhali uwe na akili ndio uwe kibaraka.
 
Mambo muhimu yanajadiliwa kisiasa na kiumbeaumbea no fact zozote zenye mashiko. Hebu mleta hoja unaye pinga ya UN njoo na point zenye mashiko za kuwapinga Hawa wakoloni UN.
Gas ipo wapi?/mitambo ya Kinuerezi ipo wapi? Mtwara bado kuna mgao wa kufa mtu
 
Kwani hiyo hela yenyewe ya kujenga anayo? Au ndio anakopa huko huko!
 
...Umeulizwa porojo kwamba gesi itamaliza mgao wa umeme na kuwa historia zimeishia wapi?
Demand ya power haiko static kwa nchi yenye kupenda .maendeleo.
Siku viwanda vimepamba moto, hata Steiglers Gorge itakuwa haitoshi.
Atatokea mtanzania akajenga kiwanda cha kuchenjua chuma, anachukua umeme wa mkoa mzima au miwili.

Kujenga basic miundombinu naamini haitaishia na gesi na SG.
 
View attachment 701335

Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira.

Huu ni uhujumu, full stop!

UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair, lakini ujumbe huo ni lazima unatoka nchi zinazofaidika na matatizo yetu ya nishati.

Kampuni za kimarekani kama AGGREKO, DOWANS na nyingine nyingi ni wazi zisingependa kuona mradi huu wa Stieglers Gorge ukifanikiwa, maana watakosa ulaji wanaofaidika nao leo.

Kama ingewapendeza UN, basi Three Gorges Dam ya China, Aswan Dam ya Misri, Akosombo Dam ya Ghana vyote visingejengwa kwa sababu za kimazingira.

Nampongeza sana Rais Magufuli na kumpa moyo kushika moyo ule ule , ili nchi ijitawale kinishati.
Kwani ile gesi asilia kutoka Mtwara na Songosongo imekwisha? Kwa nini tusitumie hiyo kuzalisha umeme wa uhakika na kutosha? Huoni kwamba kuanza mradi mpya wakati kuna ambao unapaswa kuboreshwa ni gharama zaidi? Kuna dalili ya ufisadi tu kwenye hili suala
 
Tanzania ni nchi huru Stgls Dam inajengwa na hakuna wa kuzuia japo wawekezaji waliozoea kuikamua Tanesco hawapendi...nchi kujitegemea binafsi katika umeme wa uhakika ni mojawapo ya criteria kubwa kua nchi ipo salama...tofaut na kutegemea umeme wa muhindi na mzungu .....Mtanzania atakayepinga huu mradi kuna matatu..moja anafata mkumbo..pili hajui ajenda ya siri ya wanaopinga mradi huu au si mzalendo kwa Taifa lake
 
Kwahiyo hoja yako kwamba UN wanapinga in favor of kampuni zao za kuzalisha umeme kumbe uliamua tu kupiga porojo sio?!

Au unataka kutuambia hao akina Aggreko na Dowans walikuwepo tangu enzi za Mwalimu?

Jidu la Mabambasi!
Shirikisha ubongo wako na uhalisia, TAZARA ilijengwa kisiasa na ni study was conducted by the Chinese and Nyerere sasa TAZARA iko wapi? A study that includes environmental impact assessment among others when critically analyzed justifies project viability and sustainability. Who told you kwamba umeme wa maji ni rahisi au unaota tu! Umeme wa hydro is relatively expensive because its capital intensive and some costs are sunken can’t be recouped sasa huo urahisi wa umeme wa maji has to be justified by facts and figures na sio kukurupuka kwa kusikia tu! JPM had all the time to review the studies and come up with justifiable reasons and whether it’s sound in all aspects from environmental, economic, technical and financial analyses . Hayo mengine ni bla bla kama za kondoo tu! And how is he going to finance the project? Ikiwa mradi wa Kinyerezi 1 (MW 185 )extension wenye gharama USD 187 milioni ameshindwa kutoa fedha from the Exchequer ujengwe kwa wakati how can he dream of a USD 3.5 billion from the same coffers? Sheria ya manunuzi inakataza kutangaza tenda kama hujadhibitisha uwepo wa fedha ? Wakopeshaji wote are not wiling to finance the project if you don’t take on board environmental concerns sasa how do you get out of this mess wajameni?
 
Mkuu pengine you were not born wakati wa UDI ya Ian Smith miaka ya 60.
Na ndio maana huwezi kujua msingi uliopelekea kujengwa Tazara, licha ya pingamizi kunwa kutoka mataifa ya magharibi.
Walijielekeza kuiita Tazara, The Bamboo Railway.
Lakini hao jamaa wa West walisahau kuwa ile barabara ya Dsm~Mbeya~Lusaka(au Kapiri Mposhi) waliita The Hell Run.
The Hell Run kwa sababu hao jamaa wa West hawakuipendelea kwa vile kwa matakwa yao Zambia ilikuwa iwapigie magoti ,until Tanzania came to its economic rescue.
Wewe unaita ni siasa!
And that was not the only project, kulianzishwa TAZAMA Pipeline, and its functioning todate!

Kwa hiyo mkuu if you have self deafeatist inclinations you might as well bury yourself in the ground and expect the UN and its agencies to come to your rescue!
Fat chance!!
 
Tembelea Kinyerezi I ,150 MW kama uko Dar.
Kinyerezi II ,250MW iko under construction.
Duhh!! Simba Chawene tulimuona kwenye TV akiiwasha kwa Mbwembwe na kutuambia kila kitu kipo tayari sasa nashangaa wewe unatuambia ipo under construction kwa hiyo Serikali chini ya Waziri Simba Chawene waliudanganya umma wa Watazania ukiwemo na wewe unaeshabikia Ujinga?
 
Mjinga ni mtu asiyejua.
Na wewe unaangukia kundi hilo.
Tatizo hujui kuwa hujui, and that makes it even worse.
Kinyerezi kuna two projects Kinyerezi I (150MW) ambayo tunavyoongea inazalisha umeme, na Kinyerezi II (240MW) ambayo iko under construction.

Hapo nakuondoa kaujinga unakokalea ubongoni mwako.
Kinyerezi Power Plants - Oil4All
 
Hata mimi nampongeza Rais wangu kwa hili, ila sasa...
Magu asilegeze kamba, ashikilie apo apo. Go Magu go. Ili tupate freedom ya nishat na hatimae ya uchumi.
Nawaza kwa hatua nne nyuma vipi tukianza kuchangishana wananchi fedha ya ujenzi mapema kabla ya kuwapigia magoti hao hao wazungu..!?
..................................................................
Hivi gesi imeishia wapi?
Wakati wa SA4 tuliambiwa gesi ndio mujarabu wa tatizo la Umeme, SA5 wanakuja na huu mradi wa bwawa, why wasiendeleze alipoishia JK kwenye gesi??
Mkuu ukiendeleza vya mwenzako choo hakitapa ugeni wa every morning..!
 
Hivi gesi imeishia wapi?
Wakati wa SA4 tuliambiwa gesi ndio mujarabu wa tatizo la Umeme, SA5 wanakuja na huu mradi wa bwawa, why wasiendeleze alipoishia JK kwenye gesi??
mkuu kutegemea chanzo kimoja tu cha umeme,bila mbadala kuna hasara zake kubwa.Madhalani kama tukitugemea chanzo kimoja ikatokea hitilafu kubwa ambayo mategenezo yake yatachukuwa muda mrefu nchi unataka iwe na giza mpaka matengenezo yatakapo kamilika?
Kuhusu kupinga msimamo wa UN kwa kisingizio cha uchafuzi wa mazingira hiyo ni dhana ya kutaka kuzinyanyasa nchi masikini kama yetu.
Amerika ya Trump lmejitoa kwenye mpango wa kudhibiti mabadiliko ya tabia nchi UN wamechukuwa hatua gani wakati Marikani ni taifa nambari moja katika uchafuzi wa mazingira?
 
Jidu la Mabambasi!
Shirikisha ubongo wako na uhalisia, TAZARA ilijengwa kisiasa na ni study was conducted by the Chinese and Nyerere sasa TAZARA iko wapi? A study that includes environmental impact assessment among others when critically analyzed justifies project viability and sustainability. Who told you kwamba umeme wa maji ni rahisi au unaota tu! Umeme wa hydro is relatively expensive because its capital intensive and some costs are sunken can’t be recouped sasa huo urahisi wa umeme wa maji has to be justified by facts and figures na sio kukurupuka kwa kusikia tu! JPM had all the time to review the studies and come up with justifiable reasons and whether it’s sound in all aspects from environmental, economic, technical and financial analyses . Hayo mengine ni bla bla kama za kondoo tu! And how is he going to finance the project? Ikiwa mradi wa Kinyerezi 1 (MW 185 )extension wenye gharama USD 187 milioni ameshindwa kutoa fedha from the Exchequer ujengwe kwa wakati how can he dream of a USD 3.5 billion from the same coffers? Sheria ya manunuzi inakataza kutangaza tenda kama hujadhibitisha uwepo wa fedha ? Wakopeshaji wote are not wiling to finance the project if you don’t take on board environmental concerns sasa how do you get out of this mess wajameni?
Mradi Wa Kinyerezi nazan una harufu ya rushwa ndio maana mheshimiwa ameususia kama ulivyokua mradi wa Standard Gauge kuptia Wachina kabla hajawapa Waturuki wakajenga karibu kwa nusu bei
 
Tanzania ni nchi huru Stgls Dam inajengwa na hakuna wa kuzuia japo wawekezaji waliozoea kuikamua Tanesco hawapendi...nchi kujitegemea binafsi katika umeme wa uhakika ni mojawapo ya criteria kubwa kua nchi ipo salama...tofaut na kutegemea umeme wa muhindi na mzungu .....Mtanzania atakayepinga huu mradi kuna matatu..moja anafata mkumbo..pili hajui ajenda ya siri ya wanaopinga mradi huu au si mzalendo kwa Taifa lake
Unaweza kututajia hiyo agenda ya siri?
 
Back
Top Bottom