Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #161
Fikiria kwa mbali zaidi na kujiuliza kama hizo nchi zinazowafadhili UN, na wanakotoka Aggreko na Dowans, kama zilikuwepo toka enzi ya Mwalimu.Kwahiyo hoja yako kwamba UN wanapinga in favor of kampuni zao za kuzalisha umeme kumbe uliamua tu kupiga porojo sio?!
Au unataka kutuambia hao akina Aggreko na Dowans walikuwepo tangu enzi za Mwalimu?
Hizo dots jiunganishie mwenyewe.