UN kupinga mradi wa Steigler's Gorge ni uhujumu

UN kupinga mradi wa Steigler's Gorge ni uhujumu

Hakuna watu selfish kama wazungu. Wanataka wao watukuzwe mambo ya maendeleo wabaki nayo wao sio nchi duni. Waliwafanyia panama, indonesia, burma uhuni kupitia makampuni ya nishati ya umeme wakawaua viongozi wao waliopinga, wanafiki sana hawa wazungu sio watu wazuri hata kidogo. Walipinga Ethiopia kuchimba bwawa leo sis wanatukatia kisa mazingira. Mbona wao wanaviwanda na ndo waharibifu wakubwa wa mazingira. Waache usenge wakutupangia. Marekani alikataa kusign mkataba wa kutunza mazingira wa kyoto protocol what is he saying? Damn get ur ass out of stieglers gorge.
 
Kwailo la Umeme nipo pamoja na team milembe ijapokua mm siyo team milembe hapo bichwa asiludi nyuma wala kusikiliza upumbavuu wa UN kama ni mazingila basi hao UN wailipe tz dollar billion moja kila mwaka ili tuchane na hiyo project
You must be kidding
UN hawana pesa
Wachangiaji ni hao mnaowatukana
 
ni sawa na swalehe leo kuanza kunilazimisha kumfundisha atomic physics wakati hata la nne hajafika ndo nchi yetu vyoo mashuleni havipo vitabu bado shida hatujamliza shida ya umeme bado shida ya maji ... ni shida sana .. maendeleo ni muhimu lakini yawe kwa malengo ni sawa na mi leo kukopa ... aaah aiseee
 
Tatizo hakuna vision kama taifa. Subiri after 5 years slogan itabadilika. Hivi naweza kupata wapi andiko la Tanzania ya viwanda yaani a written proposal yenye objectives na strategy of how to achieve goals
Written proposal!!! Labda sio Tanzania.... Hyo kauli nmeiskia majukwaani ila sijawahi hata document inayoonyesha strategic plan ya kutumia kufikia hivo viwanda
 
You must be kidding
UN hawana pesa
Wachangiaji ni hao mnaowatukana
Sasa si mazingila ya dunia Kwa faida ya dunia tena wao ndiyo wanao nufaika zaidi inatakiwa hao un walipe hela Kwa kuizuia tz kujiletea maendeleo sababu ya kulinda mazingila mbona kwenye migodi mazingila yana alibiwa hao UN awasemi madini yasichimbe tangulini UN imeanza kuijali Africa ukiona UN wanalialia ujue jambo alina maslai kwao ila siyo kweli kuwa nia ni mazingira
 
Mradi wa steiglers gorge ni unnecessary na ecological destructive, hilo halina mjadala.

Tuna gesi ambayo mpaka leo iko under utilised.
Tuna makaa ya mawe, the cheapest source of energy tunayoweza kutumia. Its destructive pia lakini on the good side yako kwenye maeneo ambayo ni remote and not in one of the largest protected reserve site in the world.
Tuna uwezo wakuproduce wind energy in a large quantity, ila mpaka leo hakuna any signs ya kuanzisha mradi huo.
Tuna a long coastline yenye uwezo wakutuwezesha kuproduce energy kupitia tidal waves.
Tuna uwezo wa kupower miji mingi midogo Tanzania kwa kutumia umeme wa jua tu.

Ila vyote hivyo hamna mpango navyo au hamtaki kuvitekeleza in full.

Juzi juzi a few years back serikali imetoka kuiomba UN kufanya boundary change ya selous kwa ajili ya uranium mining ambayo in the end itakuja kuproduce a ton of radioactive waste ambayo ita-affect the game reserve.

Hapo hapo kuna swala la ujangili humo kwenye hiyo reserve, kwenye idadi ya tembo wameshuka toka 60,000+ in 2009 mpaka 10,000+ in 2013. Tumekaa tu, wala hakuna serious effort kukabiliana na hilo.

Tena sasa mnataka mjenge a hydro plant ambayo ita-flood a large area of the reserve na kuharibu the ecosystem ya eneo hilo,just from the construction alone.

Yani sisi ni kuharibu haribu tuu...

Hydro plants zetu nyingi if not all, zimetengenezwa wakati wa mkoloni, hivi mnadhani wangeshindwa kujenga hiyo hydro plant kwenye hiyo reserve. Mnadhani ni wajinga sana mpaka wakaamua kuachana na hiyo idea. Tena walikuwa na uwezo both financially na engineering wise, kwasababu kama waliweza kutekeleza a large project such as reli ya kati, project kama hii isingewashinda.

Muda mwingine tusiwe wabishi, natuangalie impact ya vitu tunavyotaka kufanya.
Maelezo yako yote mazuri. Pale uliposema " ....yaani sisi ni kuharibu haribu tu!" Umemaliza!
 
Mkuu umemaliza kila kitu
 
Naomba nijue hizo environmental impacts zilizozuia mradi huu kukubalika tangu enzi ya mjerumani, aliyeuza binadamau bila kujali social impacts.
Google ESIA hata za 1940s zipo by zinanataa mradi down towards Rufiji.
 
Tembelea Kinyerezi I ,150 MW kama uko Dar.
Kinyerezi II ,250MW iko under construction.
Kwa hiyo kelele zooote na gesi yooote ile na vurugu zoote na gharama zooote za kujenga bomba mnategemea MW 400???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na bado mrad wenyewe sio wa serikali kwa 100%
 
Toa mapendekezo mkuu!
 
Wewe ulitaka fact gani kwa mfano.
The pros and cons of 2,100megawatts, hilo halihitaji mjadala.
Project hii ipo inapingwa na UN toka enzi za Mwalimu.
Tukumbuke ni watu hawahawa walipinga hata ujenzi wa TAZARA miaka ya mwanzoni mwa 1970s.
Kwahiyo hoja yako kwamba UN wanapinga in favor of kampuni zao za kuzalisha umeme kumbe uliamua tu kupiga porojo sio?!

Au unataka kutuambia hao akina Aggreko na Dowans walikuwepo tangu enzi za Mwalimu?
 
Tusipende kutupia lawama kwa wengine pale tunaposhindwa kufanikisha mipango yetu.....nadhani kabla hatujaanza ujenzi wa hilo Bwawa, tuhoji kwanza matumizi ya Gesi.....zile ahadi kuwa kukatika kwa umeme kutakuwa historian kumeishia wapi?
Sipingi huo ujenzi, ninachotaka ni kuhakikishiwa matokeo ya Ujenzi, kule Mtwara watu walivunjwa Miguu, wengine kupoteza maisha kwa kisingizio cha wanazuia maendeleo.
Tatizo lako husomi na kufuatilia mambo!! Gesi ya Mtwara kuwa full kwa matumizi hapa TZ itachukua 36 years inayotumika sasa ni kidogo tu pia bado ni gharama ukilinganisha na maji.
 
TAZARA Inaingiza faida kiasi gani kwa taifa letu kiuchumi na jamii inanufaika Vipi na Mradi huu ?? Ilituweze sema walio tupinga walikosea ...!!

Kuhusu UN na Mazingira ya Dunia , Je huoni madhara yanayotokana na kudharauliwa kwa hifadhi za asili Duniani ??

Je kwa Tanzania kabla ya kurukia huu mradi wa stergilergorge Je miradi ya Gas imeishia wapi ??

Je kila Rais anayekuja Nchi hii anakuja na plan zake bila kujali vipaumbele vya taifa ???

Wacha UN watupinge kwani akili zetu zimejaa tope.
Kwao?
 
Back
Top Bottom