UN kupinga mradi wa Steigler's Gorge ni uhujumu

UN kupinga mradi wa Steigler's Gorge ni uhujumu

Magufuli Magufuli Magufuli Dr.JPM
Mbona unachelewa kujenga....kuanza Mradi wa Stiegliers gorge Baba Agggrrr....wazungu Wengi hawapendi huu Mradi....wanataka tuendelee kuwakopa hela....

Makampuni ya Ulaya ya Aggreko,Songas,Moore&Prom inawezekana kabisa Wakatumia nguvu zooooote Mradi huu Ushindwe...coz Maslahi yao ya Gas,jaman Pitia JF baba usome
Kamwe USIRUDI NYUMA,UKIUACHA TUU HUU MRADI JUA UCHUMI WA VIWANDA KWISHNEY NA MITAJI YA HELA TUTAWATEGEMEA WAZUNGU MPAKA TUFE...
STIEGLIERS GORGE NDO ITALETA KITU TUNAITA "MULTIPLIERS EFFECTS" KATIKA UCHUMI.

Mh!Naona nyota ya kuliwa kisiasa inazidi kung’ara kichwani kwako.
 
Mtu kama wewe ungekuwa ni mkutano wa kujiandikisha washiriki, nina hakika tusingekuwa chumba kimoja. Maelezo na maoni kama haya yanatakiwa yatolewe na mwanasiasa mwenye lengo la kudanganya wapiga kura. Mtendaji huwezi kutumia lugha ya kusema, mfano kilimo na uvuvi nk. ....

Ni kilimo gani kisichotegemea mvua ambacho hakihitaji umeme? Uvuvi gani wa maana usiotegemea umeme? Suala la umeme wa gesi haizuii kuwa na umeme wa maji. Duniani nani ana gesi kuliko Russia? Je umesikia wakiacha nuklia eti kwa sababu wana gesi? Afrika kusini walitumia nuklia kwa miaka mingi bila umeme wa maji je, kwa nini sasa hivi wamerudi kwenye maji?

Tutoe mawazo ya kiufahamu badala ya lugha ya wanaoomba kura.
Eti mwanasiasa.... Nachosema tuwe na vipaumbele maana nchi yetu ni maskini nmetoa mfano kwani umeme wa gesi ya mtwara na lindi si mlisema inaweza kumaliza shida ya umeme tena tukauza hadi DRC ama sio professor muhongo aliosema haya ????

Kama kuna mradi wa umeme wa gesi basi pesa inayobaki ifanye kazi zingine either iende REA ambayo still inaweza fund kilimo cha umwagiliaji na sio lazima mpaka Stiegler's gorge cjui kwanni unakariri mambo

REA needs funding.... Irrigation needs funding hivyo tufanye mradi mmoja baada ya mwingine sio overlapping wakati kanchi maskini haka na mahitaji ni mengi kuliko pesa hivyo sio economic kuanzisha miradi miwili mikubwa ya umeme ilihali kuna mambo mengi yamelala yanasubiri funding

Kilimo cha umwagiliaji kitatumia REA ambayo source inaweza kuwa bado umeme wa gesi ssa wapi nmesema bila Stiegler's gorge basi ndio kilimo cha umwagiliaji hakiwezekani au na wwe umekuwa mwanasiasa kusema Stiegler's gorge ndio mwarobaini wa nishati ya umeme ilihali mlisema gesi ndio mwarobaini

Nlikuona mtu makini kumbe walewale tu
 
Un hawataki tuwe na umeme wetu.Ttehe tehe tehe.
Mbona ulaya imetapakaa vinu vya nyukilia na viwanda vinavyotoa moshi unaoharibu mazingira hawasemi kitu

Kwa hiyo nawewe unataka kuiga vitu ambavyo wenzio wanajutia?Kweli hapa kuna kazi.
 
.
..eti UN inatumiwa!!!shithole!!!...wacha UN wawaambie ukweli maana mmezoea kuchuma kwa migongi walalahoi....na bado!!!
 
Yeah MLISEMA maana nachukulia wwe mtoa taarifa umechukua upande wa serikali kwenye kutetea mradi wa Stiegler's.... Hivyo serikali hiyo hiyo ambayo leo inasema SG ndio habari ya mujini ilisema miaka 4 iliopita kwamba Gesi ndio suluhu la nishati ya umeme hapa TZ hivyo nashangaa badala nyie wasomi mhoji hizo ahadi za gesi kama zimefikia malengo ndio kwanza mnatuminisha tena kwamba SG ndio mradi wa kumaliza shida ya umeme.... Hivi hizi ahadi mpaka lini?? Wasomi tunawategemea muhoji ndio kwanza mnasupport huu ujinga wa SG

Huoni tuna miradi mingi inahitaji funding hasa ya maji vijijini ama ya kilimo cha umwagiliaji au hata kuongeza ndege kwa ajili ya ATCL..... We have a way lot than switching lanes every now on then be it from hydro to coal to gas.... And then guess what!! We are talkin about hydro again???

Duh kazi ipo
Tatizo hakuna vision kama taifa. Subiri after 5 years slogan itabadilika. Hivi naweza kupata wapi andiko la Tanzania ya viwanda yaani a written proposal yenye objectives na strategy of how to achieve goals
 
Hata kama sipendi serikali iliyopo, nalipenda Taifa, huo ni uhujumu wa hali ya juu.
Hili limetekelezwa mara nyingi tu (uhujumu), Tanga kumekuwa na plan ya ujenzi wa bandari ya kina kirefu pale Mwambani, lakini Kenya kupitia UN wamekuwa wakipinga ujenzi huo kwa hoja kuwa lile ni eneo la samaki wa asili ("silikant")
 
Hakuna tunaloshika tukawa na mwisho mzuri.
Sakata la gesi lilikuja kwa fujo na kuwaumiza watu ila mwisho wake hakuna la maaana linalofanyika.
 
View attachment 701335

Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira.

Huu ni uhujumu, full stop!

UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair, lakini ujumbe huo ni lazima unatoka nchi zinazofaidika na matatizo yetu ya nishati.

Kampuni za kimarekani kama AGGREKO, DOWANS na nyingine nyingi ni wazi zisingependa kuona mradi huu wa Stieglers Gorge ukifanikiwa, maana watakosa ulaji wanaofaidika nao leo.

Kama ingewapendeza UN, basi Three Gorges Dam ya China, Aswan Dam ya Misri, Akosombo Dam ya Ghana vyote visingejengwa kwa sababu za kimazingira.

Nampongeza sana Rais Magufuli na kumpa moyo kushika moyo ule ule , ili nchi ijitawale kinishati.
Uko “radicalized” na hujui UN. Soma charter za UN zote kila kitu kinachoamliwa hupigiwa kura.

Halafu mko wengi “brainwashed na radicalized “ ati Tanzania inaonewa wivu au kuna watu waiombea mabaya iharibikiwe, hapana. Watu kama nyie mngekuwa elimu ili muwlimishwe mjue information na knowledge kuwa opportunity na vinaweza kukomboa akili zenu. Education can lliberate your mind and information creates opportunities.

Kwa taarifa yako: Tanzania trade wise na inacho export ni negligible (labda aids).

Zaidi Ueleweshwe: Three Gorges au San Xia ni mradi uliopingwa sana na UN. Madhara ambayo waliyapata China na hata wanayoyapata Sasa hivi ni makubwa. Kila mwaka vijiji vilivyo chini ya Sanxia huwa vinakumbwa na mafuriko kila mwaka. Uhamishaji wa watu kila mwaka.

Kibaya zaidi lile bwawa la Sanxia uimarishwa kila wakati. Na ni fedha nyingi hutumika.

Good news ni kuwa wachina wabishi ( sawa) walitumia fedha zao.

Nyie vibaraka ndiyo mnaharibu kila kitu. Hamna elimu; kazi yenu kusoma ilani na fikra za nwenyekiti na kuropoka.

Hii nchi ingeendelea sana kama watu kama nyie mngedai elimu kwanza!

CCM ndiyo kipenzi Chenu maana ndiyo ukomo wa elimu zenu!!

Bigots !!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kajengeni vyoo na Madawati kwanza

Wapuuzi kama wewe msioona mbali ndiyo mnawaambukiza wenzenu ujinga, wewe unaona ujiko na kucheka jinsi unavyo ongea upuuzi ila kuna nduguzo wasiojitambua wanaona wewe ndo msema ukweli wakati ni mpuuzi tu.Nchi zilizo endelea hazitaki kamwe kuona Africa inapiga hatua kwa sababu wengi wao wanafaidika na matatizo yetu.
 
Mh!Naona nyota ya kuliwa kisiasa inazidi kung’ara kichwani kwako.
Mkuu Nafikiri hunijui wewe,wewe akili yako inawaza Siasa Na Maandamano tuuu.
Mimi hapo Naongelea Uchumi,Kujenga hiyo Plant Tuuu,Tens Asichelewe...
Sasa wewe akili zako Na Uchama wako Unaingiza hapa,Mimi Sio mshabiki wa Chama chochote na Sipendi Kushabikia wao wakila Ugali hawaniletei hata senti,Waanzishe Hiyo Plant twende tukale ajira Pale,Engineering,Procurement, Operations Nk!
Wewe endelea Kuwaza Siasa kwenye Hii mada na Akilini mwako!
 
View attachment 701335

Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira.

Huu ni uhujumu, full stop!

UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair, lakini ujumbe huo ni lazima unatoka nchi zinazofaidika na matatizo yetu ya nishati.

Kampuni za kimarekani kama AGGREKO, DOWANS na nyingine nyingi ni wazi zisingependa kuona mradi huu wa Stieglers Gorge ukifanikiwa, maana watakosa ulaji wanaofaidika nao leo.

Kama ingewapendeza UN, basi Three Gorges Dam ya China, Aswan Dam ya Misri, Akosombo Dam ya Ghana vyote visingejengwa kwa sababu za kimazingira.

Nampongeza sana Rais Magufuli na kumpa moyo kushika moyo ule ule , ili nchi ijitawale kinishati.
Hawa watu tuachane nao,tufanye what is best for us.Wana agenda nyingi mno za siri ambazo ni very detrimental to our nation's sovereignty.Seychelles wamewaingizwa kwenye Debt for Nature Conservation Swap Deal ambayo sidhani kama in the long run italinda sovereignty yao.Time will tell.
 
mimi kama mwana chama wa chadema ninaunga mkono huu mradi ila mauwaji anayofanya mkuu pamoja na ununuzi wa kijinga wa wabunge na madiwani siungi mkono huyu mh jpm angelijuwa alikuwa ana kubalika sana alipo ingia madarakani asinge zinguwa angekuwa raisi anayekubalika sana sema sijuwi alidanganywa kuwa bado wa Tanzania niwajinga !? kumbe sio wajinga zama zimebadilika tutamuondoa asipo badilika nguvu ya umma haijawahi kushindwa!!!
 
Uko “radicalized” na hujui UN. Soma charter za UN zote kila kitu kinachoamliwa hupigiwa kura.

Halafu mko wengi “brainwashed na radicalized “ ati Tanzania inaonewa wivu au kuna watu waiombea mabaya iharibikiwe, hapana. Watu kama nyie mngekuwa elimu ili muwlimishwe mjue information na knowledge kuwa opportunity na vinaweza kukomboa akili zenu. Education can lliberate your mind and information creates opportunities.

Kwa taarifa yako: Tanzania trade wise na inacho export ni negligible (labda aids).

Zaidi Ueleweshwe: Three Gorges au San Xia ni mradi uliopingwa sana na UN. Madhara ambayo waliyapata China na hata wanayoyapata Sasa hivi ni makubwa. Kila mwaka vijiji vilivyo chini ya Sanxia huwa vinakumbwa na mafuriko kila mwaka. Uhamishaji wa watu kila mwaka.

Kibaya zaidi lile bwawa la Sanxia uimarishwa kila wakati. Na ni fedha nyingi hutumika.

Good news ni kuwa wachina wabishi ( sawa) walitumia fedha zao.

Nyie vibaraka ndiyo mnaharibu kila kitu. Hamna elimu; kazi yenu kusoma ilani na fikra za nwenyekiti na kuropoka.

Hii nchi ingeendelea sana kama watu kama nyie mngedai elimu kwanza!

CCM ndiyo kipenzi Chenu maana ndiyo ukomo wa elimu zenu!!

Bigots !!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa bandiko lako ni dhahiri you are the idiotic bigot.
Tatizo lako lingine ni kuingiza siasa kwenye mambo ya kutumia akili yenye uzalendo.

UN ikikupigia kura upigwe kwa sababu za kijinga kama alivyopigwa Saddam, utashangilia kama kima aliye pewa ndizi mbivu!

Tanzania ni zaidi ya ujuavyo, hatuna haja ya kuamuiwa mambo yetu ya maendeleo na mtu yeyote.

Ukiwapenda UN nenda kawasafishie vyoo!
Thats your worth.
 
Wapuuzi kama wewe msioona mbali ndiyo mnawaambukiza wenzenu ujinga, wewe unaona ujiko na kucheka jinsi unavyo ongea upuuzi ila kuna nduguzo wasiojitambua wanaona wewe ndo msema ukweli wakati ni mpuuzi tu.Nchi zilizo endelea hazitaki kamwe kuona Africa inapiga hatua kwa sababu wengi wao wanafaidika na matatizo yetu.

Wewe ni kenge kabisa!
Technology ya Ujenzi wa Infrastructure ya Bwana na mitambo ya kuzalisha huo umeme utatengeneza pale Nyumbu - Kibaha? Tunachokataa ni ujinga wa CCM kukurupuka na kufanya mipango ya Pwagu na Pwaguzi. Awamu ya Kikwete tulitumia zaidi ya USD 2 billion kujenga miundombinu ya bomba la Gesi kutoka Madimba ( Mtwara ) hadi Dar es Salaam lenye urefu wa kilometer 540 na kuambiwa kuwa Gesi asilia iliyopo itatumika kuzalisha umeme sasa imekuja awamu ya washamba wanaanza alifu kwa kijiti kujenga Bwawa la Stiglers Gorge ambalo limekuwa kizungumkuti for almost 50 year SASA hiyo CCM wanakabidhiana serikali kishamba na kutaka kuanza upya! Project financing it’s a big problem duniani sasa bila hata kukumbuka existing policies unachukua PHD holders from the university pure academicians and retired general unatarajia nini! Hakuna priority Mara ellimu burre afya bure, SGR, ukuta mererani mara viwanda vijengwe 100 kila mkoa it’s a crazy mixed cup, Mara maflyovers, mabarabara , madarasa, maabara, hata choo hakuna ofisi za walimu hakuna vyumba havitoshi kila Mwaka kweli washamba wameingia mjini, mara kuhamia Dodoma! The list is endless !
 
View attachment 701335

Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira.

Huu ni uhujumu, full stop!

UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair, lakini ujumbe huo ni lazima unatoka nchi zinazofaidika na matatizo yetu ya nishati.

Kampuni za kimarekani kama AGGREKO, DOWANS na nyingine nyingi ni wazi zisingependa kuona mradi huu wa Stieglers Gorge ukifanikiwa, maana watakosa ulaji wanaofaidika nao leo.

Kama ingewapendeza UN, basi Three Gorges Dam ya China, Aswan Dam ya Misri, Akosombo Dam ya Ghana vyote visingejengwa kwa sababu za kimazingira.

Nampongeza sana Rais Magufuli na kumpa moyo kushika moyo ule ule , ili nchi ijitawale kinishati.

Naungana UN kupinga miradi yote inayo jengwa ktk nchi ya kufikirika maana inakuwa ya kikatili na ya unyanyasaji, inawaacha wanaichi bila makazi watoto wanalala nje, watu wanakuwa wakimbizi,
Nibora kusiwe na miradi yoyote ktk nchi ileeeee
 
Kiukweli na niseme ukweli ningependa mradi huu ufanyike lakini kama wazungu wasrmavyo you can't have a cake and eat it at the same time.Environmental disaster kwa mikumi ni kubwa kwa kiwango kisichopimika.Waandishi wa kwetu na researchers wameprove hili.
 
Kwa bandiko lako ni dhahiri you are the idiotic bigot.
Tatizo lako lingine ni kuingiza siasa kwenye mambo ya kutumia akili yenye uzalendo.

UN ikikupigia kura upigwe kwa sababu za kijinga kama alivyopigwa Saddam, utashangilia kama kima aliye pewa ndizi mbivu!

Tanzania ni zaidi ya ujuavyo, hatuna haja ya kuamuiwa mambo yetu ya maendeleo na mtu yeyote.

Ukiwapenda UN nenda kawasafishie vyoo!
Thats your worth.
Ujinga wako wa kwanza ni huu: UN ilikataa kuwapiga Iraq. America ilipiga Iraq kwa Unirateral decision. Yeye USA siyo UN. Dunia yote ilikaataa. Hiyo tu umethibitisha kuwa unakurupuka.

Ujinga wako wa pili: Hujui kuwa hao unawatukana ndiyo wanaoisha Mama yako Tanzania ili akufanye uroppoke unayoyasema. Budget zaidi ya 50% wanatoa hao unwatukana. Na hiyo ndiyo tabia ya Malaya na masikini.
 
Kwailo la Umeme nipo pamoja na team milembe ijapokua mm siyo team milembe hapo bichwa asiludi nyuma wala kusikiliza upumbavuu wa UN kama ni mazingila basi hao UN wailipe tz dollar billion moja kila mwaka ili tuchane na hiyo project
 
Back
Top Bottom