Hawa wapuuzi ni vibaraka wa mabepari wasio na akili. Afadhali uwe na akili ndio uwe kibaraka.Tusipende kutupia lawama kwa wengine pale tunaposhindwa kufanikisha mipango yetu.....nadhani kabla hatujaanza ujenzi wa hilo Bwawa, tuhoji kwanza matumizi ya Gesi.....zile ahadi kuwa kukatika kwa umeme kutakuwa historian kumeishia wapi?
Sipingi huo ujenzi, ninachotaka ni kuhakikishiwa matokeo ya Ujenzi, kule Mtwara watu walivunjwa Miguu, wengine kupoteza maisha kwa kisingizio cha wanazuia maendeleo.
Gas ipo wapi?/mitambo ya Kinuerezi ipo wapi? Mtwara bado kuna mgao wa kufa mtuMambo muhimu yanajadiliwa kisiasa na kiumbeaumbea no fact zozote zenye mashiko. Hebu mleta hoja unaye pinga ya UN njoo na point zenye mashiko za kuwapinga Hawa wakoloni UN.
😱😱😱 haaa maneno makali kuliko pilipiliUna mawazo ya ujima, kwa vile umeshazoea na kuzoea kuishi kwenye nyumba za koroboi
Ha ha ha!😱😱😱 haaa maneno makali kuliko pilipili
😉Ha ha ha!
Watu wasio na point wanabore!
😵😵😵
...Umeulizwa porojo kwamba gesi itamaliza mgao wa umeme na kuwa historia zimeishia wapi?Una mawazo ya ujima, kwa vile umeshazoea na kuzoea kuishi kwenye nyumba za koroboi
Demand ya power haiko static kwa nchi yenye kupenda .maendeleo....Umeulizwa porojo kwamba gesi itamaliza mgao wa umeme na kuwa historia zimeishia wapi?
Kwani ile gesi asilia kutoka Mtwara na Songosongo imekwisha? Kwa nini tusitumie hiyo kuzalisha umeme wa uhakika na kutosha? Huoni kwamba kuanza mradi mpya wakati kuna ambao unapaswa kuboreshwa ni gharama zaidi? Kuna dalili ya ufisadi tu kwenye hili sualaView attachment 701335
Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira.
Huu ni uhujumu, full stop!
UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair, lakini ujumbe huo ni lazima unatoka nchi zinazofaidika na matatizo yetu ya nishati.
Kampuni za kimarekani kama AGGREKO, DOWANS na nyingine nyingi ni wazi zisingependa kuona mradi huu wa Stieglers Gorge ukifanikiwa, maana watakosa ulaji wanaofaidika nao leo.
Kama ingewapendeza UN, basi Three Gorges Dam ya China, Aswan Dam ya Misri, Akosombo Dam ya Ghana vyote visingejengwa kwa sababu za kimazingira.
Nampongeza sana Rais Magufuli na kumpa moyo kushika moyo ule ule , ili nchi ijitawale kinishati.
Kwahiyo hoja yako kwamba UN wanapinga in favor of kampuni zao za kuzalisha umeme kumbe uliamua tu kupiga porojo sio?!
Au unataka kutuambia hao akina Aggreko na Dowans walikuwepo tangu enzi za Mwalimu?
Mkuu pengine you were not born wakati wa UDI ya Ian Smith miaka ya 60.Jidu la Mabambasi!
Shirikisha ubongo wako na uhalisia, TAZARA ilijengwa kisiasa na ni study was conducted by the Chinese and Nyerere sasa TAZARA iko wapi? A study that includes environmental impact assessment among others when critically analyzed justifies project viability and sustainability. Who told you kwamba umeme wa maji ni rahisi au unaota tu! Umeme wa hydro is relatively expensive because its capital intensive and some costs are sunken can’t be recouped sasa huo urahisi wa umeme wa maji has to be justified by facts and figures na sio kukurupuka kwa kusikia tu! JPM had all the time to review the studies and come up with justifiable reasons and whether it’s sound in all aspects from environmental, economic, technical and financial analyses . Hayo mengine ni bla bla kama za kondoo tu! And how is he going to finance the project? Ikiwa mradi wa Kinyerezi 1 (MW 185 )extension wenye gharama USD 187 milioni ameshindwa kutoa fedha from the Exchequer ujengwe kwa wakati how can he dream of a USD 3.5 billion from the same coffers? Sheria ya manunuzi inakataza kutangaza tenda kama hujadhibitisha uwepo wa fedha ? Wakopeshaji wote are not wiling to finance the project if you don’t take on board environmental concerns sasa how do you get out of this mess wajameni?
Duhh!! Simba Chawene tulimuona kwenye TV akiiwasha kwa Mbwembwe na kutuambia kila kitu kipo tayari sasa nashangaa wewe unatuambia ipo under construction kwa hiyo Serikali chini ya Waziri Simba Chawene waliudanganya umma wa Watazania ukiwemo na wewe unaeshabikia Ujinga?Tembelea Kinyerezi I ,150 MW kama uko Dar.
Kinyerezi II ,250MW iko under construction.
Mjinga ni mtu asiyejua.Duhh!! Simba Chawene tulimuona kwenye TV akiiwasha kwa Mbwembwe na kutuambia kila kitu kipo tayari sasa nashangaa wewe unatuambia ipo under construction kwa hiyo Serikali chini ya Waziri Simba Chawene waliudanganya umma wa Watazania ukiwemo na wewe unaeshabikia Ujinga?
Nawaza kwa hatua nne nyuma vipi tukianza kuchangishana wananchi fedha ya ujenzi mapema kabla ya kuwapigia magoti hao hao wazungu..!?Magu asilegeze kamba, ashikilie apo apo. Go Magu go. Ili tupate freedom ya nishat na hatimae ya uchumi.
Mkuu ukiendeleza vya mwenzako choo hakitapa ugeni wa every morning..!Hivi gesi imeishia wapi?
Wakati wa SA4 tuliambiwa gesi ndio mujarabu wa tatizo la Umeme, SA5 wanakuja na huu mradi wa bwawa, why wasiendeleze alipoishia JK kwenye gesi??
mkuu kutegemea chanzo kimoja tu cha umeme,bila mbadala kuna hasara zake kubwa.Madhalani kama tukitugemea chanzo kimoja ikatokea hitilafu kubwa ambayo mategenezo yake yatachukuwa muda mrefu nchi unataka iwe na giza mpaka matengenezo yatakapo kamilika?Hivi gesi imeishia wapi?
Wakati wa SA4 tuliambiwa gesi ndio mujarabu wa tatizo la Umeme, SA5 wanakuja na huu mradi wa bwawa, why wasiendeleze alipoishia JK kwenye gesi??
Mradi Wa Kinyerezi nazan una harufu ya rushwa ndio maana mheshimiwa ameususia kama ulivyokua mradi wa Standard Gauge kuptia Wachina kabla hajawapa Waturuki wakajenga karibu kwa nusu beiJidu la Mabambasi!
Shirikisha ubongo wako na uhalisia, TAZARA ilijengwa kisiasa na ni study was conducted by the Chinese and Nyerere sasa TAZARA iko wapi? A study that includes environmental impact assessment among others when critically analyzed justifies project viability and sustainability. Who told you kwamba umeme wa maji ni rahisi au unaota tu! Umeme wa hydro is relatively expensive because its capital intensive and some costs are sunken can’t be recouped sasa huo urahisi wa umeme wa maji has to be justified by facts and figures na sio kukurupuka kwa kusikia tu! JPM had all the time to review the studies and come up with justifiable reasons and whether it’s sound in all aspects from environmental, economic, technical and financial analyses . Hayo mengine ni bla bla kama za kondoo tu! And how is he going to finance the project? Ikiwa mradi wa Kinyerezi 1 (MW 185 )extension wenye gharama USD 187 milioni ameshindwa kutoa fedha from the Exchequer ujengwe kwa wakati how can he dream of a USD 3.5 billion from the same coffers? Sheria ya manunuzi inakataza kutangaza tenda kama hujadhibitisha uwepo wa fedha ? Wakopeshaji wote are not wiling to finance the project if you don’t take on board environmental concerns sasa how do you get out of this mess wajameni?
Unaweza kututajia hiyo agenda ya siri?Tanzania ni nchi huru Stgls Dam inajengwa na hakuna wa kuzuia japo wawekezaji waliozoea kuikamua Tanesco hawapendi...nchi kujitegemea binafsi katika umeme wa uhakika ni mojawapo ya criteria kubwa kua nchi ipo salama...tofaut na kutegemea umeme wa muhindi na mzungu .....Mtanzania atakayepinga huu mradi kuna matatu..moja anafata mkumbo..pili hajui ajenda ya siri ya wanaopinga mradi huu au si mzalendo kwa Taifa lake