UN: Tanzania na China zaonyesha mshikamano na Urusi, zakataa kuburuzwa na nchi za Magharibi

Usitufanye wajinga, tumefuatilia mjadala...wameshauri panfe zote wakae mezani...hii ni kauli ya kimalaya ikiashiria tunawahitaji wote yaani Russia na mabeberu
Hiyo kura iliyopigwa kuilani Urusi ndiyo iliyoshauri au unazungumzia nini?
 
Sema NATO😬sio ukraine Vs Russia!!!
EU vs Russia wapi ngozi nyeusi imenufaika zaidi!!!
Ata sahii ukiuliza mtoto wako wa 10yrs 5yrs and above," Unataka twende tukaishi wapi,sahii tupande ndege?"katoto katasema,"USA,France,UK,Spain,Germany, blablabla etc!

Lakini katu hutasikia "Russia" upuz gani huo!!!
Nkt!


Obama from KE254,Keshakua prezo wa US kitambo, na uko russia kwa kipushini! No black man has power in Russia💩!!!

Mimi siitambui Russia
F*U*K russia kipushikini!!!!
 
Kushikamana na urusi kivipi.
Wakigoma kupiga kura maana yake hawajachagua kuegemea upande wowote. Sijui kuhusu china, ila tanzania haijapiga kura.
Ulisikia alichoongea lakini !!?? Au umeishia tu hatujapiga kura!!??
 
Kwaiyo kwa akili yako ya Kikunya Russia na China ni wanyanyasaji halafu Nato na US ni Saviors?
Hivi mbona wakunya hamnaga akili nyie ?
No one is a saviour there!!!
But why i respect USA,
Nikwasababu Obama ashakuwa prezo huko na watu wengi weusi wamepewa nafasi ya kukalia vyeo vya juu sana!ata kwa mabiashara!!mpaka wakenya na watz pia wako wamepewa vyeo vya juu sana kuongoza makampuni!!!
USA iko na population kubwa ya waafrika huko ambao they live a "life" sio kama wwe apo darislum!
Unashabikia Russia na ata ujui awo ni pure f**kn racists,kwanza wanakutusi na majina ya kirussian!!💩
Alafu unaniambia nini!
Eti Russia kitu gani!!!😬😬😬😬😬

F**k Putin😬kwanza alisema anavamia ukraine ili awalinde Russian speakers ndani ya Ukraine kwanza ambao wamejaa kwenye border ya Russia!!!
Sasa mbona leo analipua nyumba zao hao russian speakers wanaoishi karibu na border??
Apa ni ufala tu,ushetani mkubwa na naomba Mungu auzime!!!😬
 
Wapi Afrika inafaidika zaidi Kati ya hao mabwana zako wa EU na China, ukiingiza EU na USA upande wa Ukraine, unapaswa uingize China upande wa Urusi, Sema wewe mwenyewe, ninyi vibaraka wa EU na USA wote mnakimbilia China kwa kila kitu. Sisi sio watumwa wa mawazo Kama ninyi.
 
Wewe ni zuzu, hivi huko Marekani si ndio wanaongoza kunyanyass na kuua watu weusi duniani, au umesahau yanayotokea Marekani kila siku?(Black lives matter).

Kenya ninyi hamna uhalali wowote wa kutetea maisha ya watu weusi kwasababu kipindi cha ukoloni mlishirikiana na wazungu kuwakandamiza na kuwatawala waafrika, ni USSR, China na Cuba ndio waliotusaidia kuikomboa Afrika, fungeni midomo yenu wajinga kabisa, "Kenyans have blood of Africans on their hands".
 
Hongera kwa nchi yetu bora afrika....

Sisi hatutungamani na upande wowote.....

Putin ni rafiki yetu.....
Marekani ni rafiki yetu....

Ila kwa hili ni bora KUJITENGA NA MZOZO WAO......

#Siempre JMT🙏
#Siempre SSH🙏
#Yetzer Hatov

Hasta la Victoria El Comandante Julius K.Nyerere 🙏
 
Kuwacha masuala ya sasa yaamuliwe na historia huo ni upuuzi.

Historia ya baadae inatengenezwa na matukio ya sasa hivi,kwa hiyo tuanze kuachana na historia tuishi na hali ya sasa
😳😳😳😳😳🤣
 
😍
 
f**ks💩 huyu nugu putin keshalipuwa nuclear power plant sahii,nikuwaka inawaka moto sahii!!!
Shinda hapo blabalabla nanakuambia he is MAD!!!💩😬
Sasa inaonekana ata hajali dunia ama maisha ya ukrainians ama rushians!pia hajali maisha ya watanzania kama wwe!💩👌


Ata ukiniambia mara ngapi sjui US ni wabaya Know that Putin is worst!!
Yeye mwenyewe ndiyo anakulisha magaidi na terrorist wa Afrika masilaha haramu💩f**ks
Leo ni leo iyo nuclear power plant ikilipuka dunia yote itamkujia Putin kichwa yake na ya jeshi yake haramu!!😬💩
He is a mudderer and a criminal!!Fullstop💩
 
heri nikuwe mtumwa wa USA mtoto wangu anaeza kuwa prezo or anything in USA!
Kuliko nikuwe mtumwa wa mtu bladi*** ambae anatishia dunia yote na Nulear(Satan2) anasema akiingiliwa atamaliza dunia kwani watanzania mulimfanyia nini???ndio atake kuwamaliza pia nyie💩

Kumbuka Moto inzaidi kunenepa kwa hiyo Ukraine nuclear power plant site!!!
Kama hataamuru jeshi yake iizime bas..........
Jinga putin kabisa,ita affect climate ya dunia mzima!!!
Kumbuka ni" The largest nuclear plant"
 
Wewe jamaa si mzima kichwani....

Power plant ipi ameilipua?!!!😳

Chernobyl?!!!
 
Kubweka kwako hakuzuii maslahi ya wakubwa duniani....Putin ana haki ya kulilinda taifa lake......

Endelea kukariri ujinga tu.....
 
Wazungumze watu wengine lakini sio wakenya, ninyi mliwakandamiza waafrika mkishirikiana na hao wazungu, Afrika bado haijasahau usaliti na kujipendekeza kwenu kwa wazungu, ninyi hampaswi hata kuwa "member wa AU", ninyi ni wasaliti wakubwa, hovyo kabisa ninyi.
 
Nchi masikini hatuna cha kuamua zaidi ya upambe tu, misimamo yetu inaendeshwa na shida. Bajeti ya nchi bila mikono ya wahisani hali tete.
Tuache kujilisha upepo serikali inajaribu kujifanya neutral lakini ukweli nchi za bara jeusi tunaishi kwa unafiki tu.
Roho ya JPM shujaa ipate rehema kwa MUNGU apumzike kwa amani,
 
Viongozi wajifunze juu ya mutual benefit among countries
 
Mmh! Basi pole yake Putin, mimi nikajua kwamba amejiandaa hata akitengwa atapeta tu..
Mataifa ya magharibi yamehodhi mfumo mzima wa uchumi duniani ukikosana nao lazina utakaa chini tuu. Urusi kajitakia mwenyewe na west sio kwamba wanapinga urusi kuvamia Ukraine hii ni kiinimacho tuu cha ustaarabu infact hapo ndio wamepata entry point ya kuiangusha urusi kiuchumi. Baada ya kuanguka kwa ussr ilichukua muda mrefu sana kwa urusi kufika hapa ilipo leo kiuchumi lakini inaelekea yote inaenda kuwa kazi bure kwa upumbavu wa kiongozi ambaye ni beligerent maana dunia ya sasa ubabe na umiliki wa silaha umeshapitwa na wakati sasa hivi ni nani mwenye hela apewe heshima yake jaribu kuangalia engagement ya west na china kwenye masuala mbalimbali huwa kunakuwa na kiheshina kidogo.
 
Hawa hata vita vya Iraq walisapoti hawa ili wapate makombo kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…