UN waikanusha serikali, wasema waziri wa Tz kuonana nao si kwamba wanabariki mauaji yaliyofanyika.

UN waikanusha serikali, wasema waziri wa Tz kuonana nao si kwamba wanabariki mauaji yaliyofanyika.

Nilete nini na hakuna walichosema UN. Angalia media na social outlets zote za UN hakuna uongo huu mnaoleta.
 
Ni kweli. Ila imeandikwa confidential, na doc ya ndani. Imetokaje nje kama ilikuwa supposed kuwa doc confidential ya ndani? Hapo ndiyo kunatia shaka kuhusu genuinity yake.
Ni uongo tu analeta. Hakuna lolote kutoka UN. Ameshindwa hata kuweka link. Amebaki tu kuimba kuwa ni mtandao. Hizi ni propaganda za kitoto sana
 
Huwezi ukazika watu wakiwa hai kisa madaraka halafu utegemee serikali yako kutambuliwa na kuungwa mkono na jumuiya za kimataifa zinazoongozwa na watu wenye akili timamu... never

Huwa nikimtafakari huyu mzanzibari na vyombo vyetu vya ulinzi nakosa hata hamu ya kula.
 
Ghadafi alikuwa muuaji mkubwa nq hicho ndio kilichomtoa uhai, alilipwa Karma
Hizi propaganda huwa zinapikwa na watu wenye akili kuliko zako na ndio maana zuzu kama wewe hauwezi kugundua hilo

Kwahiyo wewe unaijua hii ishu zaidi kuliko Anna Tibaijuka ambaye ndio alikuwa katibu mkuu wa UN kipindi hicho?
 
Hizi propaganda huwa zinapikwa na watu wenye akili kuliko zako na ndio maana zuzu kama wewe hauwezi kugundua hilo

Kwahiyo wewe unaijua hii ishu zaidi kuliko Anna Tibaijuka ambaye ndio alikuwa katibu mkuu wa UN kipindi hicho?
Tibaijuka amewahi kuwa katibu mkuu UN ? Au mimi ndiye sielewi.
 
Hivi bado wajinga mpo wengi mnadhani kuwa UN ipo Kwa sababu ya kumsaidia Mwafrica Aishi maisha Bora?

Wakati Marekani wanaua Gadafi ambaye ndio raisi Bora wa karine hii

Mama Ana Tibaijuka alikuwa katibubu mkuu wa UN anasema walitumia Kila linalowezekana Ili kumuokoa Gadafi lakini walishindwa
Anasema Gadafi hakuwa na kosa lolote ni propaganda tu za Marekani na nchi za Ulaya huku wakivitumia vyombo vyao vya habari CNN na BBC kueneza propaganda zao Kwa mijitu mijinga ya Africa

Anasema Gadafi aliuliwa Kwa sabubu za kiuchumi na mapenzi yake dhidi ya bara la Africa

Gadafi alitaka Africa iwe na sarafu yake iachane na kutegemea Dora

Pia alitaka mafuta yasiuzwe Kwa Dora

Alafu wewe unaleta Uzi UN UN hivi nyinyi wafrica mtajikomboa lini kimawazo na fikira
Wewe mwezetu una elimu ya kiasi gani, au husomi news ukaelewa?
Gadafi alikuwa Dikteta kama Samia, mtoto wa Gadafi alikua kama unavyomuona Abdul

Gadafi alikubali kutungua ndege pale Uingereza iliyoanguka inapopaa kutoka Earthrow Airport, walikufa zaidi ya watu 298. Mtu mwema huyo?

Msiwe mnatetea mambo ambayo hamuyajui
 
Hizi propaganda huwa zinapikwa na watu wenye akili kuliko zako na ndio maana zuzu kama wewe hauwezi kugundua hilo

Kwahiyo wewe unaijua hii ishu zaidi kuliko Anna Tibaijuka ambaye ndio alikuwa katibu mkuu wa UN kipindi hicho?
The list of UN general secretary from 1990 up to date, if you can see the name of Anna Tibaijuka here please tell me.

1: Javier Perez de Cuellar ( 1991-Peru)

2: Boutros Boutros Ghali ( 1992-1996) Egypt.

3: Kofi Annan ( 1997-2006) Ghana.

4: Ban Ki Moon ( 2007-2016) South Korea.

5: Antonio Guterres (2017- present) Portugal.
 
International standards define peace not as the absence of visible unrest, but as the presence of:
•accountability for unlawful use of force,
•protection of civilian life,
•and respect for constitutional and human rights guarantees.
Ufafanuzi mzuri wa Amani.^^

Tafsiri:
Viwango vya kimataifa vinafafanua amani siyo kama kukosekana kwa machafuko yanayoonekana, bali kama kuwepo kwa:
• uwajibikaji kwa matumizi haramu ya nguvu,
• ulinzi wa maisha ya raia,
• na kuheshimiwa kwa katiba pamoja na dhamana za haki za binadamu.
 
Ni uongo tu analeta. Hakuna lolote kutoka UN. Ameshindwa hata kuweka link. Amebaki tu kuimba kuwa ni mtandao. Hizi ni propaganda za kitoto sana
Ukiwa na kimavi mmgongoni na unanuka, udisubiri uambiwe unanuka.
 
Ukiwa na kimavi mmgongoni na unanuka, udisubiri uambiwe unanuka.
NI vizuri tu kusema- nakusema hivi au nakusikia unanuka. Tatizo wewe unasema fulani kasema anakusikia unanuka, wakati siyo. huo ni uongo na kuwaadaa watu. UN umewalisha maneno. Hawajasema maneno uliyoandika.
 
The list of UN general secretary from 1990 up to date, if you can the name of Anna Tibaijuka here please tell me.

1: Javier Perez de Cuellar ( 1991-Peru)

2: Boutros Boutros Ghali ( 1992-1996) Egypt.

3: Kofi Annan ( 1997-2006) Ghana.

4: Ban Ki Moon ( 2007-2016) South Korea.

5: Antonio Guterres (2017- present) Portugal.

Tibaijuka is also a former Under-Secretary-General of the United Nations and executive director of the United Nations Human Settlements Programme (UN-HABITAT). She was the second highest ranking African woman in the UN system,
 
Umoja wa Mataifa, UN, imetoa tamko linaloweka sawa msimamo wa Umoja huo kwa yale mauaji yaliyotokea Oktoba 29.

Kwanza wanasema uchaguzi ulikuwa na walakin.

UN imetamka wazi kuwa mauaji yaliyotokea ni haramu kwa haki za kibinadamu. Na kwamba Tume iliyoundwa kuchunguza mauaji haina sifa ya kuwa Tume huru.

Hii habari inazunguka mitandaoni.

NONDO HIZI HAPA

CONFIDENTIAL MEMORANDUM


SUBJECT: Rebuttal to Press Release by the Government of the United Republic of Tanzania Concerning Engagement with the UN Secretary-General Following 29 October 2025 Events

Prepared for: UN Officials, Special Rapporteurs, Permanent Missions, and International Partners
Date: December 2025
Classification: For internal briefing and reference



1. Purpose of the Memorandum

This memorandum provides a factual and legal clarification in response to the press release issued by the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation of the United Republic of Tanzania dated 14 December 2025, concerning the alleged assessment by the UN Secretary-General of Tanzania’s conduct surrounding the General Elections of 29 October 2025.

The memorandum seeks to correct misleading impressions created by the release and to restate applicable international standards.



2. On the Nature of the UN Secretary-General’s Engagement

The press release implies international validation of the Government’s handling of the post-election period. This interpretation is inaccurate.

The UN Secretary-General:
•Received a message conveyed by a Special Envoy.
•Did not conduct an investigation, verification mission, or fact-finding exercise.
•Did not issue a determination regarding responsibility for violence or legality of state conduct.

Receipt of correspondence by the Secretary-General does not constitute endorsement, certification, or approval of the actions described therein. Diplomatic protocol must not be conflated with substantive validation.


3. On Claims of “Peace, Social Cohesion, and Stability”

International standards define peace not as the absence of visible unrest, but as the presence of:
•accountability for unlawful use of force,
•protection of civilian life,
•and respect for constitutional and human rights guarantees.

Credible reports indicate that on and after 29 October 2025:
•civilians were killed and injured by state security forces,
•excessive force was deployed against unarmed demonstrators,
•military units were deployed in civilian settings without transparent legal justification.

Such conditions are incompatible with internationally accepted definitions of peace and social cohesion.



4. On the Use of “National Dialogue” as a Remedial Measure

While dialogue may play a role in long-term reconciliation, it cannot substitute for accountability in cases involving:
•loss of life,
•grave bodily harm,
•or alleged violations of international human rights law.

International norms require that allegations of unlawful killings be addressed through:
•prompt, independent, impartial, and transparent investigations,
•identification of individual and command responsibility,
•and access to effective remedies for victims.

Dialogue without accountability risks entrenching impunity.


5. On the Commission of Inquiry Referenced

The Commission of Inquiry referenced in the press release raises concerns regarding independence and effectiveness.

Under international best practice, an inquiry must demonstrate:
•institutional independence from the executive implicated in alleged violations,
•operational autonomy over evidence and witnesses,
•protection mechanisms for victims and whistleblowers,
•public disclosure of findings and recommendations.

Absent these guarantees, such a commission cannot meet the threshold of a credible accountability mechanism under international law.


6. On the Risk of Narrative Misrepresentation

The framing of the press release risks:
•misrepresenting diplomatic engagement as substantive endorsement,
•obscuring unresolved allegations of serious violations,
•and undermining the credibility of international accountability processes.

Such misrepresentation complicates future engagement and risks eroding trust between the Government, its citizens, and international partners.


7. Conclusion

The events of 29 October 2025 remain unresolved from a legal and accountability perspective.

International engagement with the United Republic of Tanzania:
•should not be interpreted as absolution,
•does not negate the obligation to investigate alleged violations,
•and does not preclude future international scrutiny.

Sustainable peace and stability require truth, accountability, and institutional restraint, not reputational management through diplomatic communications.


Closing Note

The United Nations’ role is not to legitimize state narratives, but to uphold international law, protect human rights, and ensure that justice is neither deferred nor denied.

REF: TOKA MITANDAONI
NB : Yaweza kuwa utunzi wa wanaharakati.
HAPANA hii ni halisi (confirmed 👍) toka UN website...

Uandishi wa tamko hii unathibitisha uhalisia maana umejaa kwenye kiganja cha International diplomatic standards...

Wamepigwa za uso kweli kwelikweli...

Hukumu ya dhambi ya kuua maelfu ya Watanzania wenzetu iko kazini...

Imefanywa na viongozi wakuu wa nchi. In return, sisi wananchi kila mmoja wetu obvious atakumbana na athari zake.....

Ili kupona, sharti ni Moja tu: Kuwatosa baharini wote walioshiriki dhambi hii mbaya na ya makusudi kabisa...

Baada ya hapa tuitakase nchi na taifa letu kwa njia na utaratibu tutakaokubaliana...

Else, tukiendelea kuwatetea na kuwakumbatia wauaji hawa, we shall live with these negative impacts forever mpaka watoto wa watoto wetu watakutana nazo mbele....
 
Back
Top Bottom