Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Vile vinaitwa vikao vya kipuuzi ,hivi nchi dhaifu kama Kenya haiwezi hata kumudu mlo wake tu inawezaje kuiwekea vikao Tanzania huku wakiungana na mafukara wenzake hahahaha huu c mtihani huu!! .eti wameitenga Tanzania wanafanya kikao Kenya ,Uganda Burundi sijui na Sudan sasa hizi nchi zote hazina faida hata ya 25% tu Kwa Tanzania unapoitenga TZ hivi kuna madhara yeyote yatatokea? Si sawa na kutambaliwa na sisimizi tuHii corona imekuja kutuonesha rasmi nani ni nani,
Pia imetuonesha uwezo wa kufikiri wa serikali ya kunya ilivyo fupi,
Hongera JPM kwa kupuuza vile vikao vyao na kukataa kupokea simu zao.