Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Hilo haliwezi kufanyika. Serikali yetu haijali sera ya wanachi kwa undani sana. Bora wananchi wanakula na hawapigi makelele, basi serikali inajitia hamnazo.Kwahiyo unakubali serikali yenu imefeli kwenye Sera , na ili irudi kwenye mstari inaweza ikakosekana kabisa utulivu maana itahitajika ifanye maamuzi magumu Kwanza urudisha ardhi yote serikalini kisha kutunga sera upya ya kuigawa sasa Jambo hilo inawezekana yakatokea ya Zimbabwe