UN: Wakenya wasio na uhakika wa kula kuongezeka zaidi ya mara mbili

Yaani wewe mtu mzima unakaa chini unaongea kuhusu chakula? Hahaha enyewe watanzania wako very immature. Yaani bado hamjabaleghe. Nyie ni kama watoto tu. Hivi itakuwaje uzi huu umejaa watu wazima wanakaa chini na kuandika kuhusu jinsi walikula kuku na ugali? Kama Kenya hatuli mbona hatujafa?
We Ongelea madini.
Kwakuwa ni mature.
 
Haupo serious na point ya msingi, labda nikuulize tu swali dogo mchezaji gani wa mpira aliekua na ubora wa Tanzania anachezea huko kwenu?
Hamna mchezaji wa Tanzania kwenye ligi ya Kenya ila tumekuwa na Waganda (Kwa mfano mchezaji mmoja matata alikuwa anaitwa Dan Sssrenkuma) na Warwanda humu. Hamna Watanzania kwa sababu nyie hamna talanta na sio kwa sababu sisi hatuna uwezo wa kuwaleta wachezaji au makocha kutoka nje. Tumekuwa na makocha kutoka nje hadi wazungu wakicoach vilabu kama Afc leopards na Gor Mahia. Usidhani sisi hatuna hela ya kuleta wachezaji au makocha kutoka nje. Tatizo nyie hamna talanta sasa hatuna haja na nyie. Mtanzania niliyempenda nilipokuwa nikitizama Taifa stars miaka kadhaa iliyopita, ambaye ana talanta ya kucheza huku Kenya alikuwa anaitwa Ulimwengu. Alikuwa anatoka mbio sio mchezo.
 
Tony kama hali ya chakula ni mbaya kiasi hicho huko Kenya usipate taabu..tumeshajuana kupitia JF, njoo pm nikupatie hata gunia moja la mahindi. Usife na tai shingoni.
 
Jamani watu wa Kenya wako na shida ya chakula madhee.. Imagine mtu anakula our meal per week hii si hatari.. Kwa sababu ya jeuri waliyonayonayo Kwa niaba yao nawapigia magoti watz mpeleke chakula Kenya
 
Jamaa kazungumza vizuri sana, unashindwa kumjibu kwa kutumia economic knowledge unabaki kupiga kelele za mtaani.

Jiulize kwanini wachezaji wa mpira hapa EAC wote ndoto yao ni kuja kucheza mpira Tanzania?, jiulize kwanini makampuni mengi ya Kenya yanakimbilia kuwekeza Tanzania?.

Thamani ya pesa haina maana yoyote kama uchumi wako hauna nguvu, ni sawa na UK na USA.
Anaelewa nilichomaanisha ila anajitoa ufaham au atujibu yeye kazi anayofanya analipwa sh ngapi ya kikenya Kwa mwezi
 
Tony kama hali ya chakula ni mbaya kiasi hicho huko Kenya usipate taabu..tumeshajuana kupitia JF, njoo pm nikupatie hata gunia moja la mahindi. Usife na tai shingoni.
Hahaha sio kila Mkenya anahitaji msaada. Sio vizuri kujisifu ndio maana sitasema level yangu kimaisha iko vipi ila nipo freshi tu. Asante lakini.
 
Hamna mchezaji wa Tanzania kwenye ligi ya Kenya ila tumekuwa na Waganda (Kwa mfano mchezaji mmoja matata alikuwa anaitwa Dan Sssrenkuma) na Warwanda humu. Hamna Watanzania kwa sababu nyie hamna talanta na sio kwa sababu sisi hatuna uwezo wa kuwaleta wachezaji au makocha kutoka nje. Tumekuwa na makocha kutoka nje hadi wazungu wakicoach vilabu kama Afc leopards na Gor Mahia. Usidhani sisi hatuna hela ya kuleta wachezaji au makocha kutoka nje. Tatizo nyie hamna talanta sasa hatuna haja na nyie. Mtanzania niliyempenda nilipokuwa nikitizama Taifa stars miaka kadhaa iliyopita, ambaye ana talanta ya kucheza huku Kenya alikuwa anaitwa Ulimwengu. Alikuwa anatoka mbio sio mchezo.
Hiyo sio kwel, ukweli ligi yenu haina pesa haina washabiki kwahiyo mpira wenu hauna pesa ndio maana huwezi kuchukua mchezaji Tanzania achana kuchukua Watanzania hatakama mchezaji sio mtanzania ila anachezea kwenye club za Tanzania labda Simba au Yanga au Azam hamuwezi kumchukua Kwa kua hamna pesa sawa sawa na na club za Africa kwenda kumchukua mchezaji England
 
Huyo ndio huwa anajisifu humu kuwa amesoma uchumi wakati saa nyingine naona kuwa bora sisi tuliosoma uchumi kama somo tena semister moja.
Labda huyu atakua mwanauchumi wa kuchumia juani kulia juani ndio maana anapata tabu ,tatizo la wakenya wengi wasiokua na akili kama huyu wanadanganyika na thamani ya shilling bila ya kuigeuza upande wa pili .angetujuza tu mwalimu wa shule ya msingi analipwa sh ngapi Kwa Kenya shilling
 
Hiyo sio kwel, ukweli ligi yenu haina pesa haina washabiki kwahiyo mpira wenu hauna pesa ndio maana huwezi kuchukua mchezaji Tanzania achana kuchukua Watanzania hatakama mchezaji sio mtanzania ila anachezea kwenye club za Tanzania labda Simba au Yanga au Azam hamuwezi kumchukua Kwa kua hamna pesa sawa sawa na na club za Africa kwenda kumchukua mchezaji England
Kama vilabu vyetu vinaafford kocha wazungu tutashindwa aje kuafford mchezaje mweusi wa Kitanzania? Wewe wacha mchezo.
 
Labda huyu atakua mwanauchumi wa kuchumia juani kulia juani ndio maana anapata tabu ,tatizo la wakenya wengi wasiokua na akili kama huyu wanadanganyika na thamani ya shilling bila ya kuigeuza upande wa pili .angetujuza tu mwalimu wa shule ya msingi analipwa sh ngapi Kwa Kenya shilling
Sasa wewe na huyo fala anaitwa babayao255 huwa mnanishangaza. Wewe mwenyewe umekuwa na machungu na mimi kwa muda mrefu ni kama hutaki kuambiwa kuna nimesomea taaluma ya uchumi. Ni kama ulikuwa unataka nijifanye zuzu kama Wabongo. Likija kwenye debate la uchumi huwa nawanyorosha ninyi wote ndio maana mnaanza majungu na miwivu.
 
Hamna manungu ,unaongea pumba . Kwahiyo mwalimu wa shule ya msingi kenya kima cha chini laki 5 Tz shilling?
 
Sijui. Pengine ksh 25,000 - ksh 30,000 kila mwezi. Lakini mimi sio mwalimu kwa hivyo sina uhakika.
 
Labda huyu atakua mwanauchumi wa kuchumia juani kulia juani ndio maana anapata tabu ,tatizo la wakenya wengi wasiokua na akili kama huyu wanadanganyika na thamani ya shilling bila ya kuigeuza upande wa pili .angetujuza tu mwalimu wa shule ya msingi analipwa sh ngapi Kwa Kenya shilling
Hawa wakenya elimu yao ni feki ndio maana madaraja yanajengwa na kuvunjika kabla hata ya kuanza kutumika,

Water tank linajengwa na kuvunjika kabla hata ya kuanza kutumika,

Shuleni wanaenda kusomea kuiba, rushwa na ukabila.
 
Sijui. Pengine ksh 25,000 - ksh 30,000 kila mwezi. Lakini mimi sio mwalimu kwa hivyo sina uhakika.
Twende kwenye point sasa , ukilipwa Tanzania laki 500,000 Kwa mwez na ukafanya kazi Kenya ukalipwa 25,000 kwan kuna tofauti?
 
Kama vilabu vyetu vinaafford kocha wazungu tutashindwa aje kuafford mchezaje mweusi wa Kitanzania? Wewe wacha mchezo.
Mimi ni mmoja kati ya Watanzania ninaewafahamu wakenya kila kona na nina uwezo wa kupata habari hadi za kule mashinani,

Huwa ni sina tu muda wa kufungua nyuzi kuhusu kenya ila ile siku nitaamua nadhani mtaanza kupeleka malalamiko kwa mod maana nawafahamu hadi rangi za pichu,

Hii habari kwenye hii link ni ya mwezi uliopita.

Kenya: Gor Mahia Coach Living On Savings for Lack of Pay
 
Back
Top Bottom