UN: Wakenya wasio na uhakika wa kula kuongezeka zaidi ya mara mbili

Hii corona imekuja kutuonesha rasmi nani ni nani,

Pia imetuonesha uwezo wa kufikiri wa serikali ya kunya ilivyo fupi,

Hongera JPM kwa kupuuza vile vikao vyao na kukataa kupokea simu zao.
Vile vinaitwa vikao vya kipuuzi ,hivi nchi dhaifu kama Kenya haiwezi hata kumudu mlo wake tu inawezaje kuiwekea vikao Tanzania huku wakiungana na mafukara wenzake hahahaha huu c mtihani huu!! .eti wameitenga Tanzania wanafanya kikao Kenya ,Uganda Burundi sijui na Sudan sasa hizi nchi zote hazina faida hata ya 25% tu Kwa Tanzania unapoitenga TZ hivi kuna madhara yeyote yatatokea? Si sawa na kutambaliwa na sisimizi tu
 
Sasa hii ndio inanipa picha kwanini wanawake wa kunyacountry wanapenda kuolewa huku, wengine wanawalilia hata wasanii wa Tz.

Kuweni wakweli ombeni chakula Tz vitu vinaozea mashambani na kulisha nguruwe si bora kula hata makombo ya Tz?
hashtag

donate food to fellow kenyan
 
Kabisa ni vikao vya kipuuzi na ndio maana JPM alivipuuza.
 
Mkuu yani Tanzania kulala njaa ni uzembe wako na hata kama utalala njaa kwa kukosa hela itakuwa ni kwa muda mfupi sana.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu yani Tanzania kulala njaa ni uzembe wako na hata kama utalala njaa kwa kukosa hela itakuwa ni kwa muda mfupi sana.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Nakumbuka wakati fulani tulikuwa tunakula kwa Mama Ntilie.
Yaani Ugali au Wali na Kipande kubwa cha Kuku wa Kienyeji.
Shilingi Elfu Moja tu.
Mpaka tulikuwa tunajiuliza hivi huyu mama hao kuku anawatoa wapi.
Na ni kuku safi kabisa na ni kila siku.
Maana kuku wa Kidere anajulikana anatoa harufu hata aungwe vipi, na sio Broiler.
Hadi leo nimekosa jibu.
 
na kwa sasa hamna kuwauzia mahindi etc raw food ; sasa tutasindika na kuwapa processed hawa ni masikini jeuri
 
Hakuna siku hela yenu ya madafu itakuja kushindana na hela tukufu ya Kenya. Pesa yenu ya kubeba kwenye wheelbarrow kama ile ya Zimbabwe ndio unataka kulinganisha na pesa safi ya Kenya?
 
Yaani wewe mtu mzima unakaa chini unaongea kuhusu chakula? Hahaha enyewe watanzania wako very immature. Yaani bado hamjabaleghe. Nyie ni kama watoto tu. Hivi itakuwaje uzi huu umejaa watu wazima wanakaa chini na kuandika kuhusu jinsi walikula kuku na ugali? Kama Kenya hatuli mbona hatujafa?
 
Hakuna siku hela yenu ya madafu itakuja kushindana na hela tukufu ya Kenya. Pesa yenu ya kubeba kwenye wheelbarrow kama ile ya Zimbabwe ndio unataka kulinganisha na pesa safi ya Kenya?
Haupo serious na point ya msingi, labda nikuulize tu swali dogo mchezaji gani wa mpira aliekua na ubora wa Tanzania anachezea huko kwenu?
 
Hakuna siku hela yenu ya madafu itakuja kushindana na hela tukufu ya Kenya. Pesa yenu ya kubeba kwenye wheelbarrow kama ile ya Zimbabwe ndio unataka kulinganisha na pesa safi ya Kenya?
Jamaa kazungumza vizuri sana, unashindwa kumjibu kwa kutumia economic knowledge unabaki kupiga kelele za mtaani.

Jiulize kwanini wachezaji wa mpira hapa EAC wote ndoto yao ni kuja kucheza mpira Tanzania?, jiulize kwanini makampuni mengi ya Kenya yanakimbilia kuwekeza Tanzania?.

Thamani ya pesa haina maana yoyote kama uchumi wako hauna nguvu, ni sawa na UK na USA.
 
Huyo ndio huwa anajisifu humu kuwa amesoma uchumi wakati saa nyingine naona kuwa bora sisi tuliosoma uchumi kama somo tena semister moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…