babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Ukipenda kujisifu kuhusu elimu yako make sure ulichokisomea unakiweza na kukimudu ipasavyo au wewe ni mmoja wa wale waliosemekana wana fake degree pale UON!Sasa wewe na huyo fala anaitwa babayao255 huwa mnanishangaza. Wewe mwenyewe umekuwa na machungu na mimi kwa muda mrefu ni kama hutaki kuambiwa kuna nimesomea taaluma ya uchumi. Ni kama ulikuwa unataka nijifanye zuzu kama Wabongo. Likija kwenye debate la uchumi huwa nawanyorosha ninyi wote ndio maana mnaanza majungu na miwivu.
Hakuna tofautiTwende kwenye point sasa , ukilipwa Tanzania laki 500,000 Kwa mwez na ukafanya kazi Kenya ukalipwa 25,000 kwan kuna tofauti?
Hakuna tofauti. Point yako ni gani? Hivi wewe hujui kuwa msemo wa pesa yenu kuwa madafu ni ligi hapa Jf? Huo ni mchezo tu wa kutaniana bali sio jambo la wewe kunifunza mambo ya uchumi. Mimi ninafahamu kuwa hamna tofauti ya malipo ikiwa mtu analipwa ksh 25,000 au Tsh 500,000. Pia ikiwa bei ya bidhaa TZ ni nafuu kushinda Kenya basi anayelipwa Tsh 500,000 ndiye anayeweza kununua bidhaa nyingi kushinda anayelipwa ksh 25,000. Bei ya bidhaa pia inachangia uwezo wa wananchi kusurvive katika uchumi fulani. Uchumi kama wenu ambapo bei ya bidhaa ni nafuu kushinda Kenya basi mwalimu wenu, hata kama analipwa pesa sawa na mwalimu wa Kenya, ana uwezo wa kununua bidhaa nyingi zaidi kwa sababu ya bei kuwa nafuu. Haya ni mambo rahisi kwangu lakini sitawacha kutania pesa yenu eti kwa sababu umekasirikaUkalipwa dollars 300 Kenya na kulipwa laki 600000 Tz kuna tofauti
Ni nini unaweza kunifunza kuhusu uchumi zaidi ya majungu yako ya kawaida ambayo nimeizoea?Ukipenda kujisifu kuhusu elimu yako make sure ulichokisomea unakiweza na kukimudu ipasavyo au wewe ni mmoja wa wale waliosemekana wana fake degree pale UON!
Ndio kitu nilichokua nauliza Mimi , wakenya wengi hawana uelewa huu wanazani unapolipwa elfu 10 ya kikenya wakamudu gharama za matumizi wanazani utakapolipwa Kwa pesa ya TZ utakua huwez kumudu ndio wanabaki kudai eti pesa ya madafu cha msingi unatakiwa kulipwa pesa inayokidhi mahitaji iwe Kwa dollars, Ke shilling au Tz shilingi .ila kama pesa haikidhi mahitaji ktk nchi uliopo hata ulipwe Kwa dollar bado zitakua ndogo tu.Hakuna tofauti
Siwezi kukasirika ila kama unatania sawa ila kuna wengine wanadhani Ke shilling kuwa juu bc ndio lahisi mkenya kuwa na maisha mazur kuliko Mtanzania .Hakuna tofauti. Point yako ni gani? Hivi wewe hujui kuwa msemo wa pesa yenu kuwa madafu ni ligi hapa Jf? Huo ni mchezo tu wa kutaniana bali sio jambo la wewe kunifunza mambo ya uchumi. Mimi ninafahamu kuwa hamna tofauti ya malipo ikiwa mtu analipwa ksh 25,000 au Tsh 500,000. Pia ikiwa bei ya bidhaa TZ ni nafuu kushinda Kenya basi anayelipwa Tsh 500,000 ndiye anayeweza kununua bidhaa nyingi kushinda anayelipwa ksh 25,000. Bei ya bidhaa pia inachangia uwezo wa wananchi kusurvive katika uchumi fulani. Uchumi kama wenu ambapo bei ya bidhaa ni nafuu kushinda Kenya basi mwalimu wenu, hata kama analipwa pesa sawa na mwalimu wa Kenya, ana uwezo wa kununua bidhaa nyingi zaidi kwa sababu ya bei kuwa nafuu. Haya ni mambo rahisi kwangu lakini sitawacha kutania pesa yenu eti kwa sababu umekasirika
Kama unalijua hilo vizur na ndio maana unaambiwa TZ kutokakimaisha lahisi kuliko Kenya ,maana hata kiwanja kununua lahisi mtu wa kawaida tu anauwezo wa kumiliki kiwanja Dsm lakin cdhan kenya mtu wakaida kama ataweza kununua kiwanja NairobiHakuna tofauti. Point yako ni gani? Hivi wewe hujui kuwa msemo wa pesa yenu kuwa madafu ni ligi hapa Jf? Huo ni mchezo tu wa kutaniana bali sio jambo la wewe kunifunza mambo ya uchumi. Mimi ninafahamu kuwa hamna tofauti ya malipo ikiwa mtu analipwa ksh 25,000 au Tsh 500,000. Pia ikiwa bei ya bidhaa TZ ni nafuu kushinda Kenya basi anayelipwa Tsh 500,000 ndiye anayeweza kununua bidhaa nyingi kushinda anayelipwa ksh 25,000. Bei ya bidhaa pia inachangia uwezo wa wananchi kusurvive katika uchumi fulani. Uchumi kama wenu ambapo bei ya bidhaa ni nafuu kushinda Kenya basi mwalimu wenu, hata kama analipwa pesa sawa na mwalimu wa Kenya, ana uwezo wa kununua bidhaa nyingi zaidi kwa sababu ya bei kuwa nafuu. Haya ni mambo rahisi kwangu lakini sitawacha kutania pesa yenu eti kwa sababu umekasirika
Nikikuambia kuwa mimi ni mchumi namaanisha na wala sibahatishi. Hamna utani hapo. Ila lazima uelewe kuwa sio kila wakati niko serious na inabidi wakati mwingine tunataniana maana maisha ya kuwa serious kila wakati sio mazuri.Siwezi kukasirika ila kama unatania sawa ila kuna wengine wanadhani Ke shilling kuwa juu bc ndio lahisi mkenya kuwa na maisha mazur kuliko Mtanzania .
Ni kweli. Nairobi viwanja ni pesa nyingi inabidi watu wanunue viwanja kilomita kadhaa nje ya Niarobi kwenye outskirts ndio waweze kumudu bei.Kama unalijua hilo vizur na ndio maana unaambiwa TZ kutokakimaisha lahisi kuliko Kenya ,maana hata kiwanja kununua lahisi mtu wa kawaida tu anauwezo wa kumiliki kiwanja Dsm lakin cdhan kenya mtu wakaida kama ataweza kununua kiwanja Nairobi
Sasa huoni hapo jiji litakua linajengwa zaidi na wageni na wenyeji wachacheNi kweli. Nairobi viwanja ni pesa nyingi inabidi watu wanunue viwanja kilomita kadhaa nje ya Niarobi kwenye outskirts ndio waweze kumudu bei.
Napia kutokana gharama za maisha kuwa juu huoni kila siku mtu atakua njia tu ya pesa zinapita zinaenda hawezi fanya Jambo kubwa Kwa urahisi hata kama ana kazi nzur, maana sawa na kupiga hatua tatu mbele kisha anapiga atua mbili nyumaNi kweli. Nairobi viwanja ni pesa nyingi inabidi watu wanunue viwanja kilomita kadhaa nje ya Niarobi kwenye outskirts ndio waweze kumudu bei.
Ni kweli. Hayo ndio matatizo ya kuishi kwenye uchumi yoyote ambayo bei ya bidhaa ipo juu.Napia kutokana gharama za maisha kuwa juu huoni kila siku mtu atakua njia tu ya pesa zinapita zinaenda hawezi fanya Jambo kubwa Kwa urahisi hata kama ana kazi nzur, maana sawa na kupiga hatua tatu mbele kisha anapiga atua mbili nyuma
Kwa kifupi maisha ya Mtanzania anayelipwa hela nzuri (laki tano kila mwezi na zaidi) ni nzuri kwa sababu anaweza kukimu mahitaji ya kila siku. Kenya pia bei ya bidhaa mashinani (vitongojini) ni nafuu sana kwa hivyo walimu wanaofunza mashule ambazo zipo mashinani pia wanaishi maisha mazuri tu. Bei ya bidhaa ipo juu sana Nairobi ila bei ya bidhaa hasa chakula ipo nafuu sana mashinani.Napia kutokana gharama za maisha kuwa juu huoni kila siku mtu atakua njia tu ya pesa zinapita zinaenda hawezi fanya Jambo kubwa Kwa urahisi hata kama ana kazi nzur, maana sawa na kupiga hatua tatu mbele kisha anapiga atua mbili nyuma
Sasa hilo ni tatizo la sera mbovu , huku kwetu kauli mbiu kilimo ni uti wa mgongo wa mtanzania imesaidia Sana watu wanazalisha mazao mengi kubalanzi mfumuko wa beiNi kweli. Hayo ndio matatizo ya kuishi kwenye uchumi yoyote ambayo bei ya bidhaa ipo juu.
Ahaa ila huku mpaka dar maisha nafuu , Yani kumekua na balance kila mkoa inapiahana baadhi tu ya vitu kama sukari na mafutaKwa kifupi maisha ya Mtanzania anayelipwa hela nzuri (laki tano kila mwezi na zaidi) ni nzuri kwa sababu anaweza kukimu mahitaji ya kila siku. Kenya pia bei ya bidhaa mashinani (vitongojini) ni nafuu sana kwa hivyo walimu wanaofunza mashule ambazo zipo mashinani pia wanaishi maisha mazuri tu. Bei ya bidhaa ipo juu sana Nairobi ila bei ya bidhaa hasa chakula ipo nafuu sana mashinani.
Ni vizuri kuwa bei ni nafuu kila mahali huko kwenu.Ahaa ila hupu mpaka dar maisha nafuu , Yani kumekua na balance kila mkoa inapiahana baadhi tu ya vitu kama sukari na mafuta
Kwahiyo unakubali serikali yenu imefeli kwenye Sera , na ili irudi kwenye mstari inaweza ikakosekana kabisa utulivu maana itahitajika ifanye maamuzi magumu Kwanza urudisha ardhi yote serikalini kisha kutunga sera upya ya kuigawa sasa Jambo hilo inawezekana yakatokea ya ZimbabweNi vizuri kuwa bei ni nafuu kila mahali huko kwenu.