UN: Wakenya wasio na uhakika wa kula kuongezeka zaidi ya mara mbili

Hilo haliwezi kufanyika. Serikali yetu haijali sera ya wanachi kwa undani sana. Bora wananchi wanakula na hawapigi makelele, basi serikali inajitia hamnazo.
 
Hilo haliwezi kufanyika. Serikali yetu haijali sera ya wanachi kwa undani sana. Bora wananchi wanakula na hawapigi makelele, basi serikali inajitia hamnazo.
Bc kama unalielewa hilo sawa nilizan nawe mshabiki kama mk 254
 
Hilo haliwezi kufanyika. Serikali yetu haijali sera ya wanachi kwa undani sana. Bora wananchi wanakula na hawapigi makelele, basi serikali inajitia hamnazo.
Sio hamnazo kuna kazi ngumu sana kurudisha ardhi Kwa wananchi maana hata huku kuna kipindi vigogo walihodhi maeneo makubwa hawayatumii kuwapokonya ngumu ila Kwa kua Sheria ipo wazi ya ardh angalau watu wanabanwa mahakamani eneo linachukuliwa anabakishiwa eneo analoweza kulimudu tu
 
Wanajifungia huku wanakufa njaa. Wafungue mipaka tuwapelekee chakula. Sisi ni wakarimu sana. Naipenda nchi yangu Tanzania, nchi yenye maziwa na asali ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…