Una-deal vipi na mwenza mwenye high libido?

Una-deal vipi na mwenza mwenye high libido?

Hao watu high libido ni kipengele sema ndio hivyo lazima ujue ku control hofu Yako maana yote uliyosema yatakuijia kichwani
Hapo usitafute namna ya ku deal nae we tafuta namna ya ku deal na akili Yako dhidi yake ili uwe safe zaidi
Ni vizuri kumjali kwa kadri utakavyoweza na Wala usitake for granted ule utayari wake kwako maana wao huwa ni one call yuko geto hata kama alikuwa anapika anaweza acha chakula jikoni
 
Kuna mwanamke mwengine kuwa kwake na hamu ya sex sio high libido ila anakuwa na tatizo la STD mfano gonorrhoea... Mwanamke mwenye huu ugonjwa Huwa haridhiki.....anaweza akakufanya ushindwe hata kutembea Kwa jinsi ulivyokunjuka.... Lakini Kesho anataka tena,,,,kumbe ule ugonjwa unakuwa umemletea kama mawasho ya ndani kwa ndani....
 
Hao watu high libido ni kipengele sema ndio hivyo lazima ujue ku control hofu Yako maana yote uliyosema yatakuijia kichwani
Hapo usitafute namna ya ku deal nae we tafuta namna ya ku deal na akili Yako dhidi yake ili uwe safe zaidi
Ni vizuri kumjali kwa kadri utakavyoweza na Wala usitake for granted ule utayari wake kwako maana wao huwa ni one call yuko geto hata kama alikuwa anapika anaweza acha chakula jikoni
Hahahah

Sure ukisema upambane kum-manage utaishia kuumiza kichwa
 
Kuna mwanamke mwengine kuwa kwake na hamu ya sex sio high libido ila anakuwa na tatizo la STD mfano gonorrhoea... Mwanamke mwenye huu ugonjwa Huwa haridhiki.....anaweza akakufanya ushindwe hata kutembea Kwa jinsia ulivyokunjuka.... Lakini Kesho anataka tena,,,,kumbe ule ugonjwa unakuwa umemletea kama mawasho ya ndani kwa ndani....
Duh hapo inakuwa bado haja fahamu kama ana tatizo la gono?

Au hizo ni effevcts za gono zinazo acha ndani ya uke hata kama ametibika??
 
Kama ni mwanamke hao hata kunya mavie ni shida anaweza pata shoo mavie ya mbuzi once after 2weeks
 
What counts as high libido? As in, anatakiwa awe anafanya angalau mara ngapi kwa siku?
I think counting does not matter ila pale ambapo mfano umetoka kumpiga bao 3 mchana ya saa nane ikifika saa kumi anaanza kukuvuta unapiga , palw mkiwa mnakula saa mbili anaweka mikono ndanj ya boxer yako na anakuambia anataka sebeurni unapiga, mkineda kulala saa nne anakushtja, saa nane anakushtua aubuhj kabla ya kazi anakushtua ,akiwa kazinj anaomba ruhusa aje

Hivi unadhani utaweza kutembea mkuu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom