Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,473
- 3,542
Unapoendea utawehuka mi nilikuwa mkristo kupita wewe ila nilipogundua hata hao mitume hawakuwa na dini na mi nikaachana na dini ila Mungu namwamini, nakutoa tongotongo tu mdogo wangu, ila kwa kifupi unakera kupost utumbo kwenye jukwaa la wanaojielewa kwanini usipost huko Facebook kwenye magroup ya mazombie wenzioHahaa, Smart Contract nakuruhusu uniblock tu hata kwa matofali 100, lakini ukweli umeishaujua. Safina imeonekana. Mliofikiri Biblia ni story za kijiweni sasa mmethibitishiwa na wabobevu wa sayansi. Hamtakuwa na udhuru siku ya hukumu. Nuru imekuja mmependa giza kuliko