Una habari? Wanasayansi "wameiona" Safina ya Nuhu wa Biblia

Unapoendea utawehuka mi nilikuwa mkristo kupita wewe ila nilipogundua hata hao mitume hawakuwa na dini na mi nikaachana na dini ila Mungu namwamini, nakutoa tongotongo tu mdogo wangu, ila kwa kifupi unakera kupost utumbo kwenye jukwaa la wanaojielewa kwanini usipost huko Facebook kwenye magroup ya mazombie wenzio
 
Safi. Waeleze na wengine habari hizi
Sasa wewe hiki unachokiona Leo ndo habari si tushakiona kitambo tukazama chimbo tukatambua ni propaganda tu za mashetani kuendelea kuwafumba macho mazombie,
Eti we ndo unaiona Leo afu unaandika kama habari ya maana kumbe ushuzi
 
Sasa wewe hiki unachokiona Leo ndo habari si tushakiona kitambo tukazama chimbo tukatambua ni propaganda tu za mashetani kuendelea kuwafumba macho mazombie,
Eti we ndo unaiona Leo afu unaandika kama habari ya maana kumbe ushuzi
Kumbe na wewe ni mmoja wa Wapinga Kristo. Sishangai, iliishatabiriwa mtatokea wengi nyakati hizi za mwisho. Mungu akusamehe bure.
1 Yoh 2:18-19
"...ni wakati wa mwisho; na kama vile mlivyosikia ya kwamba mpinga Kristo yuaja, hata sasa wapinga Kristo wengi wamekwisha kuwapo; kwa sababu hiyo tunajua kwamba ni wakati wa mwisho. Walitoka kwetu, lakini hawakuwa wa kwetu; maana kama wangekuwa wa kwetu, wangalikaa pamoja nasi; lakini walitoka ili wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu."
 
Duh we kweli ng'ombe kwanza unajua maana Christ, Christ sio Jesus ni title kama title zingine unamaanisha anointed one au enlightened, kanisa gani linaweza kukufanya anointed kanisa lipi Lina kufundisha enlightenment zaidi ya kuwakandamiza muwe vipofu mazombie msio na jicho la tatu ili mkamuliwe sadaka tu kwa kupewa illusional hope ya fake paradise.
Haya Mimi nnae kufungua akili na hao wanao kufunga nani mpinga kristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…