Una haki ya kumshukuru mgunduzi wa zana……HAPPY BIRTHDAY Arushaone…..!!!!!!

we leta mahari tule home kwetu zilishapokelewa nyingi sana,lakini bado tuko home tunakula bata muulize Mtambuzi akwambie wajinga wanavyoliwa kiulaini.

haaa Asnam kumbe hujanifaham uzuri mi ntaleta mahari yangi iliwe nikishakula kwanza nikashiba....naufaham mchezo vizuri sana
 
Last edited by a moderator:
Nikimuuliza mletamada, siamini atanitosheleza jibu, as long as mwenye shughuli upo hapahapa!
Ni hivi mwishoni mwa Sredi Mtambuzi amemaliza na neno "umekula chumvi"
Hapo ndiyo haswaa swaiba napopalenga!
Ni kweli A'moko unakulaga chumvi?
 
Last edited by a moderator:
Sifa na hongera nimpe shemeji yangu anaekutunza, na kuutendea haki "mkono wa elefanti" wako!
NOTA BENE : Mletamada Mwanza wing haina member wa3 !


Ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!

Tupo kibaaaaaaaaaooooooooooo!!!!!!!!!!!!!

Inaonekana Mtambuzi ni mbaguzieeeee!!!!

Halafu mbona mikoa mingine hajawaweka?
 
Last edited by a moderator:

Thank you very, very much Lisa, hakika nawapenda wote.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…