Una hali ngumu ya kipesa? Nakupa hii mbinu bure kabisa, kuanzia sasa usilale njaa tena

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana.
Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi?
Turudi kwenye mada.
Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa zingine).
Hata kama una buku, mia, hamsini au jero.
Jifunze kuongea na pesa . Ongea nayo kama mtumwa wako. Nimemaliza.
Swali?
 
Usitumie aina hii tena, inaleta matokeo hatarishi.
 
Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana.
Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi?
Turudi kwenye mada.
Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa zingine).
Hata kama una buku, mia, hamsini au jero.
Jifunze kuongea na pesa . Ongea nayo kama mtumwa wako. Nimemaliza.
Swali?
Hahaha hakyamama TOZO ni kiboko.
Mtageuka kuwa waganga mwaka huu🤣🤣🤣
 
Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana.
Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi?
Turudi kwenye mada.
Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa zingine).
Hata kama una buku, mia, hamsini au jero.
Jifunze kuongea na pesa . Ongea nayo kama mtumwa wako. Nimemaliza.
Swali?
Mh🤔🧐
 
Boat wangekua wanaingia gharama kuchapusha noti kweli?

Gwaji na sauti yake akiipiga sound msimbazi zinajaa hekalu lote hakuna pa kutema mate Wala kusogeza mguu.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Vijana wanapotea aiseee hali n ngm
 
Technically wataalam wa psychology hii kitu wanaita The Tozo Effect Disorder.
Syndrome ni money hallucination yaani kuona pesa inaongea au inakimbia.

Wahi hospital before it gets any worse.
 
images (1).jpeg

Duh kumbe hii ishu ni serious, nlkuwa nna Mmasai mmoja tuu hapa
 
Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana.
Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi?
Turudi kwenye mada.
Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa zingine).
Hata kama una buku, mia, hamsini au jero.
Jifunze kuongea na pesa . Ongea nayo kama mtumwa wako. Nimemaliza.
Swali?
😅😅😅😅jf jamani kha!!

Wanaotalii wengi ni watoto wa mafisadi

Pesa ya kuvuja jasho la chumvi hakuna anayefanyia hayo.

Nimekutana na watoto wakali kutoka somalia, sudani na Uganda.

Nilipofatilia kumbe wengi ni watoto wa mabalozi, ma kachero wa jeshi nchni mwao.

Nadhani unaelewa mabalozi wanapatikanaje😅😅
 
Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana.
Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi?
Turudi kwenye mada.
Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa zingine).
Hata kama una buku, mia, hamsini au jero.
Jifunze kuongea na pesa . Ongea nayo kama mtumwa wako. Nimemaliza.
Swali?
Eee bhana Mkuu , toa mchongo bhana .
 
Back
Top Bottom