Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe ndio unakurupuka mkuu, kusema kwamba hujafika siku nyingi Mwanza namaanisha Buzuruga si talk of town kwa Mwanza now, bali Rock City mall.Unajua we jamaa huwa unakurupukaga sana wakati mwingine. Sijafika Mwanza siku nyingi kivipi wakati jana tu ndo nimeondoka huko?
View attachment 368459
Hapo unapajua wewe?
View attachment 368460
Hapa je?
View attachment 368464
Wewe ndio unakurupuka mkuu, kusema kwamba hujafika siku nyingi Mwanza namaanisha Buzuruga si talk of town kwa Mwanza now, bali Rock City mall.
U got it!
Unajuwa hata JK ana exposure ya kutosha lakini alikwenda kushangaa daraja la kigamboni.Basi jifunze namna ya kujieleza. Halafu hivi unadhani mi naweza kwenda kushangaa shangaa hicho ki mall? Acha hizo wewe....
Take that.....
View attachment 368470
Unajuwa hata JK ana exposure ya kutosha lakini alikwenda kushangaa daraja la kigamboni.
Hata wewe hakuna dhambi kuingia Rock City mall unaweza kukuta kuna branch ya Chipotle ukapata Burito safi!
asiee aliyeshikilia sprite anaoneka ile kitu inayomesa mwenzake inakamua kama mkamuzi wa maziwa ya ng'ombe hatari anavyoshilia chuchuComrade nshafanya booking ya hawa wachuchu kwenye ile party yetu
Chagua mwenyewe hapo kati ya Heaven on Earth na Heaven Sent
Hahahaha supu ya kuku wa kienyeji ni tamu sanaaaaasiee aliyeshikilia sprite anaoneka ile kitu inayomesa mwenzake inakamua kama mkamuzi wa maziwa ya ng'ombe hatari anavyoshilia chuchu
Rudisha avatar yako ya mwanzoni tafadhali.
Aidha uirudishe ile ya mwanzo au itafute nyingine.Hujaipenda hiyo mpya?
Ndio umeweka picha yangu ee,hebu weka na zile tukiwa bagamoyoHujaipenda hiyo mpya?
Hata mi sijaipenda,halaf mshahara wangu wa mwezi huu hujanilipa,nimefua mno ngui zako na kukupikia unipandishie mshaharaHujaipenda hiyo mpya?
Sio Malaika?