Una hamu ya kumjua Dinazarde? Huyu hapa.

Una hamu ya kumjua Dinazarde? Huyu hapa.

Wewe ndio unakurupuka mkuu, kusema kwamba hujafika siku nyingi Mwanza namaanisha Buzuruga si talk of town kwa Mwanza now, bali Rock City mall.

U got it!

Basi jifunze namna ya kujieleza. Halafu hivi unadhani mi naweza kwenda kushangaa shangaa hicho ki mall? Acha hizo wewe....

Take that.....

20160711_225644.jpg
 
Basi jifunze namna ya kujieleza. Halafu hivi unadhani mi naweza kwenda kushangaa shangaa hicho ki mall? Acha hizo wewe....

Take that.....

View attachment 368470
Unajuwa hata JK ana exposure ya kutosha lakini alikwenda kushangaa daraja la kigamboni.

Hata wewe hakuna dhambi kuingia Rock City mall unaweza kukuta kuna branch ya Chipotle ukapata Burito safi!
 
Unajuwa hata JK ana exposure ya kutosha lakini alikwenda kushangaa daraja la kigamboni.

Hata wewe hakuna dhambi kuingia Rock City mall unaweza kukuta kuna branch ya Chipotle ukapata Burito safi!

Chipotle sio...hahaaaa. kuna chimbo moja hivi pale kwenye gorofa ambapo High Spirit ipo....lipo kwa chini pale. Jina limenitoka kidogo. Wao menu yao ni Mexican inspired.....kuna siku nilipiga burrito bowl ya steak, sour cream, na guacamole....ilikuwa bomba sana.
 
Mi nilikapenda kwenye ule wimbo wakati wa kampeni wa ccm no. 1 wapinzani tupa kule. Kalilegea vizuri !!
 
asiee aliyeshikilia sprite anaoneka ile kitu inayomesa mwenzake inakamua kama mkamuzi wa maziwa ya ng'ombe hatari anavyoshilia chuchu
Hahahaha supu ya kuku wa kienyeji ni tamu sanaaaa
 
Back
Top Bottom