Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe ndio unakurupuka mkuu, kusema kwamba hujafika siku nyingi Mwanza namaanisha Buzuruga si talk of town kwa Mwanza now, bali Rock City mall.Unajua we jamaa huwa unakurupukaga sana wakati mwingine. Sijafika Mwanza siku nyingi kivipi wakati jana tu ndo nimeondoka huko?
View attachment 368459
Hapo unapajua wewe?
View attachment 368460
Hapa je?
View attachment 368464
U got it!