Una lipi la kumshauri huyu Mke wa mtu?

Una lipi la kumshauri huyu Mke wa mtu?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
20240528_182341.jpg
 
Hapo jambo la msingi kabisa ni kuchukua maamuzi magumu ya kwenda kwa X wake maana ndiye bora kuliko mumewe. Hapo ndoa ishaingia kirusi na asijesababisha jamaa akaenda jela maisha bure
Kuna Muhuni alitoa Code humu kwamba Mwanamke ukimuoa SIO kwamba ndio amekupenda wewe Ila kimbelembele chako cha kutaka kumuoa ukamuoa kumbe yeye anampenda X wake anaejua kumkojolesha mpaka anarusha Mimaji
 
Daaah hii Hatari.
Anyway acha nimjibu, Swali alilouliza halina busara. Ila kibinadamu namsamehe.
Namna alivyouliza swali inaonesha tayari ana amajibu yake ambayo ni;
1. Anataka kutoa mimba
2. Ikiwa Atazaa basi ambambikizie mwenza wake.

Ukiyatafakari haya unaweza mpuuza na ukaona bado upeo wake ni mdogo.
Ni vyema angeomba ushauri namna anavyoweza kukabiliana na Tatizo hilo. Ila sio kutuomba tumshauri atende moja kati ya maovu hayo mawili.

Mwambie ushauri anaouhitaji sio wenye HEKIMA. Ikiwa anahitaji ushauri sahihi na unaofaa basi arudi tena ninamkaribisha🤝
 
Ukitoa atajua tu na ukizaa atakuja kujua tu akijua jiandae kwa lolote maana hasira za watu wapole tunazijua usiwe na wasi ngoja aje akufanye hamna atakapo rudi kutoka safarini
 
Kuna Muhuni alitoa Code humu kwamba Mwanamke ukimuoa SIO kwamba ndio amekupenda wewe Ila kimbelembele chako cha kutaka kumuoa ukamuoa kumbe yeye anampenda X wake anaejua kumkojolesha mpaka anarusha Mimaji
Yule mwamba nilimwelewa sana japo sikupenda lugha yake ngumungumu😀. Hawezi Kunambia mimi nina kimbelembele aise nilimmaindi sana japo ukweli ndio huo. Mwanamke anapagawa ukimwambia ugamuoa na anaona wewe ni lulu kwa ndoa tu na sio Upendo.
Unaweza kumuoa akiwa pembezoni na siku akaenda mjini akakutana na 'solumeti' wake ukajikuta unafungwa maisha.
 
Back
Top Bottom