Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuta mwanaume unajisifia umeoa mwanamke anayekupenda na kukuheshimu.
Kuna Muhuni alitoa Code humu kwamba Mwanamke ukimuoa SIO kwamba ndio amekupenda wewe Ila kimbelembele chako cha kutaka kumuoa ukamuoa kumbe yeye anampenda X wake anaejua kumkojolesha mpaka anarusha MimajiHapo jambo la msingi kabisa ni kuchukua maamuzi magumu ya kwenda kwa X wake maana ndiye bora kuliko mumewe. Hapo ndoa ishaingia kirusi na asijesababisha jamaa akaenda jela maisha bure
Yule mwamba nilimwelewa sana japo sikupenda lugha yake ngumungumu😀. Hawezi Kunambia mimi nina kimbelembele aise nilimmaindi sana japo ukweli ndio huo. Mwanamke anapagawa ukimwambia ugamuoa na anaona wewe ni lulu kwa ndoa tu na sio Upendo.Kuna Muhuni alitoa Code humu kwamba Mwanamke ukimuoa SIO kwamba ndio amekupenda wewe Ila kimbelembele chako cha kutaka kumuoa ukamuoa kumbe yeye anampenda X wake anaejua kumkojolesha mpaka anarusha Mimaji
Ipo hivi na haipingikiNi rahisi Mwanaume kumuacha milele ex wake.
Hii ni tofauti sana kwa mwanamke, muda wowote ex akitaka sex anampa bila tatizo kabisa.
Madhara ya kuogozwa na K hadi Mke anakudahrau anaweza kufanya lolote analotaka.
😂😂😂 Jinga thana!Huu uzi utasomwa kwa uchungu, uchungu kuliko teke la pmbu.....
Wanawake wote wanyongwe.