Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Alipokuwa Simba kwa kucheza 90+ ndipo na Coach Avram Grant wa Timu ya Taifa ya Zambia akaanza kumuita. Sasa kwa hizo dakika 10 anazopangwa na Yanga, asitegemee kamwe kuitwa timu ya Taifa ya Zambia. Huyu amekuwa mstaafu tayariBabu Chama kaponzwa na tamaa ya pesa. Apelekwe kwa mkopo mashujaa fc aimarishe kiwango chake au arudi Lusaka akalee vijukuu.
Ngoma naye kwa simba hii ya vijana hawezi pata namba. Akubali kuilipa simba pesa ya kuvunja mkataba akatafute changamoto nyingine