Una makundi mangapi ya WhatsApp?

Una makundi mangapi ya WhatsApp?

Group mbili. Zote za Liverpool FC moja la bongo moja International. Huwa sichangii sana naweza kutuma ujumbe mmoja au mbili kwa mwezi.

Zote ziko muted 🔇 so kujua kinachoendelea mpaka niingie mwenyewe.

Napata vp lnk mkuu #YNWA
 
ninayo mengi ila 80% yanahusu biashara ndogondogo, electronics, spare za magari nk
 
...jaman naomba mwenye links za groups za journalists and technology issues and ujasiriamali aweke link tiend plse
 
Msalimie sana ndugu yangu Kaizer

Mwambie vizuri mtu hula na nduguye

Shemeji kula.
Kaizer nadhani ni jini 👿
Tulipanga na Baba V tuonane nae pale Malaika 🧚‍♀️ Pub kunywa 🍺🍻🥂🍷🥃
Kwani tulimuona sasa....sijui anaogopa popobawa.
Ila huyu mwanafunzi wangu huwa ana adabu sana....nadhani analea sasa
 
Huwezi jua/ labda kampa mke wa watu mimba,.

Waweza kuta anatafutwa kama mimi nilivyokuwa natafutwa kipindi kile (Unakumbuka?)

Sasa hapo mwanaume lazima uingie chemba kidogo kusubiri upepo upite

BTW, baada ya kugida na huyo malaya mzinzi Baba V mliagana salama au alikurudisha mpaka chumbani kwako?
 
Hahahhaa
Yaani huwezi amini, alinirudisha mpaka chumbani na akanifunika shuka kisha yeye akaondoka salama bila kudhurika kimwili...ila jamani baridi sana nasikia
 
Back
Top Bottom