Una maoni gani kuhusu staili ya kuendesha Bajaji mguu mmoja juu inayofanywa na madereva wa Chuga?

Una maoni gani kuhusu staili ya kuendesha Bajaji mguu mmoja juu inayofanywa na madereva wa Chuga?

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Askari usalama barabarani wanajitahidi sana kutoa elimu ya Usalama barabarani lakini mara nyingi kama haizingatiwi na wanaonekana kama wanapiga kelele ni vyema hatua zikachukuliwa kuhusu vitendo hivi hii ni maeneo ya barabara ya Ngulelo kuna uendeshaji wa bajaji kunyanyua mguu mmoja na kutembea na tairi mbili hii inahatarisha usalama barabarani ni na Arusha ajali haziwezi kuisha kama hatua kali zaidi hazitachukuliwa kila siku utasikia wananchi wanaziba barabara na kufunga na mawe wakitaka bamsi kumbe kuna madereva wazembe kama hawa wanaoharibia sifa za madreva wanaoheshimu sheria za barabarani.

Chanzo Kusaga TV:
 
Arusha kuna upumbavu mwingi sana linapokuwa suala la vyombo vya moto.
 
Back
Top Bottom