MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
And hawana hela plus mapenzi hawajui kimoja tu chali kwakua wanashindia chips na energy na hawajui jinsi ya kutafuta helaHao wanafunzi wa chuo na watoto wa 2005 wanaenda night club kuvizia wanjomba wa 30+ maana nyie wa bellow 30 mnaonekana wa hovyo tu
Hivi unaelewa hata maana ya hiyo Life begins at 40 au ndio mmeitafutia maana yenu ili mjifariji, hiyo inamaanisha huo ni umri wa kula matunda ya mapambano uliyoyafanya ukiwa kijana na siyo eti ukifika huo umri ndio uanze kujitafuta, huko kwa wenzetu mtoto wa miaka 16 analilia kuondoka kwa wazazi wake kuanza maisha yake ila huku kwetu jitu la miaka 30 linawaza uchawa na kutaka pesa za bure bure tuNi dunia nzima tena afrika tuna unafuu huko dunia ya kwanza wanakwambia kabisa life begins at 40
Wenye akili kama wewe mtaleta hayo maendeleo wengine acha waishi maisha Yao au mmechoka😂😂😂kuona mnapiga kazi kindaki ndaki na wengine kwenye life wanatelezaHivi unaelewa hata maana ya hiyo Life begins at 40 au ndio mmeitafutia maana yenu ili mjifariji, hiyo inamaanisha huo ni umri wa kula matunda ya mapambano uliyoyafanya ukiwa kijana na siyo eti ukifika huo umri ndio uanze kujitafuta, huko kwa wenzetu mtoto wa miaka 16 analilia kuondoka kwa wazazi wake kuanza maisha yake ila huku kwetu jitu la miaka 30 linawaza uchawa na kutaka pesa za bure bure tu
😁 😁 😁 Halafu kibaya zaidi anakikosea,, jamaa huwa anasema "humanity is a work,, yeye anasema" human is a work "🙌🏽 🙌🏽 🙌🏽 🙌🏽human is a work, hebu na wewe buni kibwagizo chako, umeiga cha member mmoja humu ndani
Nimekutafuta sana mwasibu kumbe upo, ulipotelea mitaa gani?Hujioni fala kupangia watu maisha? Stop being primitive
Mjomba hapa tunaongelea watu wazima ambao hawako serious na maisha watu wanaojielewa wamechoka kuombwaombwa hela, tena na mijitu mizima yenye akili timamu na viungo vyote vya mwili kwa kisingizio cha maisha ni kusaidiana eti leo kwangu kesho kwako, mwisho wa siku mtu anajikuta kila siku yeye ndio anatoa huku akiisubiri hiyo 'kesho' ambayo naye atapewa..anyway we endelea kuteleza mkuu angalia tu na wewe siku usije kutelezewa!!Wenye akili kama wewe mtaleta hayo maendeleo wengine acha waishi maisha Yao au mmechoka😂😂😂kuona mnapiga kazi kindaki ndaki na wengine kwenye life wanateleza
Najua mnanitafutia nini. Hamtaki kuniona nina furaha 😀😀😀Nimekutafuta sana mwasibu kumbe upo, ulipotelea mitaa gani?
Najua mnanitafutia nini. Hamtaki kuniona nina furaha
Sijui kwanini nikiona mwanaume anaandika UWIII nashtuka!? Anyways, asante kwa mchango wako.HAOO 30 + NDIO TUNALILIWA CLUB HATUNA UBAHILI NYIE MNATOA 10000 MNATAKA NA CDM BUREE UWIII
Jamii zote, mataifa yote, rika zote, watu wa jamii hiyo huwa wapo tu, hata nchi zilizoendelea sana hawawezi kukosekana. Acha watu waishi maisha yao kama hayakubughudhi. Kama pesa huombwi wewe, acha maisha yaendelee. Ujinga ni kumpangia mtu mzima maisha yake! Let them live. 100 years to come nobody will remember you ever existed.Mjomba hapa tunaongelea watu wazima ambao hawako serious na maisha watu wanaojielewa wamechoka kuombwaombwa hela, tena na mijitu mizima yenye akili timamu na viungo vyote vya mwili kwa kisingizio cha maisha ni kusaidiana eti leo kwangu kesho kwako, mwisho wa siku mtu anajikuta kila siku yeye ndio anatoa huku akiisubiri hiyo 'kesho' ambayo naye atapewa..anyway we endelea kuteleza mkuu angalia tu na wewe siku usije kutelezewa!!
Duh mara umeshawaza masuala ya kutelezewa kwa Nini akili Yako imekutuma huko haraka au Kuna namna umewahi philwa udogoni!?anyway pole blood ni lifeMjomba hapa tunaongelea watu wazima ambao hawako serious na maisha watu wanaojielewa wamechoka kuombwaombwa hela, tena na mijitu mizima yenye akili timamu na viungo vyote vya mwili kwa kisingizio cha maisha ni kusaidiana eti leo kwangu kesho kwako, mwisho wa siku mtu anajikuta kila siku yeye ndio anatoa huku akiisubiri hiyo 'kesho' ambayo naye atapewa..anyway we endelea kuteleza mkuu angalia tu na wewe si
ku usije kutelezewa!!