Ndio ma-sponsor wetu hao.....muwavumilie tu.Unakuta zee Zima , nyama zimeanza kuachana na mifupa, nywele zimeota mvi ila amepaka rangi kuzificha , limevaa eti kaptula lipo huko club linaruka ruka
Hayo ndio ma vector wa ukimwi. Yanazoa sehemu mbalimbali yanawasambazia kwa kuwa yananhela na ninyi mnadhiki mnauza K hamkatai. Yameos wake wazuri kwa harusi za kifahari ,yameacha watoto wazuri nyumbani vinasoma english medium. Vinamwita dad kumbe ni li firauni. Likianza kuugua linasimgizia magonjwa ya kisukari na pressure kumbe ni NGOMANdio ma-sponsor wetu hao.....muwavumilie tu.
Khaaa asa hao si wajukuu zako kabisaaa?Mimi nina miaka 60 na Club nakwenda na totoz born 2000 naruka nazo kama kawa
Huyu wa 30+ si bado analelewa home huyu?😁😁😁Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Acha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda snlana night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wa kufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu.
Nani anauza K?Hayo ndio ma vector wa ukimwi. Yanazoa sehemu mbalimbali yanawasambazia kwa kuwa yananhela na ninyi mnadhiki mnauza K hamkatai. Yameos wake wazuri kwa harusi za kifahari ,yameacha watoto wazuri nyumbani vinasoma english medium. Vinamwita dad kumbe ni li firauni. Likianza kuugua linasimgizia magonjwa ya kisukari na pressure kumbe ni NGOMA
Ni huyo anayetoa kwayo nyumbani, kwenda club Hana kitu anatarajia kuhudumiwa na so called mdhaminiNani anauza K?
Okay hapo sasa nimekuelewa.Ni huyo anayetoa kwayo nyumbani, kwenda club Hana kitu anatarajia kuhudumiwa na so called mdhamini
Tuanataka vitu vitamu tuongeze sikuKhaaa asa hao si wajukuu zako kabisaaa?
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Acha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda snlana night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wa kufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu.
Yani watu wanajianika humo mitandaoni kutwa tunakutana na mapost yao ya kipuuzi na wengine ni wale waliotuzunguka kutwa tunaziona tabia zao, halafu useme eti tunafuatilia maisha yao kwani wao ni kina nani hadi tuwafuatilie, narudia wewe ndio una hizo hisia mimi nilikujibu kulingana na kauli yako hayo mengine ni mawazo yako tu stop projecting your behaviours on meHakuna kiswahili Cha kawaida master punguza hisia za kuphilwa kwanza kwa namna unafatilia maisha ya wengine inaonesha unashida madame
Mind your own business and those who concern you hao walio club Wana maisha Yao acha kupigia watu kelele jifunze hili litakusaidia shughulika na maisha Yako na wale wanaokuhusuYani watu wanajianika humo mitandaoni kutwa tunakutana na mapost yao ya kipuuzi na wengine ni wale waliotuzunguka kutwa tunaziona tabia zao, halafu useme eti tunafuatilia maisha yao kwani wao ni kina nani hadi tuwafuatilie, narudia wewe ndio una hizo hisia mimi nilikujibu kulingana na kauli yako hayo mengine ni mawazo yako tu stop projecting your behaviours on me
Anza kuwaambia wale wanaotukana wanawakeMind your own business and those who concern you hao walio club Wana maisha Yao acha kupigia watu kelele jifunze hili litakusaidia shughulika na maisha Yako na wale wanaokuhusu
Sahihi kabisa na wengi ndio hivyoOkay hapo sasa nimekuelewa.
Ndo mwisho anakutana na zee limejichokea na virus, anakwenda na maji
Only weak man abuse womenAnza kuwaambia wale wanaotukana wanawake
Masikitiko kwa kweli...Sahihi kabisa na wengi ndio hivyo
Kwani Maisha ya mtu ya a validity? 😂😂😂Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Acha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko
Kama unapenda sana night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu.
Hahaha, shangazi mbadi, ko uli mwangalia mlinzi Hadi aka tamani kukimbia😁🤣Kwahiyo mnataka twende Sikinde na Msondo ngoma?
Nilienda club 84 Dodoma, mlinzi akaniamkia pale mlangoni....nilimkata jicho hilo, atahadithia.
Anyway, acha tule raha.
Tunatafutwa sana mashangazi sisi na vijana akina Intelligent businessman ujue.