Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
- Thread starter
- #21
Vits lowest price ni 3.5mil mkuuNitafutie vits ya cc 1290 ya bei ya kimaskini kama hii ili nikupe mzigo faster. Uko kwenye mfuko wa shati. Ila tu isiwe na mirangi rangi kama hii!
ila kwa vile wewe ni rafikiangu wa muda mrefu hapa jf na unapenda gari manual hebu chukua hii Ford XLT
Bei nakufanyia ya kinyumbani kabisa mura
7mil