Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
- Thread starter
-
- #21
Vits lowest price ni 3.5mil mkuuNitafutie vits ya cc 1290 ya bei ya kimaskini kama hii ili nikupe mzigo faster. Uko kwenye mfuko wa shati. Ila tu isiwe na mirangi rangi kama hii!
Dah! Mnyama huyu. Bahati mbaya kwa sasa nataka kagari kadogo tu ka misele. Ningechukua aisee huu mchuma, ili nikawatambishie marafiki zangu akina Sheghomea na Shekidee kule milimani!Vits lowest price ni 3.5mil mkuu
ila kwa vile wewe ni rafikiangu wa muda mrefu hapa jf na unapenda gari manual hebu chukua hii Ford XLT
Bei nakufanyia ya kinyumbani kabisa mura
7mil
View attachment 1955648View attachment 1955649View attachment 1955650View attachment 1955651
Pamoja andaa 3.5 mil Dollars of Tanzania nakuletea Vits yenyewe uafadhaliDah! Mnyama huyu. Bahati mbaya kwa sasa nataka kagari kadogo tu ka misele. Ningechukua aisee huu mchuma, ili nikawatambishie marafiki zangu akina Sheghomea na Shekidee kule milimani!
Vitz hii hapa mkuuDah! Mnyama huyu. Bahati mbaya kwa sasa nataka kagari kadogo tu ka misele. Ningechukua aisee huu mchuma, ili nikawatambishie marafiki zangu akina Sheghomea na Shekidee kule milimani!
Dah! Shinyanga mbali mkuu. Ingekua Dar, Tanga, Dodoma,nk. Ingekua ni rahisi kwangu kuja kuicheki. Ngoja tuwaachie wadau wa jirani waipambanie kwanza.Vitz hii hapa mkuu
namba D.
Vits nzima kabisa ipo shinyanga namba haijaguswa engine bei 3.8mil
View attachment 1956526View attachment 1956527View attachment 1956528
Nikuchekie iliyoko Dar? naona nyingi zinaanzia 4.5mil, tena namba C.Dah! Shinyanga mbali mkuu. Ingekua Dar, Tanga, Dodoma,nk. Ingekua ni rahisi kwangu kuja kuicheki. Ngoja tuwaachie wadau wa jirani waipambanie kwanza.
Ila nakupongeza kwa jitihada zako.
Hapana mkuu! 4.5 ni nyingi sana usawa huu. Kuna dalali mwingine anaendelea kumtongoza jamaa fulani hivi huko Dar. Ana vits manual. Bado tunavutana kwenye bei. Kaanzia m 3.5, na mimi nataka nilipe 2.5 au 3! Usajili wa B.Nikuchekie iliyoko Dar? naona nyingi zinaanzia 4.5mil, tena namba C.
The price isnt friendly.
Ohoo ngoja niongeze bidii.Hapana mkuu! 4.5 ni nyingi sana usawa huu. Kuna dalali mwingine anaendelea kumtongoza jamaa fulani hivi huko Dar. Ana vits manual. Bado tunavutana kwenye bei. Kaanzia m 3.5, na mimi nataka nilipe 2.5 au 3! Usajili wa B.
Ninazo gari mpaka za milioni 1.5 mkuuAisee mkuu, bei zako ni mtu mwenyewe ashindwe kutembea huku amekaa, ngoja nijichange....sijui ni nini ila nilikuwa nauruka huu uzi nilivyoona baloon inauzwa mawazo yangu yote ilikuja hii kitu๐View attachment 1956551
๐๐ฎ๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ซ๐ ๐๐ก๐๐๐ก๐ ๐ฌ๐๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ณ๐ข๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ข๐ฅ๐ ๐ณ๐ข๐ฉ๐จ ๐ง๐ ๐ณ๐ข๐ญ๐๐ก๐ข๐ญ๐๐ฃ๐ข ๐ฆ๐๐ซ๐๐ค๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐Tuma gari za 1.5M tuzione
Mkuu hatimaye nimepata vitz ya 3mil.Hapana mkuu! 4.5 ni nyingi sana usawa huu. Kuna dalali mwingine anaendelea kumtongoza jamaa fulani hivi huko Dar. Ana vits manual. Bado tunavutana kwenye bei. Kaanzia m 3.5, na mimi nataka nilipe 2.5 au 3! Usajili wa B.
Dah, mzee bei zako sawa na bure.
Sawa mkurugenzi,nitakutafuta. Ingawa sitajitambulisha kwako kama mimi ndiye Mtemi namba 2 nchini, na Chifu pekee wa Wasambaa aliye hai.Mkuu hatimaye nimepata vitz ya 3mil.
ipo ilala
Naomba tuwasiliane tafadhaliView attachment 1957698View attachment 1957699View attachment 1957700
๐ ๐ ๐ ๐ Chifu bana!Sawa mkurugenzi,nitakutafuta. Ingawa sitajitambulisha kwako kama mimi ndiye Mtemi namba 2 nchini, na Chifu pekee wa Wasambaa aliye hai.
Heee bei imeshuka tena??mwenye 1.8 aje nimwachie gari