Car4Sale Una milioni 2 hapo na unataka usafiri uingie Downtown? chukua hii Balloon

Heee bei imeshuka tena??

Au ndo tajiri kalewa ? Reasonable sana asee !
Gari zipo za bei ndogo sana.
marekebisho kidogo tu ambayo ni less than dola 100.

hii hapa inatoka kwa milioni moja na nusu
 
Haha na totoz kama zote
Mimi mpaka leo huwa ninajiuliza sana kwanini wanawake wako addicted kwenye mandinga sana?? Yaani park tu pembeni mwite aje...hamna anayechomoa...sijui kuna nguvu gani ya uvutano kati ya womens and cars
 
It has alot to do with poverty, gari inaonekana kama alama ya mafanikio, na wanawake wengi wanapenda ready made,
We egemea tu hata V8 la STL , alafu ita demu unayemtaka ukikataliwa, kaoge maji ya pwani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…