Una mshahara wa laki nane, kwanini uchukue mkopo na kuanza kukatwa karibu laki nne?

Benki zipo kwa ajili ya kuwafilisi watumishi.
Labda ukope utie kwenye ardhi eneo linalolipa
Basi Watumishi wamekuelewa, sasa unataka sisi wenye taasisi za fedha tule wapi ilihali kuna maafisa mikopo tumewaajiri na kuwawekea malengo walete Wateja ili tuendeshe biashara Chifu [emoji848][emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa utaajua kwann wanakopa , Kama serikali inAkopa wao ni wajinga

Nazn mada yako ingelenga kueleimisha zaid kuhusu matumiz sahihi ya mkopo kwa namna nyingne.
 
Mkuu jiongezee maarifa, UTT ni asilimia 12+ kwenye liquid fund. Bank wanaokupa mpaka asilimia 11 ni wale ambao usipokaa vizuri wanaweza kufa muda wowote.

Watu wachache sana walioajiriwa wakikopa wanafanya kitu cha maana.
Kitu cha maana kwako au kwao?
 
Wee The Evil Genius unaongea kinyume chake. Wengine tuna ukwasi huko tangu miaka 7 iliyopita. Hatuna stress na kustaafu. Tunapata 14% kwa mwaka. Ila benki ndiyo michosho. Wenyewe wanatoa 5% tu.
Aksee kumbe ukiweka milion mia mwisho wa mwaka faida million 14. Sii mchezo. Nipe ujanja ndugu yangu
 
Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano.

Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha maana mnafanya na matokeo yake mnasumbua watu kwa kuombaomba na mnapoteza ufanisi kazini.

Unachangia mabenki asilimia 16 kwa mwaka ambayo ni asilimia 80 ya pesa yako unayoipata kwa shida katika miaka mitano. Benki zinanufaika kwa ujinga wa watu wengi.

Kwanini wewe usihifadhi hata UTT shilingi laki 3 kwa mwezi? Kwa mwaka utakuwa na 3.6m na miaka mitano itakuwa 18m, tena hapo bila kuweka faida yake.
Wewe utakuwa ni mjinga sana,Mkopo unachukua Ili ufanye mambo ya msingi Kwa haraka na Kwa mara Moja badala ya kudunduliza .

Utadunduliza hiyo mil.10 Kwa mda gani? Wewe unaona Kuna shida gani hapo.ikiwa.unakatwa kwa.mda mrefu?
 
Kama sio dharura ni bora uweke standing order kwa miaka utakayo ifike vuta pesa zako fanya lako.
 
Wewe utakuwa ni mjinga sana,Mkopo unachukua Ili ufanye mambo ya msingi Kwa haraka na Kwa mara Moja badala ya kudunduliza .

Utadunduliza hiyo mil.10 Kwa mda gani? Wewe unaona Kuna shida gani hapo.ikiwa.unakatwa kwa.mda mrefu?
Wewe umeajiriwa lumumba unalipwa buku 7 ndio una akili? Watu wengi walioajiriwa wanaumia sana kwa hii mikopo wanachukua na kupoteza hizo pesa. Matokeo yake wanachukia kazi, wanapoteza ufanisi, kuwa wezi na hata kusumbua watu wawasaidie.

Mtu yeyote asiyeweza kudunduliza akafikisha kiasi fulani cha pesa bila kukitumia hawezi kufanikiwa hata apewe milioni 100. Pesa ina kanuni zake ndio maana masikini ni wengi.
 
Noted

Wakienda Job Wanasonya
 
Walikwambia lini wanaoteseka? Wangekuwa wanakopa?
 
Back
Top Bottom