pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Asilimia 99.9 tunakopa kwa ajili ya kujenga nyumba na kununua gari.Hakuna kitu kama hicho, nimefanya sana consultancies kwenye mabenki.
Hivi unafahamu UTT ni kitu gani? Unajua kwamba ipo chini ya wizara ya fedha?
Waajiriwa wengi hawana financial literary. Wanaishia kupoteza hizo pesa.
Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi au Hasira za mkizi furaha kwa mvuvi [emoji4]Uzi mzuri,yani jamaa wanavyozidi kupambana sie wengine tusiojua tunajifunza,endeleeni tu...
Ndo hasara yenyewe angalau nyumba utapata makaziAsilimia 99.9 tunakopa kwa ajili ya kujenga nyumba na kununua gari.
Basi Watumishi wamekuelewa, sasa unataka sisi wenye taasisi za fedha tule wapi ilihali kuna maafisa mikopo tumewaajiri na kuwawekea malengo walete Wateja ili tuendeshe biashara Chifu [emoji848][emoji38]Benki zipo kwa ajili ya kuwafilisi watumishi.
Labda ukope utie kwenye ardhi eneo linalolipa
Hata gari ni muhimu kwa kwa maisha ya sasaNdo hasara yenyewe angalau nyumba utapata makazi
Kitu cha maana kwako au kwao?Mkuu jiongezee maarifa, UTT ni asilimia 12+ kwenye liquid fund. Bank wanaokupa mpaka asilimia 11 ni wale ambao usipokaa vizuri wanaweza kufa muda wowote.
Watu wachache sana walioajiriwa wakikopa wanafanya kitu cha maana.
Aksee kumbe ukiweka milion mia mwisho wa mwaka faida million 14. Sii mchezo. Nipe ujanja ndugu yanguWee The Evil Genius unaongea kinyume chake. Wengine tuna ukwasi huko tangu miaka 7 iliyopita. Hatuna stress na kustaafu. Tunapata 14% kwa mwaka. Ila benki ndiyo michosho. Wenyewe wanatoa 5% tu.
Wewe utakuwa ni mjinga sana,Mkopo unachukua Ili ufanye mambo ya msingi Kwa haraka na Kwa mara Moja badala ya kudunduliza .Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano.
Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha maana mnafanya na matokeo yake mnasumbua watu kwa kuombaomba na mnapoteza ufanisi kazini.
Unachangia mabenki asilimia 16 kwa mwaka ambayo ni asilimia 80 ya pesa yako unayoipata kwa shida katika miaka mitano. Benki zinanufaika kwa ujinga wa watu wengi.
Kwanini wewe usihifadhi hata UTT shilingi laki 3 kwa mwezi? Kwa mwaka utakuwa na 3.6m na miaka mitano itakuwa 18m, tena hapo bila kuweka faida yake.
Na dhiki upyaπππUnaanza mkopo upya
Siyo vizuri ivoBila ubahili hakuna utajiri π huoni Mo hawapi simba hela zao?
Wewe umeajiriwa lumumba unalipwa buku 7 ndio una akili? Watu wengi walioajiriwa wanaumia sana kwa hii mikopo wanachukua na kupoteza hizo pesa. Matokeo yake wanachukia kazi, wanapoteza ufanisi, kuwa wezi na hata kusumbua watu wawasaidie.Wewe utakuwa ni mjinga sana,Mkopo unachukua Ili ufanye mambo ya msingi Kwa haraka na Kwa mara Moja badala ya kudunduliza .
Utadunduliza hiyo mil.10 Kwa mda gani? Wewe unaona Kuna shida gani hapo.ikiwa.unakatwa kwa.mda mrefu?
π ππ€£ππVile wanakopesheka
Ameitunza Na Hasumbuliwi Na BanksMkuu umenichekesha
300,000x12=3,600,000
Hiyo sio faida, ni hela yako umeitunza kwa miezi 12
NotedWewe umeajiriwa lumumba unalipwa buku 7 ndio una akili? Watu wengi walioajiriwa wanaumia sana kwa hii mikopo wanachukua na kupoteza hizo pesa. Matokeo yake wanachukia kazi, wanapoteza ufanisi, kuwa wezi na hata kusumbua watu wawasaidie.
Mtu yeyote asiyeweza kudunduliza akafikisha kiasi fulani cha pesa bila kukitumia hawezi kufanikiwa hata apewe milioni 100. Pesa ina kanuni zake ndio maana masikini ni wengi.
Walikwambia lini wanaoteseka? Wangekuwa wanakopa?Wewe umeajiriwa lumumba unalipwa buku 7 ndio una akili? Watu wengi walioajiriwa wanaumia sana kwa hii mikopo wanachukua na kupoteza hizo pesa. Matokeo yake wanachukia kazi, wanapoteza ufanisi, kuwa wezi na hata kusumbua watu wawasaidie.
Mtu yeyote asiyeweza kudunduliza akafikisha kiasi fulani cha pesa bila kukitumia hawezi kufanikiwa hata apewe milioni 100. Pesa ina kanuni zake ndio maana masikini ni wengi.
ππ π€£πππIpo Kwenye IlaniWalikwambia lini wanaoteseka? Wangekuwa wanakopa?