Una mtaji ila hauna pesa ya kodi ya fremu? Zijue biashara zisizohitaji fremu

Nzuri hii.....
Kama unaogopa hasara...
Baki na hela zako....
Hakika na hawahitajiki kwenye biashara hao watu

wabaki tu wasubiri mishahara yao iwekwe mwsho wa mwezi.
 
Mkuu niliwaza kama wewe yaani.
Kwa kuongezea tena ile biashara ya kuuza umeme kwa raia pia hairuhusiwi ukikamatwa unapewa kesi ya uhujumu uchumi maana umeiingilia kazi ya Tanesco labda uwe na vibali maalum na kuvipata hivyo vibali sio mchezo inakubidi uache kazi ufanye kazi.
 
Story yako inanikumbusha miaka ya Chuo; Ndani ya paper ya accounting jamaa kajiandaa kwa kukaa nyuma ya mtaalam wa kufunga makabati chap, 1 hr mdada kamaliza then jamaa akaanza kumuomba booklet acopy. Msimamiz anapitapita huku na kule

Manzi: "Naogopaa nitakamatwa ntadisco"😧
Jamaa: "Aaarghaaah tulia USIOGOPEEE sawa eeh...Haya lilete(Booklet) sasa."🤗

(Ukiona alivyokuwa anampa assurance yule mdada utadhani wasimamizi kawaweka mfukoni😂😂 na ukifikiria in reality mwenye pressure zaidi ya kuSup au kudisco ni yeye😂

Nakuunga mkono, Vitani kujiamini kama huyu jamaa(Ile paper kapiga B+ na sasa hivi Mhasibu Msomi😆)
 
Kama mtu alifanyia kazi huu uzi kwa mtaji wa ngama yuko mbali.
 
mkuu controla.. hyo ya gesi nikianza na milioni tatu inatosha?.. hebu nisaidie mchanganuo vizur, hapo bila kuweka gharama ya fremu
 
Mtu kama wewe ni vigumu sana kufanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…