Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha hamkosekanagiMambo sio rahisi kihivyo mkuu
Ikiripuka hapo homeHiyo ya mitungi ya gesi kuna jamaa anaifanyia home kwao....jamaa ana mpk kile kihonda kidogo anasambazia wateja.....in the future namtabiria makubwa
u have made a good elaboration bro but rememmber kwamba apart from kumiliki frem kuna challenge pia mfano
1.Kwny biashara ya gas sawa utaweka mitungi kibarazan kwako ile hujakaa sawa hujauza hata mmoja mara paap watu wa FIRE hawa hapa wanataka vibali. mara hujakaa sawa watu wa suti hawa hapa
2.hyo ya mkaa ndo kabisa mana maliasili wakiona tu gunia la mkaa nje tayari wanatia team wanaulizia vibali.
3.Halaf hyo ya udalali ina pesa ila sasa ni ya motooo assume umefanya hvo kama ulivosema hapo yaan umepata simu ya lak 5 ukauza laki saba manake kumbka yule ulomuuzia anakujua ww kama ndo mmiliki in case kikatokea chochote ww ndo utawajibika. sasa assume ile smu ikawa ya uwizi.... police wakaitrace na wakaikuta kwa huyo ulomuuzia ....na yy kakutaja ww....na ww kumtafta yule jamaa ambae ndo mmiliki unakuta jamaa anakukana. haya hyo n ndogo ....kuna magar yanaibwa kenya yanauzwa tz na yana kadi ma kila ktu but huwez jua kirahs yaan udalali usio na mawazo ni udalali wa nyumba na immobile assets.
mkuu hizo contena zinapatikana wapinafaka Pesa nnje nnje ila ndio Mtaji (kodi ya frem)
ila kama utaweza jikakamua ukachukua kontena lako la 1.5M
ukaligeuza frem sio siri lazima uwe mcharo.
Story yako inanikumbusha miaka ya Chuo; Ndani ya paper ya accounting jamaa kajiandaa kwa kukaa nyuma ya mtaalam wa kufunga makabati chap, 1 hr mdada kamaliza then jamaa akaanza kumuomba booklet acopy. Msimamiz anapitapita huku na kuleKing999,
in Business we are dealing with risks
unapofanya biashara yoyote hayo mambo uliyoyasema ni ya muhimu kuyajua na kuyafikiria ila siku zote nawambiaga watu
usiyape nafasi hayo mawazo yanapokuja kikubwa jitahidi ufanye kazi kwa bidii na ujue kuweka akiba cause any time kinanuka
mimi kuna sehemu natumaga vijana wangu wakafanye biashara kabisa na ni sehemu HAZIRUHUSIWI (sehemu hatari) ila nawambia nyie nendeni wakikukamateni nipigieni simu (wanaenda) wanapiga pesa hata 50,000 chap chap then unaskia kadakwa...
unamuuliza umeingiza sh ngap? anakwambia hapa tayari nina 50,000 unamwambia "tulia" mpe simu huyo aliyekushika,unaongea nae unampooza kwa 10,000 anamwachia (dogo anasepa) faida mfukoni 40,000..Can you see that?
How if ningeogopa nikidakwa itakua noma halafu nisiende fanya biashara eneo hilo,hiyo 40,000 ningeitoa wapi?? ndio yale yale tunaambiwa "uoga wako ndio umaskini wako"
Unajua kwanini wafanya biashara wa madawa ya kulevya wanadunda uraiani na wanajulikana?? Wakikwambia bajeti wanayoitenga kwa ajili tu ya kuhonga mapolisi unaweza ukashangaaa, why wanahonga?? They know wanachofanya si sahihi but ndipo pesa ilipo so watafanyaje sasa and they need money???
ndipo wanaamua hapo Anaanza kuhongwa kuanzia IGP mpk mwenye V moja mzigo wao unaingia biashara wanafanya kiulainiiiii...sasa wewe jichanganye WAIGE uone kitakacho kukuta.
kwa ufupi ndugu yangu unapoamua kuingia kwenye biashara elewa umeingia VITANI,huku sio kwenye ajira,vitani unaweza kuwa na silaha zote ila na bado ukaenda ukarudi huna mguu,ndio mana wanajeshi siku hizi hawana ujinga wa kufa kufa,wanaenda vitani na wanarudi woteee (usitake kujua kinachofanyika huko vitani,acha kabisa)
Hii nchi ina wenyewe ndugu yangu,haya mabiashara tunayafanya tu ila usijiamini sanaaaaaaa hata kama una maleseni umejaza ukuta mzima,vibali vyoteeeee atakuja mtu mmoja tu atakutafutia sababu na hela itakutoka.
SO jiamini na elewa uko vitani na usiogope mtu pambana ya hela yote,MJINI inaongea PESA tu midomo siku hizi mapambo muraaaaa. King999
mkuu hizo contena zinapatikana wapi
Kama unahitaji kontena nicheki hapa 0744 033 555mkuu hizo contena zinapatikana wapi
kontena zinapatikana kwa hiyo pesa mzee coz mimi kuna jamaa yng amenunua kwa laki saba tuh na iko vizuri hadi aliligawanya vipande viwili
Mtu kama wewe ni vigumu sana kufanikiwaU have made a good elaboration bro but remember kwamba apart from kumiliki frem kuna challenge pia mfano
1.Kwenye biashara ya gas sawa utaweka mitungi kibarazani kwako ile hujakaa sawa hujauza hata mmoja mara paap watu wa FIRE hawa hapa wanataka vibali. Mara hujakaa sawa watu wa suti hawa hapa
2.Hiyo ya mkaa ndio kabisa maana maliasili wakiona tu gunia la mkaa nje tayari wanatia team wanaulizia vibali.
3.Halafu hiyo ya udalali ina pesa ila sasa ni ya motooo assume umefanya hivyo kama ulivyosema hapo yaan umepata simu ya laki 5 ukauza laki saba manake kumbuka yule ulomuuzia anakujua wewe kama ndio mmiliki in case kikatokea chochote wewe ndio utawajibika. Sasa assume ile simu ikawa ya uwizi.... police wakaitrace na wakaikuta kwa huyo ulomuuzia ....na yeye kakutaja wewe....na wewe kumtafta yule jamaa ambae ndio mmiliki unakuta jamaa anakukana. Haya hiyo ni ndogo ....kuna magari yanaibwa kenya yanauzwa Tanzania na yana kadi ma kila kitu but huwezi jua kirahs yaani udalali usio na mawazo ni udalali wa nyumba na immobile assets.
Mkuu huwa unachungulia PM kweliTunakumbushana
Kabisa mkuu watu kama hao ndo wanaoishia kuwakatisha wengine tamaa kwa vile wao wameshindwa!Mtu kama wewe ni vigumu sana kufanikiwa
[emoji1787][emoji1787]Hivi hayalipuki hovyo haya [emoji125][emoji3601][emoji125][emoji3601][emoji125][emoji3601] unaweza kuwa unakala na mabomu