Una shida, utamchagua Mchungaji yupi akuombee kati ya hawa?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Mchungaji Masanja au Mchungaji Irene?

20240605_194652.jpg
 
Ukiwa na shida hata Muda wa kuchagua hutakuwa nao mkuu..
 
Daah huenda kweli wamebadilika, tusihukumu tusije tukahukumiwa.

Ukweli wa mtu anaujua mwenyewe na Mola wake.

Kila la kheri ktk utumishi wao (kama wayatendayo ni sahihi), na Mungu awatangulie na kuwaimarisha ili kupitia wao wawavute wengine kwa BWANA.
 
Mchungaji mwanamke? Kwa maandiko yapi mwanamke anakuwa mchungaji, Mungu atusaidie sana wapendwa
 
we jua ni mwanamke mchungaji, hiyo ni mada inayojitegemea unayohoji. Unaambiwa wote waliompokea aliwapa uwezo wa kuwa wana. Pazia la hekaluni lilipasuka, patakatifu pa patakatifu pakafikiwa na waliokuwa hawana ruhusa ya kufika huko. Jina la Bwana libarikiwe
 
Halafu 1 tim 2:8-10, 1 pet 3:5, 1 kor 14:35 hayo maandiko yanamuhusu nani, mwanamke haruhusiwi kuwa mchungaji wala shemai wala kupewa kazi yoyote ya kiinjilisti,inatakiwa akahudumie familia yake huko nyumbani,ndo kazi aliyopewa.... Note: Haiwezekani maandiko yapingane... Kibiblia Huyo uwoya hatambulikani na Mungu kuwa mhudumu wake wa madhabahuni... Kama anatambulika toa maandiko maana ndio muongoz wetu sisi kama wakristo
Bila ya hivyo hakuna kanisa hapo bali ni meza ya matapishi
 
huwa sipendelei sana kutumia mistari ya biblia kushadidia hoja zangu. Ukinukuu mstari mmoja kuna mwingine unaenda mbele zaidi. Usomaji wa biblia husomwa kwa hekima sana/filosofia. Yapo madhehebu hayatambui wanawake kuwa wachungaji na mengine yanawatambua
 
Usijali madhehebu yanasema nini au yanafanya nini,bali Mungu amesema nini katika neno lake... Hiyo ndiyo kweli na sio madhehebu yaliyoanzishwa na wanadamu kama mimi na wewe tu

Back
Top Bottom