Una uhakika gani kuwa mkeo hachepuki?

Una uhakika gani kuwa mkeo hachepuki?

Sisi wazaramo tunaamini kwamba, kwa muda ule mke Yuko nyumbani kwako, Ni mkeo. Akiwa nje ya nyumbani kwako fanya kazi ya kukuingizia kipato.
Ndio maana hujawahi kusikia Kuna mzaramo mwenye presha au kisukari.
 
Believe me I will careless, siwezi acha fikiria vitu vya msingi nianze waza nani anapiga pipe wife au nini...! Ni uchi wake it's her decision. Heshima iwepo tu kwa sababu mwenyewe napiga nje ila heshima yake ipo.
 
Wanaume wengi huwa wana vimada nje ila huwa wanajiamini sana kuwa hawachapiwi huko nje, wengi huamini kuhudumia wake zao vizuri na kupiga mashine vizuri ndio kuwatuliza

Lakini tunaambiwa kati ya wanaume 10, 9 wanachepuka nnje yaani wanaume hawanaga mwanamke mmoja na huwa inaaminika wanawake ndio wametulia zaidi kwenye ndoa[emoji23][emoji23] na wanaume huamini kuwa wanatoka nje ila wake zao hawatoki

Sasa swali ni moja tu hao wanaume wanaochepuka huwa wanachepuka na wanawake waliopo nchi za nje au ni wa hapa hapa Tz, kma wanaume wote wanachepuka maana yake wanawake nao hwajatulia ni kama mnabadilishana tu wake zenu, yaani ukienda kwa wa mwenzio na wewe wako napitiwa
Una uhakika gani anachepuka ?
 
Back
Top Bottom