Una uhakika gani kuwa mkeo hachepuki?

Una uhakika gani kuwa mkeo hachepuki?

mtu ana meno 32 af kitumbua anatembea nacho muda wote wivu wanini sasa.

usipochapa utachapiwa
 
😁😁😁 kwa kwel mimi ndoa hapana .
Sasa kaka unaona yule aliyekuzingua wewe!?
Aisee akija kupata mtu,atakua malaika ambaye huwezi amini.
Maana tueleze uhalisia,jinsia ya kiume idadi yetu ndogo yani ni robo ya wanawake,hao hao wapo wanaleft(upinde),hao hao wapo wavulana wachezeaji wanakukojolea na kusepa yani sio wawajibikaji,na magentlemen wanaume haswa wachache.
Sasa hawa ndugu zetu mara kwanza huwa umuch know unawatia upofu,baadae yakishawakuta wanakumbuka kuwa walichezea lulu,sasa unadhani wakipata bahati tena unadhani watafanya utani!?
Mkewangu wakwanza hadi leo hajaolewa na napata stori zake anasikitika tu kheri angelibaki na mimi,bora kidogo kuliko kukosa kabisa.
 
Hakika nawaambia kuwa kama umeoa bikira kuchepuka sio rahisi. La sivyo kuchepuka ni kama kawa. Unafikiria yule alieondoa usichana wake wataachana? Kuna siku watakumbushia mambo.
😂😂Usijifariji.. people zinachepuka na watu wapyaaaaaa sio waliwabanjua ten yrs ago. Sasa kama mtu alidinywa kigoma na sahv anaishi ZANZIBAR unadhan atamfata wa kigoma kwa ajili ya mchezo tu??

Bikra anaweza kuwa mchepukaji kuliko ulokuta hana kizibo. Only GOD.
 
Sasa kaka unaona yule aliyekuzingua wewe!?
Aisee akija kupata mtu,atakua malaika ambaye huwezi amini.
Maana tueleze uhalisia,jinsia ya kiume idadi yetu ndogo yani ni robo ya wanawake,hao hao wapo wanaleft(upinde),hao hao wapo wavulana wachezeaji wanakukojolea na kusepa yani sio wawajibikaji,na magentlemen wanaume haswa wachache.
Sasa hawa ndugu zetu mara kwanza huwa umuch know unawatia upofu,baadae yakishawakuta wanakumbuka kuwa walichezea lulu,sasa unadhani wakipata bahati tena unadhani watafanya utani!?
Mkewangu wakwanza hadi leo hajaolewa na napata stori zake anasikitika tu kheri angelibaki na mimi,bora kidogo kuliko kukosa kabisa.
Noma sana ila nahitaji kuwa huru na amani mkuu , kama ni kula bata aje tule maisha kila mtu asepe kivyake😁😁
 
Mnapotezana tu

Ikiwa utafiti umeonesha wanaume 9 kati ya 10 wanachepuka huyo mmoja anatosha maana yake kati ya wanaume 100 kuna wanaume 9 waaminifu kwa wenzi wao hivyo kwa wanawake ipo hivyo pia kwamba kuna asilimia kadhaa hawachepuki tena yaweza kuwa kubwa kuliko ya wanaume. Kwa hiyo msiwafanye watu waaminifu wachache waliopo waingie kwenye dhambi kwa hisia kwamba ndiyo biashara iliyopo duniani kote kwamba hakuna asiyechapiwa.

Hoja ya pili imenichekesha , unasema ikiwa wanaume wanachepuka maana yake wanatoka na wanawake wa wanaume wenzao kama wao wanavyotoka na wanawake wa wenzao. Hii tayari imeua ile hoja yako ya kwamba kuna wanaume 1 kati ya 10 hawatoki nje ya ndoa zao. Na kibaya zaidi unatuaminisha kila mwanamke ameolewa wakati uhalisia haupo hivyo. Kimahesabu walio kwenye ndoa ni wachache kuliko walio nje ya ndoa kwa kuwa tabaka kubwa la walio katika ndoa ni tabaka la umri kati ya miaka 24-50 hii ina maana tuna vijana wengi hawana ndoa kwa kuwa wako mashuleni na vyuoni na kwingineko na asilimia kubwa wanashiriki ngono na watu waliooa au ambao hawajaoa. wenzao hivyo usilete hesabu ya kwamba wanaume tisa waliooa wanatoka kimapenzi na wanawake 9 ambao wameolewa ili kumaanisha mme akila na mkewe analiwa ati ni kubadilishana hapo umechemka.

Ukumbuke kuna wachepukaji wamejiapiza hawatashiriki ngono na wake za watu na wanawake wengine vivyo hivyo hivyo ni hesabu mbaya kuhitimisha kuwa uchepukaji uko balance.
Kama wewe una mme mme amechepuka na anadhani huchepuki tambua kuwa wapo wanawake wanajua waume zao wanachepuka ila wao hawana time hiyo na wapo wanaume wanajua wake zao wanachepuka ila wao hawachepuki na wapo wanawake na wanaume ambao ni waaminifu katika ndoa zao kati yao hakuna mchepukaji japo hawajuani vema kuhusu hilo.

MUNGU HAJAWAHI KUKOSA WAAMINIFU DAIMA
UNAWEZA KUONA KAMA VILE WOTE NI WA OVYO KUMBE WAPO WATU POA KABISA WALIO SAFI NA USAFI WAO.
 
Noma sana ila nahitaji kuwa huru na amani mkuu , kama ni kula bata aje tule maisha kila mtu asepe kivyake😁😁
Ni sawa kaka,kila mtu na aonavyo.
Ila kwa mimi huamini juu ya familia,kama haijaweza jengeka hapa nitaijenga hata nje ya hapa.
Ila kibongo bongo mchukue mwanamke aliyepigika na maisha.
 
Ni sawa kaka,kila mtu na aonavyo.
Ila kwa mimi huamini juu ya familia,kama haijaweza jengeka hapa nitaijenga hata nje ya hapa.
Ila kibongo bongo mchukue mwanamke aliyepigika na maisha.
Familia pia ninayo mkuu watoto wawili , ila kufugana apana 😁
 
Ni sawa kaka,kila mtu na aonavyo.
Ila kwa mimi huamini juu ya familia,kama haijaweza jengeka hapa nitaijenga hata nje ya hapa.
Ila kibongo bongo mchukue mwanamke aliyepigika na maisha.
Sio lazima aliyepigika na maisha. Wapo wanawake waaminifu sana kwa ndoa zao na wanaume waaminifu sana kwa ndoa zao katika hali zote. Hao ni wale wanaomjua Mungu. (Simaanishi wanao attend churches ama mosques). WANAOMJUA MUNGU HAWACHEPUKI. Sijawahi chepuka na ndoa yangu miaka sita sasa. Mungu akiwa nami sitegemei kufanya hivyo maisha yote.
 
Tatizo unafiki wa ndoa moja monogamy tulioletewa,na wazungu halafu wao zimewashinda wamehamia ktk ndoa za jinsia moja, wanaume wengi hawatosheki mke mmoja, Wanawake nao wanajibu na wao hawatosheki na mwanaume mmoja wanapingana hadi na Mungu, utadhani wanaweza kuzalia wanaume zaidi ya mmoja kwa mwaka, kama wanaume wanavyoweza kuzalisha zaidi ya mmoha kwa mwaka. Mwisho wa siku Sheria za Mungu Torati au Sharia zikitumika uzinzi na uasherati utapungua mno tena sana tofauti na sasa uchangudoa ni sifa, anayezini adhabu kifo au bakora 100 hadharani.
 
Hata mimi nashangaa.
Hasira za wake zao wajinga kuchepuka wanataka kuchafua na wake wengine walio waaminifu,je ni haki hii!?
Hii sio haki kabisaaa, wasituunganishe kwenye uzinifu wao.
 
Ahahahah..
Mi hata huwa siwazagi haya maujinga.
Wamtombe wanavyotaka bwana kwan K si yake aitumie anavyojiskia
 
Hakuna kiumbe kisichokuwa na makando kando. Sio chakike wala chakiume.

Kuna jamaa nimemchangia sendoff juzi eti anaoa mwanamke yupo mkoani kikazi na yete yupo Dar kikazi. Yani wanaishi mbali mbali.

Asee nimeona napoteza hela tu ila basi tu kutunza jina ikabidi nichange tu.
Afadhali yako wewe. Mimi nilichangia VIP ila wajinga wameachana kisa jamaal kakuta wife mtarajiwa anachat na ex nimekausha tu hata hawajafunga ndoa sawah 🤫
 
Ni mwanaume gani anaedhani kuwa mke wake hachepuki, hebu ajitokeze hapa tumuone.

Sio asili ya mwanamke kuchepuka, labda limalaya lililokubuhu, kiukweli wanawake wengi ni waaminifu.
 
Back
Top Bottom