Una uhakika gani kuwa mkeo hachepuki?

Kuna wanawake wengi hawajaolewa mzee.
Na kama haujui,wanawake wengi ambao hawajaolewa hutafuta wame za watu kwasababu ndio wanawachukulia wanaume kamili wanaojua kutunza na wanaojua majukumu.
 
Na wewe unaamini kuwa kila mwanaume anachepuka!?
Yani wanaume wote duniani wanachepuka!?
 
kanuni Iko hivi: ili mwenzio awe mwaminifu, anza kuwa mwaminifu wewe!
 
Mke/Mume Hachunguzwi otherwise unamtafutia sababu umuache.

ila kama umeamua huyu ndio mke/mume wangu staki kichocho kije kiniambia chochote kinachomuhusu mke wangu.

Simfatiliii na sihangaiki kazi yangu n kumpa risala kila nipatapo wasaa umuhimu wa yeye kuwa mwaminifu na madhara yake ya kutokua mwaminifu.
 
Ivi kosugi ,samahan lakini 🙌 jinsia yako naweza ijua?
Mimi mwanaume mkuu,tena jina langu la kwanza Muhammed.
Ila mie hutetea pale ukweli unaposimama.
Katika hili nasimama na wanawake mkuu.
Au kisa nimekaa upande wao ukawa na mashaka bro!?
 
Mimi mwanaume mkuu,tena jina langu la kwanza Muhammed.
Ila mie hutetea pale ukweli unaposimama.
Katika hili nasimama na wanawake mkuu.
Au kisa nimekaa upande wao ukawa na mashaka bro!?
Sawa master ,ila mimi sijawapinga wanawake wala kiwatweza utu mkuu.
 
Ila mkuu kwa sisi wanaume uaminifu ni mdogo sana,kwa sababu tunapitia alot of temptations huko nje.
Ndio maana kuchepuka ni rahisi kuliko wanawake,mwanamke mpaka achepuke kunakua na strong concrete reason kiasi
 
Hahahaha mkuu waliotulia hawazidi wawili .
Kaka wanawake wengi tu wametulia.
Ila hasa wanawake wa siku hizi mpaka watulie lazima wapitie changamoto kwanza.
Kheri umuoe mwanamke alopigika na matukio kuliko aliye bikra.
Alopigika na matukio akitizama alipotoka na alipo sasa hivi katika ndoa lazima atulie ili asirudi alipotoka,tena atakua makini sana.
 
😁😁😁 kwa kwel mimi ndoa hapana .
 
Idadi ya wanawake walioolewa ni ndogo kuliko ya wale ambao hawajaolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…